HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 607
- 553
Habarini,
Kabla ya kuja wakoloni Waafrika tulikuwa na imani zetu kupitia dini zetu za asili.
Walipofika wazungu na waarabu wakaanzisha mashule na makanisa ili kuwaambukiza wachache ujinga walionao nao na kuwakalilisha vya kizungu na kiarabu na kuwaondoa ktk imani za Kiafrika kwa kuwapa certificate,diplo,adegreebk kama utambulisho kuwa wamehitimu kuambukizwa ujinga wa kiislam na ukristu na kuacha mila zao huku wakifundishwa zaidi kuacha Uafrika na kufuata uzungu na uarabu kwa kuamini waliyofundishwa huko madrasa na makanisani ndiyo yatakayowafikisha mbinguni kwa Mungu kupitia yesu na mohamed kitu ambacho nakipinga sana,sana, na ndicjo kinachowatafuna Waafrika kuamini vitu vya kuletewa.
Hao waliotuletea habari za yesu na muhamed wanatoa makafara katika mila zao za kishenzi/uwuzu sisi wanatukataza kuabudu mila zetu eti ni za kishenzi kupitia hawa Waafrika walafi wa madaraka eti wachungaji na mashehe.
Hakuna maisha baada ya kufa kama ilivyo miti na wanyama uhai ukikutoka umeenda ndiyo maana mti unakuwa na kufa kisha kuwa mbolea na binadamu vivyo hivyo hufa na kuwa mbolea.
Huu ni wakati wa kubadilika sasa kuachana na makanisa na misikiti ili kurejerea MILA na DESTURURU zetu.
Iweje watu waliotuleyea habari za Mungu na wokovu wawe wezi,mabepari,mafisadi,nk hivi Mungu gani anaweza kuwatuma watu hao?
Kila janga wao ndiyo chanzo vita,magongwa,nk
Waafrikwa badilikeni sasa na kujitambua WATAKATIFU/MALAIKA/MITUME wote ni ama wazungu au waarabu hakuna mchina,mjapani,mwafrika,mhindi,nk ?
Kwa ujinga huu lazima waafrikwa wote mchomwe moto kama kweli upo