Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Ulipochukua hiyo tafsiri ndo wamepotosha maana halisi ya hiyo aya
Nimechukua ndani Quran
[emoji116][emoji116]
وَكَذَٰلِكَ أَوْحَيْنَا إِلَيْكَ قُرْآنًا عَرَبِيًّا لِّتُنذِرَ أُمَّ الْقُرَىٰ وَمَنْ حَوْلَهَا وَتُنذِرَ يَوْمَ الْجَمْعِ لَا رَيْبَ فِيهِ ۚ فَرِيقٌ فِي الْجَنَّةِ وَفَرِيقٌ فِي السَّعِيرِ
7.
Na namna hivi tumekufunulia Qur'ani kwa Kiarabu ili uwaonye watu wa Mama wa Mji wa Makka na walio pembezoni mwake. Na uhadharishe na Siku ya Mkutano, haina shaka hiyo. Kundi moja litakuwa Peponi, na kundi jengine Motoni.

وَأَنذِرْ عَشِيرَتَكَ الْأَقْرَبِينَ ( 214 )
Na uwaonye jamaa zako walio karibu nawe.

Tafsiri nyingine hii hapa
[emoji116][emoji116]
وَأَنذِرْ عَشِيرَتَكَ الْأَقْرَبِينَ ( 214 )
Na uwaonye jamaa zako walio karibu nawe.
وَأَنذِرْ عَشِيرَتَكَ الْأَقْرَبِينَ ﴿٢١٤﴾
26/Ash-Shu'ara-214: Va anzir aasheeratakal aakrabeen(aakrabeena).

Imam Iskender Ali Mihr
And warn your tribe that is your nearest kindred.

Abdul Majid Daryabadi
And warn thou thy clan, the nearest ones.

Hiyo ni Kauli ya Haqi allah!
Kama sivyo kambishie allah kwa nini Mimi mndengereko simo kwenye uislamu umewapa warabu tu?!
 
Maneno haya anayasema nani ? Yesu au ? Kama Yesu ushahidi uko wapi na umejuaje kama ni Yesu ?
Nilisha kwambia acha Hypocrisy, Yesu ndio kasema ibaki ivyo usitoke nje ya mada , kuna wenzako niliwauliza haya ni maneno ya nani wakaishia kusema allah anaongea itakavyo
Huyu ni allah kaongea kasema hivi
9:30 May God destroy them! How far astray they have been led!

stupidity is amazing
 
Biblia ni neno lililotokana na neno la Kigiriki Biblios lenye maana ya mkusanyiko wa vitabu vingi. Biblia yenyewe inatuhakikishia kuwa kuna mikono ya waandishi iliyoingia katika kutunga walichotaka ndani yake. Hii ni kwa mujibu wa Yeremia 8: 8: “Mnawezaje kusema: ‘Sisi tuna hekima, sisi tunayo sheria ya Mwenyezi-Mungu,’ hali waandishi wa sheria wameipotosha sheria yangu?”

Kulingana na wanazuoni wa Biblia, hata utunzi wa vitabu vya Agano la Kale na Anaajiyl (wingi wa Injili) zenyewe zina shaka na utata.

Taurati

Vitabu vitano vya kwanza vya Biblia (Pentateuch - Mwanzo, Kutoka, Walawi, Hesabu na Kumbukumbu la Sheria.) kiada zinanasibishwa na Nabii Muusa (‘Alayhis Salaam), hata hivyo, zipo aya nyingi sana katika vitabu hivi ambazo zinaashiria kuwa haiwezekani kwa Nabii Muusa (‘Alayhis Salaam) kuwa aliandika kila kitu ndani yake.

Kwa mfano, Kumbukumbu la Sheria 34: 5 – 8 inayosema: “Basi Mose (yaani Musa) mtumishi wa Mwenyezi Mungu akafariki huko nchini Moabu kulingana na neno la Mwenyezi Mungu alilosema.

Mwenyezi Mungu akamzika katika bonde la Moabu, mkabala wa mji wa Beth-peori; lakini mpaka leo, hakuna mtu ajuaye mahali alipozikwa.

Mose alikuwa na umri wa miaka mia moja na ishirini alipofariki; macho yake yalikuwa hayajafifia, na alikuwa timamu na mwenye nguvu.

Waisraeli waliomboleza kifo chake kwa muda wa siku thelathini kwenye nchi tambarare ya Moabu. Kisha siku za matanga na maombolezo ya kifo chake zikaisha”. Ni dhahiri kuwa mtu mwengine ndiye aliyeandika aya hizi kuhusu kifo cha Nabii Muusa (‘Alayhis Salaam).

Katika kiambatisho cha RSV kilichopatiwa anwani “Books of the Bible – Vitabu vya Biblia”, yafuatayo yameandikwa kuhusu utunzi wa zaidi ya thuluthi ya vitabu vilivyobakia katika Agano la Kale:

Vitabu​
Mtunzi​
Judges (Waamuzi)Huenda akawa ni Samueli
Ruth (Ruthu)Huenda akawa ni Samueli
First Samuel (1 Samueli)Hajulikani
Second Samuel (2 Samuel)Hajulikani
First Kings (1 Wafalme)Hajulikani
Second Kings (2 Wafalme)Hajulikani
First Chronicles (1 Mambo ya Nyakati)Hajulikani
Esther (Esta)Hajulikani
Job (Yobu)Hajulikani
EcclesiastesHajulikani
Jonah (Yona)Hajulikani
Malachi (Malaki)Hakuna chochote kinachojulikana

Hata Zaburi nayo ina matatizo kwani katika Sura ya 72: 20 inasema: “Mwisho wa sala za Daudi mwana wa Yese”. Lakini Zaburi inaendelea hadi Sura ya 150. Je, ni nani aliyeandika Zaburi 73 – 150? Sura ya 73 ina kichwa cha habari: Haki itatawala (Zaburi ya Asafu). Je, huyu Asafu ni nani?

Apocrypha

Zaidi ya nusu ya Wakristo duniani ni Wakatoliki. Nakala yao ya Biblia ilichapishwa mwaka wa 1582 kutoka kwa Jerome’s Latin Vulgate (Biblia ya Kikatoliki ya Jerome), na kunakiliwa tena hapo Douay mwaka wa 1609.

Agano la Kale la Roman Catholic Version (RCV – Nakala ya Kikatoliki) ina vitabu saba zaidi kuliko KJV inayotambulika na Waprotestanti. Vitabu hivi vya ziada zinajulikana kama Apocrypha (yaani utunzi wenye shaka) na zilitolewa kutoka katika Biblia katika mwaka wa 1611 na wanazuoni wa Biblia wa Kiprotestanti.

Anaajiyl

Aramai ilikuwa ndio lugha iliyokuwa ikitumiwa na Mayahudi huko Palestina.

Kwa hiyo, inaaminika kuwa Yesu na wanafunzi wake walizungumza na kufundisha kwa Kiaramai. “Simulizi za kwanza ya mdomo za matendo ya Yesu na kauli zake bila shaka zilisambaa kwa Kiaramai.

Hata hivyo, Injili nne ziliandikwa kwa ukamilifu wake kwa maneno mengine, Kiyunani ya kawaida, lugha iliyokuwa ikitumika katika dunia ya Kistaarabu ya Mediterania, ili kutumikia wengi katika Kanisa, ambayo ilikuwa ni ya Kiyunani (wenye kuzungumza Kigriki) badala ya Kipalestina.

Mabaki ya Kiaramai yalikuwepo katika Anaajiyl za Kiyunani. Kwa mfano, katika Marko 5: 41, “Kisha akamshika mkono, akamwambia, ‘Tal’itha cu’mi’, maana yake, ‘Msichana mdogo, nakuambia amka’”.

Pia Marko 15: 34: “Saa tisa alasiri Yesu akalia kwa sauti kubwa, ‘Eloi, Eloi, lama sabachthani?’ maana yake, ‘Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?’” (Encyclopedia Americana, Mj. 3, uk. 654).

Injili ya Marko katika Agano Jipya, japokuwa inachukuliwa na wanazuoni wa Kanisa kuwa ndio kongwe kabisa kati ya Anaajiyl, haikuandikwa na mwanafunzi wa Yesu.

Wamehitimisha wanazuoni wa Biblia, kutegemea na dalili zinazopatikana katika Injili, kuwa Marko mwenyewe hakuwa mwanafunzi wa Yesu.

Zaidi ya hayo, kulingana na wao, haijulikani kamwe huyu Marko alikuwa nani kwa uhakika. Mwandishi wa kale wa Kikristo, Eusebius (325 BI), alipokea kuwa mtunzi mwengine wa zamani, Papias (130 BI), alikuwa wa kwanza kuinasibisha Injili kwa John Mark (Yohana Marko), mwandani na mfuasi wa Paul (Paulo).

Wengine wametoa rai kuwa huenda alikuwa mwandishi wa Petro na ilhali wengine wanaona kuwa huenda alikuwa mtu mwengine kabisa.

Hiyo ndiyo hali ya Injili nyingine. Japokuwa Mathayo, Luka na Yohana yalikuwa majina ya wanafunzi wa Yesu, waandishi wa Injili hizo waliokuwa na majina ya wanafunzi hao mashuhuri, lakini ni watu wengine ndio waliotumia majina yao ili maelezo yao yapate kusadikika.

Kwa hakika, Injili zote zilisambaa hapo awali bila majina.

Baadaye majina yenye kuaminika yalipatiwa kama watunzi wa Injili hizo na watu wasiojulikana katika kanisa za awali.

Vitabu​
Watunzi​
Gospel of Matthew (Injili ya Mathayo)Hajulikani (“Japokuwa yupo Mathayo aliyetajwa katika orodha tofauti za wanafunzi wa Yesu… mwandishi Mathayo kwa kiasi kikubwa hana jina” (The New Encyclopaedia Britannica, Mj. 14, uk. 824).
Gospel of Mark (Injili ya Marko)Hajulikani (“Japokuwa mtunzi wa Marko huenda akawa hajulikani…” (The New Encyclopaedia Britannica, Mj. 14, uk. 826).
Gospel of Luke (Injili ya Luka)Hajulikani (“Sheria ya Muratori inamtaja Luka, tabibu, mwandani na mfuasi wa Paulo; Irenaeus anamuonyesha Luka kuwa ni mfuasi wa Injili ya Paulo. Eusebius anamuweka Luka kuwa ni tabibu wa Antiocha, ambaye alikuwa na Paulo ili kuipatia Injili mamlaka ya kiutume” (The New Encyclopaedia Britannica, Mj. 14, uk. 827).
Gospel of John (Injili ya Yohana)Hajulikani (“Kutokana na dalili za ndani, Injili hii iliandikwa na mwanafunzi mpenzi ambaye jina lake halijulikani” (The New Encyclopaedia Britannica, Mj. 14, uk. 828).
Acts (Matendo)Mtuzi wa Luka (The New Encyclopaedia Britannica, Mj. 14, uk. 830.)
I, II, III John (1, 2, 3 Yohana)Mtunzi wa Yohana (The New Encyclopaedia Britannica, Mj. 14, uk. 830).
Kamkoromee allah aliye kwambia USIPO IAMINI BIBLIA UMEPOTELEA MBALI [emoji56][emoji56]
[emoji116][emoji116]

)يآ أيها الذين آمنوا آمنوا بالله و رسوله والكتاب الَذي نزل على رسوله والكتاب الذي أنزل من قبل. ومن يكفر با لله و ملا ئكته و كتبه و رسله واليوم الآخر فقد ضل ضلالا بعيدا(.
“Enyi mlio amini! Muaminini Mwenyezi Mungu na Mtume wake na Kitabu kilicho teremshwa kwa mtume wake na Kitabu kilicho teremshwa kabla yake. Na mwenye kumkufuru Mwenyezi Mungu na Malaika wake na Vitabu vyake na Mitume wake, na siku ya mwisho, hakika amepotea upotovu ulio mbali na haki.

Na Ushahidi kuwa umesha potelea mbali ni kustanji.
 
Nimechukua ndani Quran
[emoji116][emoji116]
وَكَذَٰلِكَ أَوْحَيْنَا إِلَيْكَ قُرْآنًا عَرَبِيًّا لِّتُنذِرَ أُمَّ الْقُرَىٰ وَمَنْ حَوْلَهَا وَتُنذِرَ يَوْمَ الْجَمْعِ لَا رَيْبَ فِيهِ ۚ فَرِيقٌ فِي الْجَنَّةِ وَفَرِيقٌ فِي السَّعِيرِ
7.
Na namna hivi tumekufunulia Qur'ani kwa Kiarabu ili uwaonye watu wa Mama wa Mji wa Makka na walio pembezoni mwake. Na uhadharishe na Siku ya Mkutano, haina shaka hiyo. Kundi moja litakuwa Peponi, na kundi jengine Motoni.

وَأَنذِرْ عَشِيرَتَكَ الْأَقْرَبِينَ ( 214 )
Na uwaonye jamaa zako walio karibu nawe.

Tafsiri nyingine hii hapa
[emoji116][emoji116]
وَأَنذِرْ عَشِيرَتَكَ الْأَقْرَبِينَ ( 214 )
Na uwaonye jamaa zako walio karibu nawe.
وَأَنذِرْ عَشِيرَتَكَ الْأَقْرَبِينَ ﴿٢١٤﴾
26/Ash-Shu'ara-214: Va anzir aasheeratakal aakrabeen(aakrabeena).

Imam Iskender Ali Mihr
And warn your tribe that is your nearest kindred.

Abdul Majid Daryabadi
And warn thou thy clan, the nearest ones.

Hiyo ni Kauli ya Haqi allah!
Kama sivyo kambishie allah kwa nini Mimi mndengereko simo kwenye uislamu umewapa warabu tu?!
Qur'an inasomeka kwa Context, Zipo aya zinasema Mtume katumwa kwa Walimwengu wote, kwa hiyo hizo aya zikisomwa kwa pamoja wala hazipingani hata kidogo, yaani zinafit into each other perfectly well

Point yako ingemake sense kama kungekuwa na neno "TU" , Umeona mahali popote pameandikwa uwaonye ndugu zako TU (ONLY) mahali popote?

Hapa kuna issue ya logic tu, hiyo ndo imekusumbua, ni issue ya Mutual exclusiveness, Hiyo aya haipingi aya zinazosema mtume katumwa kwa watu wote, ila ni subset yake tu kwa sababu hao ndugu zake na wenyeji wa Makka nao ni subset ya Watu wote

Mgen, Kamwe huwezi kuichallenge Qur'an kwenye logic, Yaani utajikuta kila hoja unayoraise ina Jibu la Kilogic safi kabisa labda uwe mbishi tu
 
Qur'an inasomeka kwa Context, Zipo aya zinasema Mtume katumwa kwa Walimwengu wote, kwa hiyo hizo aya zikisomwa kwa pamoja wala hazipingani hata kidogo, yaani zinafit into each other perfectly well

Point yako ingemake sense kama kungekuwa na neno "TU" , Umeona mahali popote pameandikwa uwaonye ndugu zako TU (ONLY) mahali popote?

Hapa kuna issue ya logic tu, hiyo ndo imekusumbua, ni issue ya Mutual exclusiveness, Hiyo aya haipingi aya aya zibazosema mtume katumwa kwa watu wote, ila ni subset yake tu kwa sababu hao ndugu zake na wenyeji wa Makka nao ni subset ya Watu wote

Mgen, Kamwe huwezi kuichallenge Qur'an kwenye logic, Yaani utajikuta kila hoja unayoraise ina Jibu la Kilogic safi kabisa labda uwe mbishi tu
Unapojibu weka na ushahid wa Aya , acha kuandika makala tu
 
Soma aya hii iko very clear:

"We have sent you ˹O Prophet˺ only as a mercy for the whole world" (Qur'an 21:107).
Kuna mda Allah anaongea anasahau aliongea nini kabla
  • Koran 16:36 And We certainly sent into every nation a messenger,...................

Stupidity is amazing
 
Maneno haya anayasema nani ? Yesu au ? Kama Yesu ushahidi uko wapi na umejuaje kama ni Yesu ?
Anae Apia kwa kile kike na dhakar hapa[emoji116]NANI??

[emoji116][emoji116]
وَاللَّيْلِ إِذَا يَغْشَىٰ ( 1 )
Naapa kwa usiku unapo funika!
وَالنَّهَارِ إِذَا تَجَلَّىٰ ( 2 )
Na mchana unapo dhihiri!
وَمَا خَلَقَ الذَّكَرَ وَالْأُنثَىٰ ( 3 )
Na kwa Aliye umba dume na jike

Acha wazimu wa maswali
[emoji116][emoji116]
1 TIM. 6:3-5 Mtu awaye yote akifundisha elimu nyingine, wala hayakubali maneno yenye uzima ya Bwana wetu Yesu Kristo, wala mafundisho yapatanayo na utauwa, amejivuna; wala hafahamu neno lo lote; bali ana wazimu wa kuwazia habari za maswali, na mashindano ya maneno, ambayo katika hayo hutoka husuda, na ugomvi, na matukano, na shuku mbaya; na majadiliano ya watu walioharibika akili zao, walioikosa kweli, huku wakidhani ya kuwa utauwa ni njia ya kupata faida.
 
Nilisha kwambia acha Hypocrisy, Yesu ndio kasema ibaki ivyo usitoke nje ya mada , kuna wenzako niliwauliza haya ni maneno ya nani wakaishia kusema allah anaongea itakavyo
Huyu ni allah kaongea kasema hivi
9:30 May God destroy them! How far astray they have been led!

stupidity is amazing
Naona hii ni maana mpya ya hili tamko. Huwezi kusema tu kasema Yesu bila ithibati sababu mimi na wewe hakuna aliyemshuhudia Yesu. Lakini lazima tuulize maswali haya ilo tujue ukweli,sababu ukiacha wazi mlango huu kila mtu atasema anachokitaka kisha atakinasibisha kwa Yesu. Vipi Yesu asingiziwe uongo ? Utafurahi au jambo hili ni sawa !

Ukisoma katika sura hiyo hiyo ya 9 aya ya kwanza na ukisoma aya ya 40,utaona maajabu ya hii Qur'aan. Kuna muda unaona kama anaongea Mtume na mfano wake na muda kama hivi. Mtume alikuwa anapewa aya kama zilivyo ,yaani hageuzi kitu,na ilikuwa inashuka kulingana na matukio.

Anasema Allah aliye juu :

30. Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa! (at-Tawbah : 30).

Hapa mtume amaeambiwa aseme hayo,na yeye akasema kama alivyo ambiwa.

Tazama mfano wa aya hii ya kwanza :

1. Huku ni kujitoa Mwenyezi Mungu na Mtume wake kwenye jukumu la maagano na mlio ahidiana nao katika washirikina. (at-Tawbah : 1)

Hapo ukiangalia anaelezewa Allah na anaelezewa mtume,lakimi mzungumzaji ni Mtume wa Allah,ana wasilisha kile alicho shushiwa kama kilivyo.

Kwahiyo Qur'aan iko wazi kama ukiwa unaijua,na unataka kuijua na kuielewa.

Kwahiyo swali langu liko pale pale na lina maana sana. Siwezi amini yaliyomo katika Biblia mpaka nijue ukwelo wake aidha Qur'aan iwe imekisadikisha au Hadithi za mtume.

Kwahiyo Qur'aan ni maneno ya Allah ambayo alikuwa anayawasilisha Mtume kwetu.
 
Anae Apia kwa kile kike na dhakar hapa[emoji116]NANI??

[emoji116][emoji116]
وَاللَّيْلِ إِذَا يَغْشَىٰ ( 1 )
Naapa kwa usiku unapo funika!
وَالنَّهَارِ إِذَا تَجَلَّىٰ ( 2 )
Na mchana unapo dhihiri!
وَمَا خَلَقَ الذَّكَرَ وَالْأُنثَىٰ ( 3 )
Na kwa Aliye umba dume na jike

Acha wazimu wa maswali
[emoji116][emoji116]
1 TIM. 6:3-5 Mtu awaye yote akifundisha elimu nyingine, wala hayakubali maneno yenye uzima ya Bwana wetu Yesu Kristo, wala mafundisho yapatanayo na utauwa, amejivuna; wala hafahamu neno lo lote; bali ana wazimu wa kuwazia habari za maswali, na mashindano ya maneno, ambayo katika hayo hutoka husuda, na ugomvi, na matukano, na shuku mbaya; na majadiliano ya watu walioharibika akili zao, walioikosa kweli, huku wakidhani ya kuwa utauwa ni njia ya kupata faida.
Hujajibi swali ninalo kuuliza. Mpaka najiuliza kwanini hujibu maswali niliyo kuuliza.

Jibu maswali niliyo kuuliza kisha uulize maswali yako nikujibu,sababu ni marahisi sana kwangu.
 
Naona hii ni maana mpya ya hili tamko. Huwezi kusema tu kasema Yesu bila ithibati sababu mimi na wewe hakuna aliyemshuhudia Yesu. Lakini lazima tuulize maswali haya ilo tujue ukweli,sababu ukiacha wazi mlango huu kila mtu atasema anachokitaka kisha atakinasibisha kwa Yesu. Vipi Yesu asingiziwe uongo ? Utafurahi au jambo hili ni sawa !

Ukisoma katika sura hiyo hiyo ya 9 aya ya kwanza na ukisoma aya ya 40,utaona maajabu ya hii Qur'aan. Kuna muda unaona kama anaongea Mtume na mfano wake na muda kama hivi. Mtume alikuwa anapewa aya kama zilivyo ,yaani hageuzi kitu,na ilikuwa inashuka kulingana na matukio.

Anasema Allah aliye juu :

30. Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa! (at-Tawbah : 30).

Hapa mtume amaeambiwa aseme hayo,na yeye akasema kama alivyo ambiwa.

Tazama mfano wa aya hii ya kwanza :

1. Huku ni kujitoa Mwenyezi Mungu na Mtume wake kwenye jukumu la maagano na mlio ahidiana nao katika washirikina. (at-Tawbah : 1)

Hapo ukiangalia anaelezewa Allah na anaelezewa mtume,lakimi mzungumzaji ni Mtume wa Allah,ana wasilisha kile alicho shushiwa kama kilivyo.

Kwahiyo Qur'aan iko wazi kama ukiwa unaijua,na unataka kuijua na kuielewa.

Kwahiyo swali langu liko pale pale na lina maana sana. Siwezi amini yaliyomo katika Biblia mpaka nijue ukwelo wake aidha Qur'aan iwe imekisadikisha au Hadithi za mtume.

Kwahiyo Qur'aan ni maneno ya Allah ambayo alikuwa anayawasilisha Mtume kwetu.
Acha Hypocrisy, narudia tena acha Hypocrisy ndio tujadiliane
Nipe ushahidi wapi Allah kamwambia muhhammad aseme haya maneno
Kumbuka Koran mnadai ni maneno ya Allah sasa maneno ya Muhammad lazima yatanguliwe na Neno Sema
9:30 May God destroy them! How far astray they have been led!

stupidity is amazing
 
Kuna mda Allah anaongea anasahau aliongea nini kabla
  • Koran 16:36 And We certainly sent into every nation a messenger,...................

Stupidity is amazing
On the past yes.

Muhammad ni mmojawapo tu katika kundi kibwa la mitume waliokuja kabla yake.

Au unafikiri mitume ni wayahudi peke yao?
 
Acha Hypocrisy, narudia tena acha Hypocrisy ndio tujadiliane
Nipe ushahidi wapi Allah kamwambia muhhammad aseme haya maneno
Kumbuka Koran mnadai ni maneno ya Allah sasa maneno ya Muhammad lazima yatanguliwe na Neno Sema
9:30 May God destroy them! How far astray they have been led!

stupidity is amazing
Naona umeelewa sasa. Nasubiri majibu ya maswali yangu.

Ni kosa kubwa sana kuilinganisha Qur'aan na Biblia. Kama una akili timamu huwezi kufanya huu ujinga.

Sasa jenga hoja na ukosoea nilicho kiandika kwa hoja.

Nasubiri majibu ya maswali yangu.
 
Acha Hypocrisy, narudia tena acha Hypocrisy ndio tujadiliane
Nipe ushahidi wapi Allah kamwambia muhhammad aseme haya maneno
Kumbuka Koran mnadai ni maneno ya Allah sasa maneno ya Muhammad lazima yatanguliwe na Neno Sema
9:30 May God destroy them! How far astray they have been led!

stupidity is amazing
Hujajibi swali ninalo kuuliza. Mpaka najiuliza kwanini hujibu maswali niliyo kuuliza.

Jibu maswali niliyo kuuliza kisha uulize maswali yako nikujibu,sababu ni marahisi sana kwangu.
Kwani hijui swali linajibu swali??
Ukisha jibu hapa
[emoji116][emoji116]
وَاللَّيْلِ إِذَا يَغْشَىٰ ( 1 )
Naapa kwa usiku unapo funika!
وَالنَّهَارِ إِذَا تَجَلَّىٰ ( 2 )
Na mchana unapo dhihiri!
وَمَا خَلَقَ الذَّكَرَ وَالْأُنثَىٰ ( 3 )
Na kwa Aliye umba dume na jike Apia kwa
[emoji115][emoji116][emoji115][emoji116]
aliye umba dhakar na kile cha kike ni nani?!
Jibu LA swali lako utapata?

Dhahir eeh?!
 
Swali hujibu swali kwa masharti mzee,siyo kwa mtindo huu. Sharti la kwanza lazima kuwe kwenye swali hilo ambalo ni jibu kuwe na jibu. Maana yake swali ulilo niuliza mimi siwezi kukujibu kwa swali sababu jibu lake liko wazi.

Sasa najua hilo swali ni gumu kwenu ndiyo maana mnakimbia,na hapa hatulei wajinga . Mpaka mjibu swali hilo.

Ama kuhusu swali ulilo niuliza ni kuwa Allah huapa kwa majina yake,au kwa viumbe wake kama alivyo onyesha katika aya hizo.

Sasa nasubiri majibu ya maswali yangu,kwamba hizo habari anasimulia nani na ushahidi uambatane.

Shukrani.
 
Unaweza kunitajia list ya mitume wa Allah waliokuja kila nchi Africa

Stupidity is amazing
Wewe unadhani kila kitu kiko written?

Kwenye Qur'an wametajwa Mitume 25 tu

Tukiacha hilo, unaposikia neno nation, kwa mujibu wa scriptures hilo ni kundi la watu regardless wanaishi wapi!

Kwa mfano Hujui kuwa baba yetu NUHU alikuwa ni mtume kwa vizazi vyake vyote(yaani mataifa yote) ? hii ni kabla ya Abraham

(Au hujui kuwa kwa Nuhu yanatoka mataifa yote)
 
Kamkoromee allah aliye kwambia USIPO IAMINI BIBLIA UMEPOTELEA MBALI
emoji56.png
emoji56.png

emoji116.png
emoji116.png

)يآ أيها الذين آمنوا آمنوا بالله و رسوله والكتاب الَذي نزل على رسوله والكتاب الذي أنزل من قبل. ومن يكفر با لله و ملا ئكته و كتبه و رسله واليوم الآخر فقد ضل ضلالا بعيدا(.
“Enyi mlio amini! Muaminini Mwenyezi Mungu na Mtume wake na Kitabu kilicho teremshwa kwa mtume wake na Kitabu kilicho teremshwa kabla yake. Na mwenye kumkufuru Mwenyezi Mungu na Malaika wake na Vitabu vyake na Mitume wake, na siku ya mwisho, hakika amepotea upotovu ulio mbali na haki.

Na Ushahidi kuwa umesha potelea mbali ni kustanji.

Wewe ni sikio lisilosikia dawa nimekuuliza zaidi ya mara mia ni biblia ipi iliyotajwa hapo huniambii
 
Kwani hijui swali linajibu swali??
Ukisha jibu hapa
[emoji116][emoji116]
وَاللَّيْلِ إِذَا يَغْشَىٰ ( 1 )
Naapa kwa usiku unapo funika!
وَالنَّهَارِ إِذَا تَجَلَّىٰ ( 2 )
Na mchana unapo dhihiri!
وَمَا خَلَقَ الذَّكَرَ وَالْأُنثَىٰ ( 3 )
Na kwa Aliye umba dume na jike Apia kwa
[emoji115][emoji116][emoji115][emoji116]
aliye umba dhakar na kile cha kike ni nani?!
Jibu LA swali lako utapata?

Dhahir eeh?!

The Bible's claims.

(a)- GOD swore by the Pride of Jacob.

(i)- Contradiction between Amos 8:7 and Hebrews 6:12-14.

Let us look at the following verses from the Bible's Old Testament:

Amos 8:7 (KJV)
7 The Lord hath sworn by the excellency of Jacob, Surely I will never forget any of their works.

Amos 8:7 (RSV)
7 The Lord has sworn by the pride of Jacob: “Surely I will never forget any of their deeds.

Amos 8:7 (ESV)
7 The Lord has sworn by the pride of Jacob: “Surely I will never forget any of their deeds.

Amos 8:7 (AMP)
7 The Lord has sworn [an oath] by the pride of Jacob, “Surely I shall never forget [nor leave unpunished] any of their [rebellious] acts.

Amos 8:7 (GNV)
7 The Lord hath sworn by the excellency of Jacob, Surely, I will never forget any of their works.

Amos 8:7 (NLV)
7 The Lord has promised by the pride of Jacob, “For sure I will never forget anything they have done.

Amos 8:7 (NRSV)
7 The Lord has sworn by the pride of Jacob: Surely I will never forget any of their deeds.

Amos 8:7 (YLT)
7 Sworn hath Jehovah by the excellency of Jacob: `I forget not for ever any of their works.

Yet, in Hebrews 6:12-14 above, we're told that GOD Almighty wouldn't swear on anything other than Himself, because there is none Greater than Him:

Hebrews 6:12-14

12 We do not want you to become lazy, but to imitate those who through faith and patience inherit what has been promised.

13 When God made his promise to Abraham, since there was no one greater for him to swear by, he swore by himself,

14 saying, "I will surely bless you and give you many descendants."

Clear contradiction, which proves that the Bible is corrupt, and those who spoke were not inspired by GOD Almighty. Ironically, we even find fights among the disciples in the New Testament!
 
Back
Top Bottom