Je, Benki ya DCB ina mrengo wa kisiasa! huu unyonyaji wanaoufanya kwenye mikopo ya waalimu ni maelekezo ya nani tumjue?

Mtemi mpambalioto

JF-Expert Member
Aug 23, 2015
3,264
7,404
Hii ni benki chini ya JIJI LA DAR ES SALAAM, ni benki ya siku nyingi ila tabia zake haziendani na matakwa ya RAIS SAMIA kuwapunguzia mzigo wafanyakazi wanaokopa kujikwamua kiuchumi!

Benki hii ndio yenye riba KUBWA 19% wakati benki zingine zina 16% kushuka chin mpaka 11%

Ukiwaambia wakupunguzie riba wanasema watakuwekea 16 halafu unakuta kimahesabu inarudi 19%

Je, uhuni huu BoT WANAUJUA?
la pili ambalo ni BAYA ZAIDI! ukienda kufuta mkopo kwa CASH wanakukata na riba ambayo haipaswi kabisa kukatwa kisheria! je NANI ANAWAPA KIBURI HIKI KUKIUKA SHERIA ZA NCHI?

SERIKALI waangalieni hawa wanyinyaji sana kwa wafamyakaza hasa waalimu na maaskari polisi
 
Benki ya jiji? Kwani kwenye capitalism serikali huwa inafanya Biashara??????
yaan ukienda ofisinu kwao utafkiri benki haina kiongozi maana kila mtu anafanya kivyake tu! wafanyakaz wakongwe wa idara ya mikopo wamekimbia kibaoooo wamebaki wageni tu
 
Hii ni benki chini ya JIJI LA DAR ES SALAAM, ni benki ya siku nyingi ila tabia zake haziendani na matakwa ya RAIS SAMIA kuwapunguzia mzigo wafanyakazi wanaokopa kujikwamua kiuchumi!

Benki hii ndio yenye riba KUBWA 19% wakati benki zingine zina 16% kushuka chin mpaka 11%

Ukiwaambia wakupunguzie riba wanasema watakuwekea 16 halafu unakuta kimahesabu inarudi 19%

Je, uhuni huu BoT WANAUJUA?
la pili ambalo ni BAYA ZAIDI! ukienda kufuta mkopo kwa CASH wanakukata na riba ambayo haipaswi kabisa kukatwa kisheria! je NANI ANAWAPA KIBURI HIKI KUKIUKA SHERIA ZA NCHI?

SERIKALI waangalieni hawa wanyinyaji sana kwa wafamyakaza hasa waalimu na maaskari polisi
Kakope hizo benki zenye riba ndogo
 
Kabisa, benki hii inanyonya Sana walimu, mbaya zaidi hata ukienda kufanya "top up" bado nafuu ya haipo pamoja na riba kubwa bado wanakulazimisha sharti mshahara upitie benki yao na hautabadili hadi umalize deni lao.

Waziri wa fedha na benki kuu waakaongee nao maana kama ni benki ya jiji ilipaswa kuwa na nafuu zaidi lakini maelezo ya benki kuu hayazingatiwi ktk benki hii.
 
Hii ni benki chini ya JIJI LA DAR ES SALAAM, ni benki ya siku nyingi ila tabia zake haziendani na matakwa ya RAIS SAMIA kuwapunguzia mzigo wafanyakazi wanaokopa kujikwamua kiuchumi!

Benki hii ndio yenye riba KUBWA 19% wakati benki zingine zina 16% kushuka chin mpaka 11%

Ukiwaambia wakupunguzie riba wanasema watakuwekea 16 halafu unakuta kimahesabu inarudi 19%

Je, uhuni huu BoT WANAUJUA?
la pili ambalo ni BAYA ZAIDI! ukienda kufuta mkopo kwa CASH wanakukata na riba ambayo haipaswi kabisa kukatwa kisheria! je NANI ANAWAPA KIBURI HIKI KUKIUKA SHERIA ZA NCHI?

SERIKALI waangalieni hawa wanyinyaji sana kwa wafamyakaza hasa waalimu na maaskari polisi
Ni mateso juu ya mateso, pia msaada hata wanaopitishia mishahara huko wanateseka Sana wanapata mshaha wao siku tatu baada ya mabenki mengine kutoa moshahara
 
Benki ya jiji? Kwani kwenye capitalism serikali huwa inafanya Biashara??????
Nadhan wafanyakazi hawa wanajipeleka wenyewe ili wanyooshwe.

Kama washabaini hayo mapungufu, huu ujinga wanafanyiwa kwa utashi wao,

nadhan ni muhimu uelewa wa wafanyakazi ukasaidia na kama ausaidii basi wakafie mbele
 
Back
Top Bottom