Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Mbona ww mndenge hufuati huu muongozo wa quran??
[emoji116][emoji116]
وَكَذَٰلِكَ أَوْحَيْنَا إِلَيْكَ قُرْآنًا عَرَبِيًّا لِّتُنذِرَ أُمَّ الْقُرَىٰ وَمَنْ حَوْلَهَا وَتُنذِرَ يَوْمَ الْجَمْعِ لَا رَيْبَ فِيهِ ۚ فَرِيقٌ فِي الْجَنَّةِ وَفَرِيقٌ فِي السَّعِيرِ
7.
Na namna hivi tumekufunulia Qur'ani kwa Kiarabu ili uwaonye watu wa Mama wa Mji wa Makka na walio pembezoni mwake. Na uhadharishe na Siku ya Mkutano, haina shaka hiyo. Kundi moja litakuwa Peponi, na kundi jengine Motoni.

وَأَنذِرْ عَشِيرَتَكَ الْأَقْرَبِينَ ( 214 )
Na uwaonye jamaa zako walio karibu nawe.

ARABS are the true Muslims and the true descendants of Prophet Muhammad (pbuh)..

"Non—Arabs who without shame, called themselves Muslims are just plain Converts whom are lowly cowards with unhonourable souls That were overwhelmed with ease by the Swords of Allah, thus they deserved to be called as our Dogs."
View attachment 1804816

https://www.jamiiforums.com/data/video/2793/2793621-52687463f8999af25908db84071c69fe.mp4
 
Abdool Acha mara moja kupindisha mada ulio anzisha mwenyewe, Jadili ni kwa jinsi gani Muhammad aliweza kutumia mawe kuchamba

Umevaa kama ulivyoamrishwa na Bwana wenu huyu

1622550219940.png
 
Ukristo Ni Nini?? Sehemu gani katika biblia yesu kasema muwe wakristo

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Ukristo ni IMANI [emoji123][emoji106]
Yesu Mwenyewe Aliwatambua wafuasi wake[emoji817][emoji106]
[emoji116][emoji116]
MK. 9:41 Kwa kuwa ye yote atakayewanywesha ninyi kikombe cha maji, kwa kuwa ninyi ni watu Wa-Kristo, amin, nawaambia, hatakosa thawabu yake.
 
Ukristo ni IMANI [emoji123][emoji106]
Yesu Mwenyewe Aliwatambua wafuasi wake[emoji817][emoji106]
[emoji116][emoji116]
MK. 9:41 Kwa kuwa ye yote atakayewanywesha ninyi kikombe cha maji, kwa kuwa ninyi ni watu Wa-Kristo, amin, nawaambia, hatakosa thawabu yake.
Mbona hapa wameandika Wa-Kristo na Siyo Wakristo

Hiyo hyphen inatafuta nini?
 
Umevaa kama ulivyoamrishwa na Bwana wenu huyu

View attachment 1804831
Tujadili hili ulilo anzisha tumalize alafu twende kwa lingine, umedai mnatumia maji
Je muanzilishi wa dini alikuwa anatumia nini? soma hapa
Imesimuliwa Abu Huraira: Nilimfuata Mtume wakati alikuwa anaenda kujisaidia. Alikuwa haangalii kushoto wala kulia. Kwa hivyo, nilipokaribia karibu naye aliniambia, "Nitafutie mawe ili nisafishie sehemu zangu za siri(au alisema kitu kinachofanana), na usilete mfupa au kipande cha dung." Basi nikaleta mawe katika kona ya vazi langu na kuziweka kando yake kisha nikamwacha. Alipomaliza (kutoka kusaidia) aliitumia mawe kujisafisha. (Sahih Bukhari 1: 4: 157)
 
Tujadili hili ulilo anzisha tumalize alafu twende kwa lingine, umedai mnatumia maji
Je muanzilishi wa dini alikuwa anatumia nini? soma hapa
Imesimuliwa Abu Huraira: Nilimfuata Mtume wakati alikuwa anaenda kujisaidia. Alikuwa haangalii kushoto wala kulia. Kwa hivyo, nilipokaribia karibu naye aliniambia, "Nitafutie mawe ili nisafishie sehemu zangu za siri(au alisema kitu kinachofanana), na usilete mfupa au kipande cha dung." Basi nikaleta mawe katika kona ya vazi langu na kuziweka kando yake kisha nikamwacha. Alipomaliza (kutoka kusaidia) aliitumia mawe kujisafisha. (Sahih Bukhari 1: 4: 157)


umeandika imesimuliwa ,nikakuuliza na nani ?? Na Padri wako au askofu wako ??

Hivi Yesu na huyo Paulo wenu wakitumia karatasi ??
 
Itakuchukua karne kuielewa quran

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
ww wasema! Manake unajiona ni mjuzi kuliko Allah aliye sema qaraa ni rahisi!
[emoji116][emoji116]
وَلَقَدْ يَسَّرْنَا الْقُرْآنَ لِلذِّكْرِ فَهَلْ مِن مُّدَّكِرٍ ( 17 )
Na bila ya shaka Sisi tumeifanya Qur'ani iwe nyepesi kueleweka Lakini yupo anaye kumbuka?

Endelea kumbishia Allah rukasa[emoji23][emoji23]
 


Ulichokiandika hiki hapa

Tujadili hili ulilo anzisha tumalize alafu twende kwa lingine, umedai mnatumia maji
Je muanzilishi wa dini alikuwa anatumia nini? soma hapa
Imesimuliwa Abu Huraira: Nilimfuata Mtume wakati alikuwa anaenda kujisaidia. Alikuwa haangalii kushoto wala kulia. Kwa hivyo, nilipokaribia karibu naye aliniambia, "Nitafutie mawe ili nisafishie sehemu zangu za siri(au alisema kitu kinachofanana), na usilete mfupa au kipande cha dung." Basi nikaleta mawe katika kona ya vazi langu na kuziweka kando yake kisha nikamwacha. Alipomaliza (kutoka kusaidia) aliitumia mawe kujisafisha. (Sahih Bukhari 1: 4: 157)



umeandika imesimuliwa ,nikakuuliza na nani ?? Na Padri wako au askofu wako ??

Hivi Yesu na huyo Paulo wenu wakitumia karatasi ??
 
Ulichokiandika hiki hapa

Tujadili hili ulilo anzisha tumalize alafu twende kwa lingine, umedai mnatumia maji
Je muanzilishi wa dini alikuwa anatumia nini? soma hapa
Imesimuliwa Abu Huraira: Nilimfuata Mtume wakati alikuwa anaenda kujisaidia. Alikuwa haangalii kushoto wala kulia. Kwa hivyo, nilipokaribia karibu naye aliniambia, "Nitafutie mawe ili nisafishie sehemu zangu za siri(au alisema kitu kinachofanana), na usilete mfupa au kipande cha dung." Basi nikaleta mawe katika kona ya vazi langu na kuziweka kando yake kisha nikamwacha. Alipomaliza (kutoka kusaidia) aliitumia mawe kujisafisha. (Sahih Bukhari 1: 4: 157)



umeandika imesimuliwa ,nikakuuliza na nani ?? Na Padri wako au askofu wako ??

Hivi Yesu na huyo Paulo wenu wakitumia karatasi ??
Umeshaelewa turudi kwenye mada , why Muhammad alitumia mawe
 
UTANGULIZI
Historia ya Biblia ya kikristo ni ndefu jinsi vitabu vilivyopatikana lakini ntaandika kwa kifupi sana na mengine tutaandaika tunavyozidi kuchangia kwenye uzi huu. Na pia nitoe rai mapema kuwa uzi huu sio wa kidini bali wa kielimu/historia hivyo sitegemei watu kurushiana matusi ya kuhusu dini sijui Mungu yupo au hayupo!! N.k
View attachment 993939
Prologue
Biblia ya kikristo ni mjumuiko wa vitabu mbalimbali vya manabii/Mitume wa Mungu ambao vimejumuishwa pamoja ili kutoa muongozo wa kiimani kwa wakristo kote ulimwenguni. Biblia inatambulika kama iliandikwa na vitabu kujumuishwa kwa uweza wa MUNGU hivyo ni kitabu kitakatifu, lakini kilichonishtua ni kugundua kwamba kati ya wakristo wanatumia Biblia tofauti kabisa yaani Wakatoliki Biblia yao ina vitabu 73, waprotestant vitabu 66, Orthodox Tawahedo (Ethiopia) ina vitabu 81 hili limenifanya nifungue uzi ili tumalize mkanganyiko huu na naomba tusome taratibu na kwakuelewa mada inazungumzia nini kabla ya kuchangia kwa kuongozwa na ushabiki au mihemko.

Historia
Wayahudi (Israel) walikuwa wanaandika maandiko wanayovuviwa na Mungu wao Yahweh tokea miaka 600 kabla ya Yesu na walikuwa na fixed canon ya vitabu 24 (39 ukivigawa) mpaka kipindi cha nabii wa mwisho Malachi 400 BC hivyo inasemekana ndio vitabu pekee vilivyokuwepo. kufikia karne ya 4 kabla ya kristo (KK) wayahudi waliokuwa uhamishoni hasa misri walitafsiri vitabu vya agano la kale vilivyoandikwa kiebrania kwenda kigiriki na kuzaa Biblia iliofahamika kama ''Septuagint''.... Biblia hii ilipata ushawishi sana kuliko ya kiebrania na ieleweke kwamba ni Biblia hii ndio imetumika mpaka na Yesu alipokuwa akinakili maandiko ya agano la kale kiufupi 70% ya quotes kutoka agano la kale kwenye vitabu vya Agano jipya vimetolewa kwenye Greek Septuagint. Kufikia hapa kukawepo na Biblia mbili kuu hivyo twende pamoja.
View attachment 993940
Mgogoro
Ikumbukwe Septuagint ilijumuisha vitabu vya kimafundisho ambavyo Hebrew bible haikuvitambua vitabu hivi vinajumuisha Macabees, Sirach,Wisdom of solomon n.k. Sasa ikafika mahali Septuagint (kigiriki) ikawa inatumika zaidi kuliko maandiko ya kiebrania (wayahudi) hivyo kwa mujibu wa mwanahistoria Heinrich Graetz ikabidi kikundi cha wayahudi kikutane kwa kilichoitwa council of Jamnia kilichofanyika 70 Baada ya kristo ambapo ndio kiliweka msimamo wa vitabu gani vya biblia ya kiebrania ndio vitambulike kwa wayahudi wote yote hii ili kuzuia upepo wa Biblia ya Greek sepruagint na hivyo hapa wakawa na msimamo wa vitabu vichache hasa vya agano la kale 39 tofauti na 46 vya septuagint. Hivyo tokea hapa madhehebu tofauti ya kikristo yakachukua Biblia mojawapo ya pande hizi mfano RC wao waliendelea na Greek Septuagint ambayo ndio ilitumiwa na mitume ila waprotestant wao waliamua kuendelea na Hebrew Bible wakiamini ndio halali na haijachakachuliwa pia madhehebu mengine kma Tawahedo Orthodox na mengineo yalikuwa na misimamo yao juu ya vitabu fulani hivyo utakuta baadhi ya makanisa yana vitabu kati ya hivyo 39 hadi 46 vya agano la kale.

Martin Luther
Karne ya 16 kiongozi wa wanamabadiliko/protestants walioamua kujitenga na ukatoliki Dr. Martin Luther naye aliamua kufanya tafsiri ya Biblia kwenda lugha ya kijerumani. Kiliandikwa 1520-34 na katika kuifanyia majumuisho naye alitaka kupunguza vitabu 7 vya agano jipya vikiwemo Ufunuo,Yuda,Waebrania na Yakobo n.k kwa kile alichokiita kwamba "havikuwa na uvuvio wa Roho mtakatifu" na hata leo hii kwenye Luther bible cha waprotestant hivyo vitabu 4 vimewekwa vya mwisho kabisa katika biblia yao na nakala za mwanzoni viliwekwa kundi moja na vitabh vilivyoitwa ''apocrypha''.

Pia luther alikipinga vikali kitabu cha esther nakutaka kifutwe kutoka kwa Biblia. Alisema hakina uvuvio wa Roho mtakatifu maana hakuna mahala kinamtaja MUNGU!! Martin luther alipinga pia uwepo wa kitabu cha James/Yakobo kwenye Biblia sabau kwanza kiliandikwa karne ya 2 ambapo muandishi wanayedai ni Yakobo kaka yake yesu alishakuwa amekufa toka mwaka 67 BK hivyo aliona kma ni kilifojiwa tu.
View attachment 993938

HITIMISHO
Sasa baada ya kuwa nimepitia baadhi ya hoja za wana JF humu hasa zinazogusa maslahi ya kikristo huwa wana conclude kuwa Biblia haina makosa maana ilivuviwa na Roho mtakatifu sasa nilikuwa nataka wajuzi mnisaidia maswali yafuatayo

1.je kauli hii inapotolewa huwa ina maana ya Biblia ipi ambayo ilivuviwa na Roho?

2. Je Biblia gani ni halali

3. Manabii wanasema usiongeze au kupunguza neno kwenye Vitabu vyao sasa Je kama mmoja ndio yupo sahihi ina maana wengi wamepotoshwa??

4. Na kama wamepotoshwa je nini hatma ya ukristo kama wahuni wachache wanaweza ongeza maneno au kupunguza kwenye Biblia

5. Swali la mwisho naamini MUNGU anaona haya makosa Je ina maana karuhusu neno lake lipotoshwe?? Na kama sio kwanini mpaka sasa kaacha wahuni wachezee NENO lake.

Naomba kuwasilisha

Cc: ningeomba Moderator kina Active na Mhariri msihamishe uzi huu jukwaa la dini ili niweze kupata mawazo ya wana JF wote hta wasio na access na jukwaa la dini, nitashukuru kwa hilo.
Neno 'Biblia' linatokana na neno la Kilatini 'biblia' ambalo linatokana na neno la Kigiriki biblía lenye maana ya "vitabu". Vitabu hivi vimeandikwa na waandishi mbalimbali karne na karne na wakati fulani kulionekana umuhimu wa kuviweka pamoja. Hivi vitabu viliandikwa kwanza katika lugha ya Kiebrania na baadaye kutafsiriwa katika lugha ya Kigiriki kufuatana na mahitaji. Ili kujua ni vitabu gani viitwe vitabu vilivyovuviwa, kulihitajika pia kuweka kanuni za 'inclusion' and 'exclusion' - yaani utaratibu wa kuonyesha kuwa vitabu fulani fulani ndivyo vinavyoitwa Biblia na vingine hapana. Criterion ilikuwa ni kuona ni vitabu gani vinaonyesha uvuviwo wa Roho Mtakatifu. Hivyo, katika kufanya hivyo, kulikuwa na shule mbili za fikira (schools of thought). Ya kwanza ni ile ya Palestinian School of Thought ambayo ilisema vitabu vilivyovuviwa ni vile vilivyoandikwa kwenye lugha ya Kiebrania tu - hivi vilikuwa vitabu 39 vya Agano la Kale na vitabu 27 vya Agano Jipya. Ya pili ilikuwa Alexandrian School of Thought ambayo ilisema vitabu vilivyovuviwa ni vile vilivyoandikwa kwa lugha ya Kiebrania (yaani hivyo 39 vya Agano la Kale) na 27 vya Agano Jipya pamoja na vile vilivyokuwa vimetafsiriwa kutoka Kiebrania kwenda Kigiriki, ambavyo tayari wakati huo vilikuwa vikitumiwa na Jumuiya ya Alexandria na hivi viliitwa 'deuteroknoni' (Tobiti, Yudithi, Hekima ya Solomoni, Sira, Baruku na Wamakabayo 1 & 2) na vilikubaliwa na Wakatoliki na Waorthodoksi wa Mashariki. Hata hivyo, makanisa ya Kiprotestanti yalivikataa na yanaviita 'Apokrifa' (yaani vitabu visivyovuviwa). Jambo muhimu ni kwamba vitabu hivi saba vimekubaliwa na Wakatoliki na Waorthodoksi wa Mashariki kwa sababu kwamba ujumbe wa vitabu hivi unaendana na vile vingine 39 vya Agano la Kale vilivyokuwa katika lugha ya Kiebrania. Matokeo yake ni kwamba inayoitwa Biblia ina ama vitabu 66 (39 Agano la Kale na 27 Agano Jipya) - short canon - au vitabu 73 (46 Agano la Kale na 27 Agano Jipya) - long canon. Kujibu swali ni Biblia ipi ni sahihi mimi ningesema ni Biblia yoyote - ama yenye vitabu 66 au yenye vitabu 73. Hivyo, Wayahudi wa Palestina wao walitumia Biblia yenye vitabu 66 (short canon) na Wayahudi wa Uhamishoni Alexandria walitumia biblia yenye vitabu 73 (long canon).
 
Unafikiri hatuoni?!
Kila choo kuna mawe kwa ajili ya ku-stanji kumgeza Muhammad [emoji23][emoji23]

Kama lilivyo kanisa lenu , kila kanisa kuna pampers kumgeza nani ?? Yesu au Mwalimu wa shoga Yayo Agassi ??
 
MK. 9:41 Kwa kuwa ye yote atakayewanywesha ninyi kikombe cha maji, kwa kuwa ninyi ni watu Wa-Kristo, amin, nawaambia, hatakosa thawabu yake.
Maneno haya anayasema nani ? Yesu au ? Kama Yesu ushahidi uko wapi na umejuaje kama ni Yesu ?
 
Unafikiri hatuoni?!
Kila choo kuna mawe kwa ajili ya ku-stanji kumgeza Muhammad [emoji23][emoji23]

Biblia ni neno lililotokana na neno la Kigiriki Biblios lenye maana ya mkusanyiko wa vitabu vingi. Biblia yenyewe inatuhakikishia kuwa kuna mikono ya waandishi iliyoingia katika kutunga walichotaka ndani yake. Hii ni kwa mujibu wa Yeremia 8: 8: “Mnawezaje kusema: ‘Sisi tuna hekima, sisi tunayo sheria ya Mwenyezi-Mungu,’ hali waandishi wa sheria wameipotosha sheria yangu?”

Kulingana na wanazuoni wa Biblia, hata utunzi wa vitabu vya Agano la Kale na Anaajiyl (wingi wa Injili) zenyewe zina shaka na utata.





Taurati

Vitabu vitano vya kwanza vya Biblia (Pentateuch - Mwanzo, Kutoka, Walawi, Hesabu na Kumbukumbu la Sheria.) kiada zinanasibishwa na Nabii Muusa (‘Alayhis Salaam), hata hivyo, zipo aya nyingi sana katika vitabu hivi ambazo zinaashiria kuwa haiwezekani kwa Nabii Muusa (‘Alayhis Salaam) kuwa aliandika kila kitu ndani yake.

Kwa mfano, Kumbukumbu la Sheria 34: 5 – 8 inayosema: “Basi Mose (yaani Musa) mtumishi wa Mwenyezi Mungu akafariki huko nchini Moabu kulingana na neno la Mwenyezi Mungu alilosema.

Mwenyezi Mungu akamzika katika bonde la Moabu, mkabala wa mji wa Beth-peori; lakini mpaka leo, hakuna mtu ajuaye mahali alipozikwa.

Mose alikuwa na umri wa miaka mia moja na ishirini alipofariki; macho yake yalikuwa hayajafifia, na alikuwa timamu na mwenye nguvu.

Waisraeli waliomboleza kifo chake kwa muda wa siku thelathini kwenye nchi tambarare ya Moabu. Kisha siku za matanga na maombolezo ya kifo chake zikaisha”. Ni dhahiri kuwa mtu mwengine ndiye aliyeandika aya hizi kuhusu kifo cha Nabii Muusa (‘Alayhis Salaam).

Katika kiambatisho cha RSV kilichopatiwa anwani “Books of the Bible – Vitabu vya Biblia”, yafuatayo yameandikwa kuhusu utunzi wa zaidi ya thuluthi ya vitabu vilivyobakia katika Agano la Kale:

Vitabu​
Mtunzi​
Judges (Waamuzi)Huenda akawa ni Samueli
Ruth (Ruthu)Huenda akawa ni Samueli
First Samuel (1 Samueli)Hajulikani
Second Samuel (2 Samuel)Hajulikani
First Kings (1 Wafalme)Hajulikani
Second Kings (2 Wafalme)Hajulikani
First Chronicles (1 Mambo ya Nyakati)Hajulikani
Esther (Esta)Hajulikani
Job (Yobu)Hajulikani
EcclesiastesHajulikani
Jonah (Yona)Hajulikani
Malachi (Malaki)Hakuna chochote kinachojulikana




Hata Zaburi nayo ina matatizo kwani katika Sura ya 72: 20 inasema: “Mwisho wa sala za Daudi mwana wa Yese”. Lakini Zaburi inaendelea hadi Sura ya 150. Je, ni nani aliyeandika Zaburi 73 – 150? Sura ya 73 ina kichwa cha habari: Haki itatawala (Zaburi ya Asafu). Je, huyu Asafu ni nani?





Apocrypha

Zaidi ya nusu ya Wakristo duniani ni Wakatoliki. Nakala yao ya Biblia ilichapishwa mwaka wa 1582 kutoka kwa Jerome’s Latin Vulgate (Biblia ya Kikatoliki ya Jerome), na kunakiliwa tena hapo Douay mwaka wa 1609.

Agano la Kale la Roman Catholic Version (RCV – Nakala ya Kikatoliki) ina vitabu saba zaidi kuliko KJV inayotambulika na Waprotestanti. Vitabu hivi vya ziada zinajulikana kama Apocrypha (yaani utunzi wenye shaka) na zilitolewa kutoka katika Biblia katika mwaka wa 1611 na wanazuoni wa Biblia wa Kiprotestanti.





Anaajiyl

Aramai ilikuwa ndio lugha iliyokuwa ikitumiwa na Mayahudi huko Palestina.

Kwa hiyo, inaaminika kuwa Yesu na wanafunzi wake walizungumza na kufundisha kwa Kiaramai. “Simulizi za kwanza ya mdomo za matendo ya Yesu na kauli zake bila shaka zilisambaa kwa Kiaramai.

Hata hivyo, Injili nne ziliandikwa kwa ukamilifu wake kwa maneno mengine, Kiyunani ya kawaida, lugha iliyokuwa ikitumika katika dunia ya Kistaarabu ya Mediterania, ili kutumikia wengi katika Kanisa, ambayo ilikuwa ni ya Kiyunani (wenye kuzungumza Kigriki) badala ya Kipalestina.

Mabaki ya Kiaramai yalikuwepo katika Anaajiyl za Kiyunani. Kwa mfano, katika Marko 5: 41, “Kisha akamshika mkono, akamwambia, ‘Tal’itha cu’mi’, maana yake, ‘Msichana mdogo, nakuambia amka’”.

Pia Marko 15: 34: “Saa tisa alasiri Yesu akalia kwa sauti kubwa, ‘Eloi, Eloi, lama sabachthani?’ maana yake, ‘Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?’” (Encyclopedia Americana, Mj. 3, uk. 654).





Injili ya Marko katika Agano Jipya, japokuwa inachukuliwa na wanazuoni wa Kanisa kuwa ndio kongwe kabisa kati ya Anaajiyl, haikuandikwa na mwanafunzi wa Yesu.

Wamehitimisha wanazuoni wa Biblia, kutegemea na dalili zinazopatikana katika Injili, kuwa Marko mwenyewe hakuwa mwanafunzi wa Yesu.

Zaidi ya hayo, kulingana na wao, haijulikani kamwe huyu Marko alikuwa nani kwa uhakika. Mwandishi wa kale wa Kikristo, Eusebius (325 BI), alipokea kuwa mtunzi mwengine wa zamani, Papias (130 BI), alikuwa wa kwanza kuinasibisha Injili kwa John Mark (Yohana Marko), mwandani na mfuasi wa Paul (Paulo).

Wengine wametoa rai kuwa huenda alikuwa mwandishi wa Petro na ilhali wengine wanaona kuwa huenda alikuwa mtu mwengine kabisa.

Hiyo ndiyo hali ya Injili nyingine. Japokuwa Mathayo, Luka na Yohana yalikuwa majina ya wanafunzi wa Yesu, waandishi wa Injili hizo waliokuwa na majina ya wanafunzi hao mashuhuri, lakini ni watu wengine ndio waliotumia majina yao ili maelezo yao yapate kusadikika.

Kwa hakika, Injili zote zilisambaa hapo awali bila majina.

Baadaye majina yenye kuaminika yalipatiwa kama watunzi wa Injili hizo na watu wasiojulikana katika kanisa za awali.





Vitabu​
Watunzi​
Gospel of Matthew (Injili ya Mathayo)Hajulikani (“Japokuwa yupo Mathayo aliyetajwa katika orodha tofauti za wanafunzi wa Yesu… mwandishi Mathayo kwa kiasi kikubwa hana jina” (The New Encyclopaedia Britannica, Mj. 14, uk. 824).
Gospel of Mark (Injili ya Marko)Hajulikani (“Japokuwa mtunzi wa Marko huenda akawa hajulikani…” (The New Encyclopaedia Britannica, Mj. 14, uk. 826).
Gospel of Luke (Injili ya Luka)Hajulikani (“Sheria ya Muratori inamtaja Luka, tabibu, mwandani na mfuasi wa Paulo; Irenaeus anamuonyesha Luka kuwa ni mfuasi wa Injili ya Paulo. Eusebius anamuweka Luka kuwa ni tabibu wa Antiocha, ambaye alikuwa na Paulo ili kuipatia Injili mamlaka ya kiutume” (The New Encyclopaedia Britannica, Mj. 14, uk. 827).
Gospel of John (Injili ya Yohana)Hajulikani (“Kutokana na dalili za ndani, Injili hii iliandikwa na mwanafunzi mpenzi ambaye jina lake halijulikani” (The New Encyclopaedia Britannica, Mj. 14, uk. 828).
Acts (Matendo)Mtuzi wa Luka (The New Encyclopaedia Britannica, Mj. 14, uk. 830.)
I, II, III John (1, 2, 3 Yohana)Mtunzi wa Yohana (The New Encyclopaedia Britannica, Mj. 14, uk. 830).
 
Back
Top Bottom