Je, asili ya majini ni ipi?

Je, asili ya majini ni ipi?

I agree to disagree. .Bye-bye. ..and have a nice life ndugu yangu. .Naenda sebuleni kupata upepo wa Indian Ocean. .na kusali maana ndiyo mida yenyewe. .
Umengangania I agree and disagree! That's all you know? I hope husali na Majini?
 
Viumbe roho havina ithibati za kisayansi
Yes havina ithibati, lakini Science inakubali kuhusu uwepo wa UFO (unidentified flying objects) kutokana na evidence zinazoachwa na UFO or aliens. It's possible aliens kuwa spirit creatures visiting the earth!
 
Yes havina ithibati, lakini Science inakubali kuhusu uwepo wa UFO (unidentified flying objects) kutokana na evidence zinazoachwa na UFO or aliens. It's possible aliens kuwa spirit creature visiting the earth!
Hakuna kitu kama UFO hiyo ilikuwa no michezo ya wamarekani na warusi
Jiulize
Mbona siku hizi hatusikii tena habari zake?
Mbona hao UFO walitokea huko kwao tu
 
Basi hatari sana hii dini.
Ni lazima iwe hatari maana ndo njia ya kwenda peponi ipo huko peponi hawaeindi kiholela na hii ndo vita tulio ambiwa tupigane sio ya mapanga bali ni ya kiroho kumwomba Mungu tusishawishike.
 
majini wanao uwezo wa kuchukua umbo lolote l kiumbe aweza akawa mtu paka mbwa nk .majini hatuwez kuwaona kuona kw macho yetu ila wao wanatuona ss vzr but binadam amepewa uwezo n mungu kuwadhibit majin meng kw wakat mmoja thru jesus name hilo jina n komesha y majin yoteeee only dat
 
Yakhee kabla ya kujibiwa hayo....wamjua sheitwan (according to Qur'an aliyoshushiwa mtume muhammad (S.A.W) acha Shetani.

Wamjua huyo?

Ukijibu hilo itakuwa rahisi kujibiwa zaidi.
Nimeuliza swali nawe unaniuliza swali ambalo hata haliusiani na biblia,maana mie nauliza maswali yenye kuhusu majini ndani ya biblia.

Kama huna uelewa na jambo sema tu sijui.
 
Aliota PRIDE, ile ambayo waumin wa dini ya hakhi mwaita KIBRI.

Umeelewa au lengo lako si kuelewa ila kubishana kama waislam wa ubwabwa waso akili upstairs?
Kuwa na Pride au Kibri ndiyo akataka tu kupambana na Mungu yani ndiyo hivyo tu?
 
Wewe nilikufahamu kama muumin wa Muhammad S.A.W (Amani iwe kwake) mwenye ufahamu mpana zaidi ya waislam mapovu ila kwa baadhi ya standard ya maswali yako...yanadhihirisha jinsi gani unafanya kitu kinachoitwa

"Voluntarly retardation of your own IQ capacity"

Hiyo imetokea kutokana na kuuliza maswali yaliyo chini ya kiwango cha uelewa wako.

Swali la msingi na muhimu hapo ni hilo la kuhusu

"Habari ya Lucifer kuhasi na kutupwa kuzimu" na utajibiwa

ILA, hilo la kuuliza kuwa tumetoa wapi au kwanini tusiwaite hao "Malaika" badala ya "Majini" au "Mapepo" ni ILLOGICAL QN.

Again, how could we answer that, while ua concrete justification here...kwa wenye uelewa hv noticed this:-

" what u need is Arguments n not positive dialoque neither discussion"


-Mnaamini "Malaika" wameumbwa na Nuru

-Majini yameumbwa kwa moto

-Bin'adamu wameumbwa kwa udongo

NOTE:

Ikiwa nitakuuliza uliye smart kichwani kuwa ni kwanini hamkuwaita Bin'adamu MALAIKA

Huoni utaniona mimi ni Taahira mkurupukaji.
Malaika ana sifa zake zenye kumtofautisha na viumbe wengine kama ilivyo kwa wanadamu pia wana sifa zao zenye kuwatofautisha na viumbe wengine.

Hivyo hatuwezi binadamu tukamwita malaika wala malaika tukamwita binadamu.

Sasa mimi nimetaka kujua kwanini hao malaika waliyomuasi mungu mnawaita majini/mashetani? kwani haya maneno yana maana gani?
 
Ni lazima iwe hatari maana ndo njia ya kwenda peponi ipo huko peponi hawaeindi kiholela na hii ndo vita tulio ambiwa tupigane sio ya mapanga bali ni ya kiroho kumwomba Mungu tusishawishike.
Sasa fikiria wamepotea wangapi katika hiyo vita?
Kwa jinsi inavyoonekana mnayepigana naye ametawala mapigano anamchezea adui yake vile atakavyo.
 
Naam ila wana baadhi ya mambo wanaweza kufanya kama malaika ndo maana waislam wanachanganyikiwa wanajua ni malaika kumbe majin
Kwani umalaika ni nini hadi umalaika wao upotee baada ya kuasi na kuwa majini? na nini maana jini?
 
Go on.

Umewahi kushiriki ibada ya kiislam mara ngapi?

Je ulishuhudia Waislam wakiswali pamoja na majini?

Uliyaona vipi majini wakati wengi tunajuwa hayaonekani?

Unaweza vipi kushiriki ibada na kisichoonekana?

Usipende kukaririshwa tukia akili yako walau kidogo tu ufikiri,

*Nijibu hayo maswali kiufasaha nikuelewe*

-Ukishindwa kuyajibu utakuwa dhalimu kwa kusema usiyokuwa na ufahamu nayo
Kwahyo unapingana na Kitabu kitukufu Mkuu, Quran? Napita tu.
 
Hao malaika walimuasi mungu kwa jambo lipi yani ni uasi gani waliyoufanya kwa mungu?

Na kwanini wameitwa majini au mapepo badala ya kuendelea kuitwa tu malaika,kwani neno jini au pepo lina maana gani hadi wakaitwa hivyo?

Na ina maana hao majini wana sifa zote za malaika kama walizonazo malaika wengine ila tofauti yao wao walimuasi mungu tu?
Kwani vitabu hivi viwili (Quran na Bible) vinasemaje kumuhusu Shetani? Je vyote vinasema kuwa Shetani ibilisi, hakuwahi kuwa mchamungu? Dhambi gani ilimtoa uchamungu wake?

Je wanajeshi wanaohasi wataendelea tu kuitwa wanajeshi au waasi? Shetani ibilisi=mpinzani muasi.
 
Ni uasi gani hao malaika waliufanya kwa mungu?

Na je,idadi ya hao malaika waliyomuasi mungu huwa haipungui wala kuongezeka?
Kwa mujibu wa vitabu, uasi ulotendeka ni kutotii mamlaka ya Mungu. Kuleta upinzani (kudai demokrasia zidi ya kile walichokiita serikali ya kidikteta ya Mungu) ili yeyote yule atakaye na mwenye uwezo ashike hatamu ya uongozi.

Je wanaongezeka ktk uasi? Ndio, tangu Adam, hadi wakati wa Jesus (kwa wakristo) malaika walikuwa wakiangukia ktk uasi. Mfn. Kipindi cha Nuhu walihasi,,,, sio kwa kutaka mamlaka bali tamaa za kimwili. Lakini pia hata Jesus, pia alikuwa ktk wakati wa kuweza kuhasi pale alipojaribiwa na Lucifer.

NB: vyama vyingi na demokrasia haya yameasisiwa na mwanademokrasia mkuu Lucifer, tuziitazo haki za binadamu pia mazao yake. Watch out!!
 
Kwani vitabu hivi viwili (Quran na Bible) vinasemaje kumuhusu Shetani? Je vyote vinasema kuwa Shetani ibilisi, hakuwahi kuwa mchamungu? Dhambi gani ilimtoa uchamungu wake?

Je wanajeshi wanaohasi wataendelea tu kuitwa wanajeshi au waasi? Shetani ibilisi=mpinzani muasi.
Sasa vinatofautiana,na mie nauliza kwenye biblia.
Kwa sababu kwenye Qur'an Ibilisi asili yake ni jini na kwenye biblia Ibilisi asili yake ni malaika.
 
Biblia haina ilmu ya majinni,majinni ni viumbe kama walivyobinadamu wapo wabaya na wazuri
Hawajielewi tu hao,pale wanaposema PEPO WACHAFU,lazima kutakuwa na kinyume chake PEPO WASAFI.Mbona hawesemi Malaika wasafi,wanasema malaika tu,kwa sababu hakuna kinyume chake.
Kwa hiyo wajuwe,ikiwa wapo Pepo wachafu na Pepo wasafi watakuwako.
Tatizo kitabu chao,kimetafsiriwa kutoka mlolongo mrefu wa lugha ya asili,kila tafsiri inavyoongezeka,ndio vitu vingi vinaachwa,kutegemea na ugumu wa kutafsiri.
 
Hawajielewi tu hao,pale wanaposema PEPO WACHAFU,lazima kutakuwa na kinyume chake PEPO WASAFI.Mbona hawesemi Malaika wasafi,wanasema malaika tu,kwa sababu hakuna kinyume chake.
Kwa hiyo wajuwe,ikiwa wapo Pepo wachafu na Pepo wasafi watakuwako.
Tatizo kitabu chao,kimetafsiriwa kutoka mlolongo mrefu wa lugha ya asili,kila tafsiri inavyoongezeka,ndio vitu vingi vinaachwa,kutegemea na ugumu wa kutafsiri.
Sijakuelewa pepo msafi ndo una manisha nini kwahiyo kuna shetan mwema na shetan mbaya yaan kuna shetan mcha mungu au mimi sijakuelewa ndugu
 
Back
Top Bottom