Je, asili ya majini ni ipi?

Je, asili ya majini ni ipi?

Ndiyo maana nimesema tunatofautiana. ..wewe unavyoelewa na mimi is totally different. ...parallel lines. ..we can never ever meet to agreement. ..
Imani ni assured expectations of things to happen au hope. Nasoma biblia sababu na believe kuwa it's the truth and what is said in it will come true.
 
Imani siyo supernatural power. You don't know what you talking about!
WHAT IS FAITH. ..stay cool. .na pls don't read my posts na mimi sita soma zako. .I agree to disagree with you. ..have a nice life. ..
IMG-20170131-WA0001.jpg
 
WHAT IS FAITH. ..stay cool. .na pls don't read my posts na mimi sita soma zako. .I agree to disagree with you. ..have a nice life. ..View attachment 465923
The most common cause of stress is dealing with people who are radical Muslim with terrorism mentality like yours. Burn in hell with your 72 virgins in heaven.
 
Hamna neno jini kwenye biblia! Ni Quran tu inashiriki na majini mpaka ndani ya misikiti!
Na tena asiseme kuwa eti ktk imani ya kiislamu ni kosa mtu kushirikiana na majini, maadam wanawatambua kuwa ni waislamu wenzao (wameumbwa kumuabudu Allah), ndugu wa muislamu ni muislamu mwenzake, imeandikwa hivyo.

Na kimsingi hii ndo tofauti kubwa ya Ukristo na Uislamu, majini au pepo wabaya ktk Ukristo ni malaika waasi na hawana nafasi tena na Mbingu (hawawezi tena kuwa wachamungu), wakati ktk Uislamu majini ni viumbe vilvyoumbwa hivyo, na kama tulivyo wanadamu, nao kuna wema (wachamungu), na waasi wanaomtii shetani.

Hii tofauti ni kubwa sana na inazaa hoja nyingi, na kwa tofauti hii, haiwezekani wakristo kwa waislamu kwa pamoja kwenda mbinguni (kama ipo). Mmojawapo ni muongo mkuubwa,.
 
Nguvu yako katika kuamini ndiyo inayo fanya kazi kwenye miujiza. ..
Ni kweli, ila hizi nguvu haziishii tu ndani yetu. Ziko hata nje yetu, na ni kuu. Nadhani hapo ndiko mantiki ya uwepo wa Mungu na Shetani hutokea,,,,ktk hizo nguvu nje yetu.
 
Asante sana
 
Majini ni malaika walio muasi Mungu pamoja na Shetani ,Majini yanatumiwa na shetani kutumikisha watu. wakrito wanayaita mapepo .Hakuna ushirika wowote kati ya ukristo na majini au mapepo ,kiufupi hayataki jina la Yesu. Ila kuna ushirika mkubwa kati ya uislamu na Majini ,wanaswali nayo wanasema ni maislamu .Mimi hapo ndio napata mashaka makubwa juu ya Dini hii.
Go on.

Umewahi kushiriki ibada ya kiislam mara ngapi?

Je ulishuhudia Waislam wakiswali pamoja na majini?

Uliyaona vipi majini wakati wengi tunajuwa hayaonekani?

Unaweza vipi kushiriki ibada na kisichoonekana?

Usipende kukaririshwa tukia akili yako walau kidogo tu ufikiri,

*Nijibu hayo maswali kiufasaha nikuelewe*

-Ukishindwa kuyajibu utakuwa dhalimu kwa kusema usiyokuwa na ufahamu nayo
 
Majini kwa Waislamu ni waumini wa kwanza kabisa kuingia katika uislam.na waliposikia habari ya dini hii walifurah sana na kusilimu kuwa waislam na mpaka leo hii wanasal na waislam bila shida. Kwa wakristo hawa ni waliokuwa malaika wakaasi na lucifer au shetani. Wanaitwa mapepo wabaya. Hawa hakuna mzuri ila wote ni wabaya.walishamuasi Mungu na hakuwasamehe...wapo duniani kushirikiana na shetan ambaye ni baba yao kuwaangusha na kuwatesa binadamu

wewe mimi nadhani hata bible ya haswa huisomi, unasikia na wewe unasema bila ya hata kutumia akili yako hata chembe.
ngoja nikupe shule kidogo.
Mwenyezi Mungu aliumba Malaika, majini na binaadamu. Na wote hawa kawaumba kwa ajili ya kumtumikia yeye.
Malaika waliumbwa kwa nuru, Majini kwa moto na binaadamu kwa udongo.
Katika Malaika hawa ni special wameumbwa na hawamuasi Mwenyezi Mungu kamwe, ni wenye kuabudu tuu.
Binaadamu na Majini sisi ndio tulokuwa na Mitihani maana ndio tupo hapa ulimwenguni,
tulichoumbiwa ni kumuabudu Mwenyezi Mungu. Na atakaemuasi ikiwa jini au binaadamu basi Mwenyezi Mungu hatamuacha siku ya mwisho atamuingiza motoni, na ikiwa atafuata maarisho ya Mungu ikiwa jini au binaadamu akitaka mwenyewe Mungu atamuingiza peponi.
Sasa ikiwa jini au binaadamu atamuasi Mwenyezi Mungu huyo ndio anakuwa shaytani. Maisha yao ya kuzaliana kama sisi tunavyozaliana ila tumetofautiana na vyakula vyao na makaazi yao wanayoishi.
Na hawana nguvu yoyote ile ya kusema kuwaogopa, Mtume Suleiman yeye alipewa ufalme wa watu, majini, wanyama, ndege, upepo N.k Ni ulfalme ambao alimuomba Mwenyezi Mungu asijempa yoyote badala yake.
Na walikuwa chini ya amri ya Mtume Suleiman aliwadhibiti sawa sawa.
Haya yamo ndani ya Quran tukufu.
binaadamu hutakiwi kuwaogopa kabisa wao ni viumbe wameumba kama sisi, na wengine huwaogopa binaadamu haswa.
Na binaadamu hatakiwi kuyaingilia katika maisha yao na wao hawatakiwi kutuingilia katika maisha yetu. Ila kama utawaingilia na kutaka kujua zaidi na kuwafatilia utaishia katika shirki ambayo itakupeleka kuunguzwa na Mwenyezi Mungu.

TATIZO BAADHI YA WASIOKUWA WAISLAM WANAKURUPUKA SANA NA KUTOA MAJIBU AMBAYO HATA AKILINI HAYAINGII, BINAADAMU SOMA MWENYEWE UELEWE USIKUBALI KUHADITHIWA TUU.
KWA NGUVU ZA NANI KWA NGUVU ZA NANI TOKA HAMNA KITU HICHO NI KIINI MACHO TUU CHA KUCHEZEWA.
MWENYE UWEZO WA KUMTOA JINI AKIKUSIBU NI MWENYEZI MUNGU PEKEE YAKE.
KUNA VISOMO KATIKA QURAN UNASOMA KAMA AKIKUPATA, NA JINI HAMPATI MTU AMBAE AMEJIWEKA MBALI NA MAMBO AMBAYO MWENYEZI MUNGU AMEHARAMISHA.
KAMA MTU ANASEMA SHEIKH ANA MAJINI NI MUONGO, KUNA BAADHI YA WATU HUWAFUTILIA HAWA MAJINI AMBAO KWA MAJINA WANAITWA WAISLAM ILA UNAKUWA USHAJIVUA KATIKA UISLAM IKIWA WEWE KAZI YAKO KUYAFUGA KWA AJILI YA SHIRKI.
HAKUNA USHIRIKA WOWOTE UNAOHUSIANA UISLAM NA MAJINI, NI KUWA ATI WAISLAM WANATUMIA MAJINI, MSIDANGANYWE MKADANGANYIKA.

NI KATIKA QURAN KILA KITU KIMO WATU WAACHE UVIVU WASOME
 
Majini ni malaika walio muasi Mungu pamoja na Shetani ,Majini yanatumiwa na shetani kutumikisha watu. wakrito wanayaita mapepo .Hakuna ushirika wowote kati ya ukristo na majini au mapepo ,kiufupi hayataki jina la Yesu. Ila kuna ushirika mkubwa kati ya uislamu na Majini ,wanaswali nayo wanasema ni maislamu .Mimi hapo ndio napata mashaka makubwa juu ya Dini hii.
Hao malaika walimuasi mungu kwa jambo lipi yani ni uasi gani waliyoufanya kwa mungu?

Na kwanini wameitwa majini au mapepo badala ya kuendelea kuitwa tu malaika,kwani neno jini au pepo lina maana gani hadi wakaitwa hivyo?

Na ina maana hao majini wana sifa zote za malaika kama walizonazo malaika wengine ila tofauti yao wao walimuasi mungu tu?
 
Na tena asiseme kuwa eti ktk imani ya kiislamu ni kosa mtu kushirikiana na majini, maadam wanawatambua kuwa ni waislamu wenzao (wameumbwa kumuabudu Allah), ndugu wa muislamu ni muislamu mwenzake, imeandikwa hivyo.

Na kimsingi hii ndo tofauti kubwa ya Ukristo na Uislamu, majini au pepo wabaya ktk Ukristo ni malaika waasi na hawana nafasi tena na Mbingu (hawawezi tena kuwa wachamungu), wakati ktk Uislamu majini ni viumbe vilvyoumbwa hivyo, na kama tulivyo wanadamu, nao kuna wema (wachamungu), na waasi wanaomtii shetani.

Hii tofauti ni kubwa sana na inazaa hoja nyingi, na kwa tofauti hii, haiwezekani wakristo kwa waislamu kwa pamoja kwenda mbinguni (kama ipo). Mmojawapo ni muongo mkuubwa,.
Ni uasi gani hao malaika waliufanya kwa mungu?

Na je,idadi ya hao malaika waliyomuasi mungu huwa haipungui wala kuongezeka?
 
Majini kwa Waislamu ni waumini wa kwanza kabisa kuingia katika uislam.na waliposikia habari ya dini hii walifurah sana na kusilimu kuwa waislam na mpaka leo hii wanasal na waislam bila shida. Kwa wakristo hawa ni waliokuwa malaika wakaasi na lucifer au shetani. Wanaitwa mapepo wabaya. Hawa hakuna mzuri ila wote ni wabaya.walishamuasi Mungu na hakuwasamehe...wapo duniani kushirikiana na shetan ambaye ni baba yao kuwaangusha na kuwatesa binadamu
"Wapo duniani kushirikiana na shetani ambaye ni baba yao"

Ni ipi maana ya neno shetani? na hao malaika waliyomuasi mungu ndiyo hao hao wapo hadi Leo au idadi huwa inaongezeka kwa maana malaika wengine huwa pia wanamuasi mungu na kujiunga hao?
 
Majini ni malaika walio muasi Mungu pamoja na Shetani ,Majini yanatumiwa na shetani kutumikisha watu. wakrito wanayaita mapepo .Hakuna ushirika wowote kati ya ukristo na majini au mapepo ,kiufupi hayataki jina la Yesu. Ila kuna ushirika mkubwa kati ya uislamu na Majini ,wanaswali nayo wanasema ni maislamu .Mimi hapo ndio napata mashaka makubwa juu ya Dini hii.
Hawa majini miongoni mwao,si ndio yule aliyemzidi Yesu nguvu,akambeba juu kwa juu.Na kumuweka na njaa siku arubaini.
Yaonyesha wana nguvu kuliko Yesu,kwa maana mmoja tu,alimpelekesha sana Yesu.
 
majini ni sawa n mapepo hawa viumbe walikua ni malaika wakiitumikia enzi.mbnguni hawa malaika walimwas mungu wakamfuata shetani sasa hao falling engels from haven ndio hayo majini yanayotusumbua wanadam dunian ni mawakala w shetani
 
Hamna neno jini kwenye biblia! Ni Quran tu inashiriki na majini mpaka ndani ya misikiti!
inategemea umeamua kuita jina gani kwenye kitabu chako lakini haiondoi maana halisi ya kitu mfano mandela aliitwa gaidi na mataifa yenye nguvu duniani ingawa ukweli ilikuwa tofauti.
yapo majini wakristo na wazungu ,wahindi n.k
biblia imebadilishwa na kuchezewa sana na wazungu na hii unayoisoma wewe inawezekana hata bwana trump alishiriki kwenye editing
 
majini ni sawa n mapepo hawa viumbe walikua ni malaika wakiitumikia enzi.mbnguni hawa malaika walimwas mungu wakamfuata shetani sasa hao falling engels from haven ndio hayo majini yanayotusumbua wanadam dunian ni mawakala w shetani
Na idadi yao ndiyo ile ile au huwa wanaongezeka?
 
Na tena asiseme kuwa eti ktk imani ya kiislamu ni kosa mtu kushirikiana na majini, maadam wanawatambua kuwa ni waislamu wenzao (wameumbwa kumuabudu Allah), ndugu wa muislamu ni muislamu mwenzake, imeandikwa hivyo.

Na kimsingi hii ndo tofauti kubwa ya Ukristo na Uislamu, majini au pepo wabaya ktk Ukristo ni malaika waasi na hawana nafasi tena na Mbingu (hawawezi tena kuwa wachamungu), wakati ktk Uislamu majini ni viumbe vilvyoumbwa hivyo, na kama tulivyo wanadamu, nao kuna wema (wachamungu), na waasi wanaomtii shetani.

Hii tofauti ni kubwa sana na inazaa hoja nyingi, na kwa tofauti hii, haiwezekani wakristo kwa waislamu kwa pamoja kwenda mbinguni (kama ipo). Mmojawapo ni muongo mkuubwa,.
Mnatafuta muongozo wa jambo wakati imani zenu zinatofautiana? Unataka kumjua jini wakati huamini kama kuna majini?

Wakikiaa waislam peke yao au wakristo peke yao na kutaka kujua kuhusu majini ni rahisi kupata ufumbuzi, sasa hapa kuna mpaka wapagani wasiojua hata majini , ,ashetani na malaika kama wanatofautiana..Hii ni sawa na kucheza ready na kipofu..
 
majini ni sawa n mapepo hawa viumbe walikua ni malaika wakiitumikia enzi.mbnguni hawa malaika walimwas mungu wakamfuata shetani sasa hao falling engels from haven ndio hayo majini yanayotusumbua wanadam dunian ni mawakala w shetani
Nadhani unaongelea shetani..jini ni kiumbe kama sisi binaadam tulivyoumbwa.Ndani yao ndio kuna waasi hawa tutawaita masheitwaani.
 
wewe mimi nadhani hata bible ya haswa huisomi, unasikia na wewe unasema bila ya hata kutumia akili yako hata chembe.
ngoja nikupe shule kidogo.
Mwenyezi Mungu aliumba Malaika, majini na binaadamu. Na wote hawa kawaumba kwa ajili ya kumtumikia yeye.
Malaika waliumbwa kwa nuru, Majini kwa moto na binaadamu kwa udongo.
Katika Malaika hawa ni special wameumbwa na hawamuasi Mwenyezi Mungu kamwe, ni wenye kuabudu tuu.
Binaadamu na Majini sisi ndio tulokuwa na Mitihani maana ndio tupo hapa ulimwenguni,
tulichoumbiwa ni kumuabudu Mwenyezi Mungu. Na atakaemuasi ikiwa jini au binaadamu basi Mwenyezi Mungu hatamuacha siku ya mwisho atamuingiza motoni, na ikiwa atafuata maarisho ya Mungu ikiwa jini au binaadamu akitaka mwenyewe Mungu atamuingiza peponi.
Sasa ikiwa jini au binaadamu atamuasi Mwenyezi Mungu huyo ndio anakuwa shaytani. Maisha yao ya kuzaliana kama sisi tunavyozaliana ila tumetofautiana na vyakula vyao na makaazi yao wanayoishi.
Na hawana nguvu yoyote ile ya kusema kuwaogopa, Mtume Suleiman yeye alipewa ufalme wa watu, majini, wanyama, ndege, upepo N.k Ni ulfalme ambao alimuomba Mwenyezi Mungu asijempa yoyote badala yake.
Na walikuwa chini ya amri ya Mtume Suleiman aliwadhibiti sawa sawa.
Haya yamo ndani ya Quran tukufu.
binaadamu hutakiwi kuwaogopa kabisa wao ni viumbe wameumba kama sisi, na wengine huwaogopa binaadamu haswa.
Na binaadamu hatakiwi kuyaingilia katika maisha yao na wao hawatakiwi kutuingilia katika maisha yetu. Ila kama utawaingilia na kutaka kujua zaidi na kuwafatilia utaishia katika shirki ambayo itakupeleka kuunguzwa na Mwenyezi Mungu.

TATIZO BAADHI YA WASIOKUWA WAISLAM WANAKURUPUKA SANA NA KUTOA MAJIBU AMBAYO HATA AKILINI HAYAINGII, BINAADAMU SOMA MWENYEWE UELEWE USIKUBALI KUHADITHIWA TUU.
KWA NGUVU ZA NANI KWA NGUVU ZA NANI TOKA HAMNA KITU HICHO NI KIINI MACHO TUU CHA KUCHEZEWA.
MWENYE UWEZO WA KUMTOA JINI AKIKUSIBU NI MWENYEZI MUNGU PEKEE YAKE.
KUNA VISOMO KATIKA QURAN UNASOMA KAMA AKIKUPATA, NA JINI HAMPATI MTU AMBAE AMEJIWEKA MBALI NA MAMBO AMBAYO MWENYEZI MUNGU AMEHARAMISHA.
KAMA MTU ANASEMA SHEIKH ANA MAJINI NI MUONGO, KUNA BAADHI YA WATU HUWAFUTILIA HAWA MAJINI AMBAO KWA MAJINA WANAITWA WAISLAM ILA UNAKUWA USHAJIVUA KATIKA UISLAM IKIWA WEWE KAZI YAKO KUYAFUGA KWA AJILI YA SHIRKI.
HAKUNA USHIRIKA WOWOTE UNAOHUSIANA UISLAM NA MAJINI, NI KUWA ATI WAISLAM WANATUMIA MAJINI, MSIDANGANYWE MKADANGANYIKA.

NI KATIKA QURAN KILA KITU KIMO WATU WAACHE UVIVU WASOME
Kila navojitahidi kusoma hilo andika ndo nazidi kupata ukakasi kama si kuvurugwa zaidi. Maana maelezo yako yamekuwa kivurugeee
 
Back
Top Bottom