Je, asili ya majini ni ipi?

Je, asili ya majini ni ipi?

Ntajaribu kijibu, =Majini ni viumbe kma ss na hawaonekani ila ukiwataka kwa sababu zako mwenyewe utawaona na wala hawna nguvu yoyote ukijisimamia,pia wanaishi maisha kama haya ya kwetu wanaona na wanazaana na wapo kikoo na wana dini zao tofauti na hizi wanatawala zao kama serikali pia wapo matajiri na maskini kama sisi na mavazi yao ni kama muundo Wa joho(kanzu) kwa wanaume na wanawake uvaa juba(baibui) hayo ni mavazi ya watu Wa kale waliokua wakitumia Ila rangi za mavazi utofautiana,wameubwa kwa miale ya moto ,,niishie hapo.
Alafu lengo la kuumbwa ni kimwabudu mungu kwahiyo wapo wachamungu nna kinyume chake kama wafanyavyo binadamu, hawana nguvu kuliko binadamu ila binadamu huwafanya wao waonekane kama wananguvu
Niishie hapo na mm
 
muongo,,umeongea vitu tofaut,..majin wengnena malaika wengne na wote ni viumbe wa m/mung
Mkuu alichoongea uongo hapo ni kipi haswa? Hiyo ndo imani yake kuhusu majini kulingana na mafundisho aliyofundishwa. Yako kama ni muislamu, majini ni viumbe vingine vya mwenyezi Mungu vyenye UTASHI na vilivyoumbwa vya kumwabudu Mungu (Allah)

Hapo uongo wake ni upi au ni tofauti tu ya imani mlizonazo? Kwa Ukristu majini aka mapepo ni malaika waasi wkt ktk uislamu malaika yaliumbwa kama maroboti hawana utashi wa kujiamulia hivyo hayawezi kuhasi.
 
Tofautisha Roho aliyetwaja hapa,na Roho wa Kweli.Soma Yohana 16:13-15.
Akija yule Roho wa Kweli,atawaongoza muijue kweli......
Kwa hiyo ujuwe huyo alioko kwenye Matayo 4:1 ni Roho mchafu na Iblisi au labda useme huyo Iblisi na Huyo roho ni marafiki.Kwa hiyo katika ukristo iblisi na Roho wenu ni wamoja,na wanayoamrisha ni pamoja,wanashirikiana kama hapo walivoshirikiana kumjaribu Yesu.
Hapana Roho yule yule wa Yesu Kristo ndio huyo huyo ambaye Yesu Kristo aliwaahidi wanafunzi wake kuwa kuna msaidizi atakuja,
 
Msichotaka kukubaliana ni kwamba tofauti kubwa Kati ya Ukristu na Uislamu ni juu ya hivi viumbe, majini au mapepo. Mambo kama nafasi ya Yesu, uumoja wa Mungu nk ni vibwagizo tu.
 
Kaka hakuna jin mzuri ila kitengo alicho pangiwa na Shetwani si cha kudhuru watu ila wote ni jeshi la ibilisi . Kabla ya vitabu vyote kulikua na kumbumbu la torati hamna sehemu iliosema kuna majini wazuri hii imekuja baada ya Quran ukitaka kujua hiki kitabu ni mkanganyiko Malaika alietumwa na Mungu ni wapole sana angalia malaika wa Ibrahimu walivyo mtokea pamoja na manabii wengine walijiwa kwa upole na upendo. Sasa huyu Mud malaika wake alikua mkali anamkwida roba anamwambia asome huyu alikua malaika wa namna gani !!!!
Biblia haina ilmu ya majinni, majinni ni viumbe kama walivyo binadamu, wapo wabaya na wazuri
 
MAJINI WANATUMIKA MARA NYINGI NA BINADAM HASA WACHAWI,WAGANGA NA WANAJIM....ILI KUFANYA NAO KAZI HUINGIA MAPATANO AMBAYO MARA NYINGI HUWA NI YA KUMUASI MUUMBA....MFN UMWAGAJI DAMU NA KAFARA ZINGINE.....TUNATAKIWA KUMTEGEMEA MUUMBA KWA KILA KITU NA SI KIUMBE WALA MTU......NA ALLAH ANAJUA ZAIDI
Safi sana hapa umeleta majibu mengi Shetani aliumbwa kwa moto pamoja na wenzie ambao walikua wana mwabudu Mungu lakini baadae ndo wakatupwa chini baada ya kuhasi. Umeleta jibu lingine zuri kua Majini makazi yao mapangoni sasa ilikuaje aya za Quran zilipokelewa huko?[/QUOTE]
Kwanza we una ushahidi kuwa majini walitupwa chini?
 
Ninyakati za mwisho utaona kila aina ya kituko biblia ilisha tabiri haya yote hata waislam kuchinja wakristo yalisha tabiriwa si hao tu wengi watakuja na kujiita wao ni Yesu na watakuja kuleta miujiza na watu watawafuata ni wakati wa Shetani au ibilisi kufuata walio wake. Hata ishia hapo mwisho kabisa ataibuka mnyama 666 ambae Quran imesema mtaletewa waislam mnyama kutoka ardhini msemezane nae.
Basi hatari sana hii dini.
 
Majini ni viumbe marafiki wa mungu wa waisilamu allah aliyewaahidi waisilamu mito ya pombe na bikira 72 endapo kama watajitoa muhanga
 
Biblia imetaja majini ni giza na sisi ni nuru kwahiyo hatuluhusiwi kukaa pamoja na giza labda ndugu zetu waisilamu ambao husali pamoja na majini na kuyatolea sadaka kama kuyachinjia mbuz nk
 
Majini ni viumbe marafiki wa mungu wa waisilamu allah aliyewaahidi waisilamu mito ya pombe na bikira 72 endapo kama watajitoa muhanga
Kwa mujibu wa biblia mashetani ni malaika waliyoumbwa na mungu.
 
Biblia imetaja majini ni giza na sisi ni nuru kwahiyo hatuluhusiwi kukaa pamoja na giza labda ndugu zetu waisilamu ambao husali pamoja na majini na kuyatolea sadaka kama kuyachinjia mbuz nk
Majini ni malaika waliyoumbwa na mungu,ni kwa mujibu wa biblia.
 
Wewe don't be stupid with your illogical comment! Quran inafundisha Isis wakauwe watu? Isis, alkaida, alshabab na bokoharam wote wakiwa wanachinja mtu au vitani wanasema Allahuakbar. Je ni uislamu, Quran au terrorist wenye makosa?

Dini au madhebu ya kikristo ziko nyingi na ndani ya hayo madhebu wako manabii wa uwongo wengi wakidanganya wanao jiita wakristo lakini maandiko hawayajui na hawajui requirements za Mungu.
Biblia haifundishi hayo mambo uliyoyataja! Ndiyo maana kwenye Yohana 8:32 Yesu anasema "ukiijua kweli, kweli itakuweka huru” na uwongo wa makanisa na mapastor wanaohubiri yasiyo endana na Biblia.
Biblia hiko wazi kwamba njia ni mbili, moja nyembamba kwa uzima wa milele na pana kwa kuangamia. Kwahiyo, wanacho practice makanisa haimaanishi wana practice yaliyo ndani ya biblia.
Kosa langu ni lipi kwani?
 
Kwa mujibu wa biblia mashetani ni malaika waliyoumbwa na mungu.
Ndio ni malaika walioumbwa na mungu lakini walifukuzwa na kutupwa kuzimu baada ya malaika mkuu lucifer kutaka kupambana na mungu ndo akamutupa kuzimu pamoja na wafuasi wake ambao ndo hao majin

Kwa mujibu wa biblia majin hawana tena nafasi ya kutupu ndo maana wanatafuta viumbei wengine wa kwenda nao moton ili wawe wengi na kwa bahati nzur wamesha wanasa waisilamu ambao husali nao pamoja
 
Hebu lete ushahidi wa biblia ya kuhusu Lucifer kutupwa kuzimu.

Halafu haya majina ya mapepo/majini/shetani je,haya yamepatikana wapi hadi wakaitwa hao malaika yana maana gani? kwanini waache kuitwa malaika na kuitwa hayo majina?
 
MAJINI WANATUMIKA MARA NYINGI NA BINADAM HASA WACHAWI,WAGANGA NA WANAJIM....ILI KUFANYA NAO KAZI HUINGIA MAPATANO AMBAYO MARA NYINGI HUWA NI YA KUMUASI MUUMBA....MFN UMWAGAJI DAMU NA KAFARA ZINGINE.....TUNATAKIWA KUMTEGEMEA MUUMBA KWA KILA KITU NA SI KIUMBE WALA MTU......NA ALLAH ANAJUA ZAIDI
Safi sana hapa umeleta majibu mengi Shetani aliumbwa kwa moto pamoja na wenzie ambao walikua wana mwabudu Mungu lakini baadae ndo wakatupwa chini baada ya kuhasi. Umeleta jibu lingine zuri kua Majini makazi yao mapangoni sasa ilikuaje aya za Quran zilipokelewa huko?[/QUOTE]
Kwa wao kuishi mapangon haina maana mapango yote yana majini wala maghofu wala mashimo yote kuwa yana majini...ila hayo ndiyo maeneo pendwa.Maeneo mengine ni misituni kwenye maji mengi mf bahar ziwa mito.nk
 
MAJINI WANATUMIKA MARA NYINGI NA BINADAM HASA WACHAWI,WAGANGA NA WANAJIM....ILI KUFANYA NAO KAZI HUINGIA MAPATANO AMBAYO MARA NYINGI HUWA NI YA KUMUASI MUUMBA....MFN UMWAGAJI DAMU NA KAFARA ZINGINE.....TUNATAKIWA KUMTEGEMEA MUUMBA KWA KILA KITU NA SI KIUMBE WALA MTU......NA ALLAH ANAJUA ZAIDI
Mkuu umeeleza vizuri

Ni majini wepi ambao wanawaogopa wanadamu wazuri au wabaya?
WOTE WANATUOGOPA IJAPO WANAUWEZO ZAIDI WA KUFANYA MAAJABU.
Kwa nini majini wanawaogopa wanadamu wakati umesema wote wameumbwa ili kumwabudu Allah?
....KISA CHA WAO KUMUOGOPA MWANADAMU NI NAMNA VILE BINADAM AMEPEWA ELIMU NA KUINULIWA DARAJA LA KUWA GHARIFA...WANAOASI KWA MATWAKWA YAO HUFANYA KWA KU RISK MAISHA YAO MANA MWANADAM ANAWEZA KUMUANGAMIZA JINI KWA DUA TU.YEYE ALIYEAMRISHA TUMUABUDU NDIYE KATUWEKEA UZIO TUSIWE NA MAFUNGAMANO YOYOTE.
Kwa nini Allah amekataza kwa mwanadamu kuwa na mahusiano na Jini?
SABABU HASA ANAIJUA MUUMBA ILA KIMAZINGIRA WALE VIUMBE HAWAFAI KUSHIRIKIANA NAO MANA WAMEUMBWA KTK SIFA ZINAZOPELEKEA SISI WANADAM KUFANYA MAASI MF HAYO MAKAFARA...PIA MFUMO WETU WA MAISHA UNGEATHIRIWA NA HAWA WATU MANA JINI LINAUWEZO WA KUJIBADILISHA NAMNA LITAKAVYO NA KUTENGENEZA IKITAKACHO WAKAT MWANADAM KAPEWA ELIM ILI AVUMBUE NA KUTENDA MAMBO.....PIA YANATISHA NA MATUKIO YA AJAB AJAB YASINGEKWISHA DUNIANI...KI FUPI MANADAM NA JINI HATULI SAHAN MOJA.EMB FIKIRIA UMEHANGAIKA KUTAFUTA PESA LAKIN YY ANATENGENEZA KWA UWEZO ALIOPEWA YAN WANAMAZINGAOMBWE MENGI.
[/QUOTE]
NARUHUSU KUREKEBISHWA MKAMILIFU NI MUNGU
MAJINI WANATUMIKA MARA NYINGI NA BINADAM HASA WACHAWI,WAGANGA NA WANAJIM....ILI KUFANYA NAO KAZI HUINGIA MAPATANO AMBAYO MARA NYINGI HUWA NI YA KUMUASI MUUMBA....MFN UMWAGAJI DAMU NA KAFARA ZINGINE.....TUNATAKIWA KUMTEGEMEA MUUMBA KWA KILA KITU NA SI KIUMBE WALA MTU......NA ALLAH ANAJUA ZAIDI
Mkuu umeeleza vizuri

Ni majini wepi ambao wanawaogopa wanadamu wazuri au wabaya?

Kwa nini majini wanawaogopa wanadamu wakati umesema wote wameumbwa ili kumwabudu Allah?

Kwa nini Allah amekataza kwa mwanadamu kuwa na mahusiano na Jini?[/QUOTE]
 
Na binaadamu hatakiwi kuyaingilia katika maisha yao na wao hawatakiwi kutuingilia katika maisha yetu. Ila kama utawaingilia na kutaka kujua zaidi na kuwafatilia utaishia katika shirki ambayo itakupeleka kuunguzwa na Mwenyezi Mungu.
hapa nimekuelewa sana a.k.a mubasher sheikh
 
Back
Top Bottom