Je, bado kuna Waafrika wenye akili wanaoamini kuwa Uislam na Ukristo ndiyo dini za kweli za Mungu?

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,691
Reaction score
2,303
Habarini,
Mwafrika yoyote aliyesoma kweli na kujitambua lazima keshaelewa kuwa uislama na ukristo ni uongo kulingana na malengo na hasara zake kwa waafrika ikiwepo kupiteza asili na utamaduni wa Waafrika wa ukweli ktk kuabudu na kuamini.

Hivi kweli inawezekanaje mtu amesoma kuanzia la kwanza hadi chuo kikuu ashindwe kutambua kuwa yooooote ktk ukristo na uislam siyo asili yake yaani anakana hadi majina na mila za waasisi wake na kungangania kwa wazungu na warabu ,kweli huyu nu msomi au msomwa??

Ujinga wa easomi wa kuafrika ni mzigo kwa vizazi vyote vya kiafrika kwani wameshindwa kujikomboa kutoka kwenye UTUMWA WA KIFIKRA na kubadilika kufuata ukweli baada ya kupata elimu ya kizungu na kiarabu kwa kuutafuta ukweli.
 
Nilikuwa nina swali Bwana Mkubwa. Utamaduni wa kiafrika katika kuamini na kusali ni upi? Naomba jibu kama hutajali mkuu.
 
Sema wewe MJINGA tu ndio maana umeandika utumbo

Elimu inatakiwa ikuongezee utiifu kwa Mungu

Ukisoma udaktati, anatamy, physiology, biochemistry nk unapata kujua ukubwa wa uumbaji wa Mungu

Ukiwa Engineer kila unachodesign kinakukumbusha juu ya designer mkubwa /Mungu aliyedesign Mbingu, ardhi, Bahari, mito, maziwa, milima nk

Shida ulienda shule kuwawachoma we zako na mbegu za ubuyu na sio kusoma
 
Mwafrika hakuwa na dini kabla ya ujio wa wageni alikuwa na mila na desturi.
Thus hakuna dini ya waafrika kila jamii iliabudu kivyake
 
Hapo elezea vizuri, maana elimu unayosoma nayo sehemu kubwa ni ya wazungu na inawatukuza wazungu. Ila pia elewa kuwa kumfuata Yesu Kristo si kufuata imani au madhehebu ya kikristo. Ni kumfuata Yeye mwenyewe Yesu aliyekuja kuwakomboa watu wote, si wanaojiita wakristo tu.
 
Habarini,
Mwafrika yoyote aliyesoma kweli na kujitambua lazima keshaelewa kuwa uislama na ukristo ni uongo kulingana na malengo na hasara zake kwa waafrika ikiwepo kupiteza asili na utamaduni wa Waafrika wa ukweli ktk kuabudu na kuamini.

Hivi kweli inawezekanaje mtu amesoma kuanzia la kwanza hadi chuo kikuu ashindwe kutambua kuwa yooooote ktk ukristo na uislam siyo asili yake yaani anakana hadi majina na mila za waasisi wake na kungangania kwa wazungu na warabu ,kweli huyu nu msomi au msomwa??

Ujinga wa easomi wa kuafrika ni mzigo kwa vizazi vyote vya kiafrika kwani wameshindwa kujikomboa kutoka kwenye UTUMWA WA KIFIKRA na kubadilika kufuata ukweli baada ya kupata elimu ya kizungu na kiarabu kwa kuutafuta ukweli.
Twende kwa hoja sasa: tukiondoa hao waumini wasomi, je hao wasomi Waafrika wasio abudu ni maendeleo gani ya mfano waliyoleta dhidi ya wanaoabudu, unaweza kutoa mfano kidogo?
 
Habarini,
Mwafrika yoyote aliyesoma kweli na kujitambua lazima keshaelewa kuwa uislama na ukristo ni uongo kulingana na malengo na hasara zake kwa waafrika ikiwepo kupiteza asili na utamaduni wa Waafrika wa ukweli ktk kuabudu na kuamini.

Hivi kweli inawezekanaje mtu amesoma kuanzia la kwanza hadi chuo kikuu ashindwe kutambua kuwa yooooote ktk ukristo na uislam siyo asili yake yaani anakana hadi majina na mila za waasisi wake na kungangania kwa wazungu na warabu ,kweli huyu nu msomi au msomwa??

Ujinga wa easomi wa kuafrika ni mzigo kwa vizazi vyote vya kiafrika kwani wameshindwa kujikomboa kutoka kwenye UTUMWA WA KIFIKRA na kubadilika kufuata ukweli baada ya kupata elimu ya kizungu na kiarabu kwa kuutafuta ukweli.
Ukitembea na mwizi na we utakuwa mwizi lkn inashangaza Sana kuona wasomi wetu hawajabadilika kuwa wazungu au waarabu Hadi leo hali yakuwa elimu waliyoipata Ni yakizungu na kiarabu Ni Jambo la kushukuru Mungu kwa kweli.
 
Nilikuwa nina swali Bwana Mkubwa. Utamaduni wa kiafrika katika kuamini na kusali ni upi? Naomba jibu kama hutajali mkuu.

Dini asilia za Kiafrika​

Dini asilia za Kiafrika ni kati ya dini za jadi ambazo zinadumu hata leo, ingawa wafuasi wake walipungua mwaka hadi mwaka kulingana na dini zilizotokea Mashariki ya Kati, hasa Ukristo na Uislamu, ambazo zilienea Afrika, bara kubwa lenye jamii na tamaduni nyingi ila kwa sasa Dini za Asili za Kiafrika zimarudi kwa kasi.
Vinyago vya Wakongo.

Leo hii Waafrika wengi wajinga bado wamejiunga na dini za Ukristo na Uislamu zinazomtangaza Mungu mmoja.

Imani hizo za Kiafrika zilikuwepo tangu miaka mingi katika sehemu kadhaa za Afrika lakini katika maeneo mengine dini za Ukristo na Uislamu ulienea tu vizazi vichache vilivyopita zikiendelea hadi leo.

Dini za asili, Ukristo na Uislamu zinaathiriana katika Afrika. Hivyo kuna watu ambao wanafuata imani za jadi au walau sehemu za imani hizo. Kwa hiyo inafaa kupata picha ya imani katika jamii za Waafrika jinsi zilivyokuwa kabla ya kuguswa na Uislamu na Ukristo.

Dini za Kiafrika zinafuata imani maalumu, sawa kabisa na hizo za nje ambazo zimeleta mfumo mpya wa kuabudu. Badala ya kuabudia mapangoni au misituni kama Waafrika walio wengi walivyofanya kwa karne nyingi, zimehimiza kujenga makanisa na misikiti kwa ajili ya kumwabudu Mungu kadiri ya miongozo yao wenyewe.

Madhehebu mengi ya Kikristo yamekuwa yakimuabudu Mungu kwa kushirikiana na wafu wanaoheshimiwa kama watakatifu, wakati Waafrika tangu zamani waliwaenzi WAZEE wao waliokufa na kuwaita MIZIMU. Waafrika hao tangu zamani waliwaheshimu wafu kwenye makaburi yao, lakini baadhi ya Wakristo waliwaheshimu wafu kanisani kwa sala zao pamoja na kusujudu sanamu au picha za hao wafu i.e.yesu

Katika Amri Kumi za Biblia, Waafrika kwa jumla walikuwa nazo hata kabla ya kuja kwa Wazungu: walijua kwamba imewapasa kuwaheshimu wazazi wao, kutoua, kutoiba wala kufanya kinyume na maagizo ya wazee wao.

Kwa mtazamo wa Kikristo, Mungu mwenyewe ndiye aliyewaandaa hivyo Waafrika kupokea wokovu kwa njia ya Yesu Kristo, aliyekuja si kutangua bali kukamilisha yale yote yaliyo mema katika binadamu wote na siyo WATU wote.

Pamoja na hayo yote, bado baadhi ya makabila yanaendelea na mila zao za kuheshimu wafu ingawa dini zenye asili ya Mashariki ya Kati zinakataza namna hiyo.

Naimani umejielewa vizuri!!
 
Nyie wenye hii movement mna uwezo mdogo sana wa kufikiria na mara nyingi hutukana.

Nilijiungaga kwenye group sijui page yenu moja mtandaoni mkaishia kunitukana tu.

Umegoogle na kucopy hii toka mtandaoni. Hujanijibu. Dini na utaratibu wenu wa kuabudu waafrika ni upi? Hilo ndio swali langu.

Nilifikiri ungeniambia sisi waafrika dini yetu ni moja mbili tatu. Utaratibu wa Imani na ibada upo hivi na hivi na sio kucopy na kupaste hapa.
 
Habarini,
Mwafrika yoyote aliyesoma kweli na kujitambua lazima keshaelewa kuwa uislama na ukristo ni uongo kulingana na malengo na hasara zake kwa waafrika ikiwepo kupiteza asili na utamaduni wa Waafrika wa ukweli ktk kuabudu na kuamini.

Hivi kweli inawezekanaje mtu amesoma kuanzia la kwanza hadi chuo kikuu ashindwe kutambua kuwa yooooote ktk ukristo na uislam siyo asili yake yaani anakana hadi majina na mila za waasisi wake na kungangania kwa wazungu na warabu ,kweli huyu nu msomi au msomwa??

Ujinga wa easomi wa kuafrika ni mzigo kwa vizazi vyote vya kiafrika kwani wameshindwa kujikomboa kutoka kwenye UTUMWA WA KIFIKRA na kubadilika kufuata ukweli baada ya kupata elimu ya kizungu na kiarabu kwa kuutafuta ukweli.
Wewe hujui lolote kuhusu dini wala nadharia yake. Tungeendekeza dini za kiafrika mpaka leo tungekuwa tunachinjana, haya madhara ya dini zs kigeni ni madogo kabisa ukilinganisha na faida zake. Utumwa ulianza kufanywa na waafrika dhidi ya wenzao miaka mingi kabla ya kuja kwa wageni. Na kusingekuwa na nchi unazoziona leo. Jielimishe.
 
Je nyie Waafrika mnaojioma kuwa mko.sahihi mmewahi kujiuliza kwa nini MUNGU alete ukristo au uislam tu kwa WAAFRIKA na asiwaletee dini za Hindu, Buddha, Confucianism, Taoism, Uyahud,nk?

Kama siyo UJINGA wa Wafia dini ni Mungu gani wa hivyo alete wazungu na warabu tu kuja kwa waafrika kuwaandaa warudi mbinguni je hao watu wengine itakuwaje?Mungu jataki warudi mbinguni??

Kama uislam na ukristo zingekuwa dini za kweli zilizoletwa na Mungu kwaajili ya kuwakomboa watu wote duniani kwanini hazikutawala au hakuzitawanya duniani kote kwa watu wote na kwa wingi kama zilivyosambaa Afrika?

Ujinga ukizidi ni dhambi
 
Back
Top Bottom