ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,572
The power of your faith ndiyo inayoleta hiyo hali to existence!Hakuna majini.Hakuna Mungu. Hakuna Shetani.
Kama unabisha thibitisha.
The power of your faith ndiyo inayoleta hiyo hali to existence!Hakuna majini.Hakuna Mungu. Hakuna Shetani.
Kama unabisha thibitisha.
Kama mtoto anayeona majoka akiona vijiti kwenye giza anavyotengeneza majoka kichwani mwake kutoka vijiti.The power of your faith ndiyo inayoleta hiyo hali to existence!
Hahahaha haposa!Kama mtoto anayeona majoka akiona vijiti kwenye giza anavyotengeneza majoka kichwani mwake kutoka vijiti.
Wrong.Soma Luka 10:17-20,jinsi mapepo yanavyotii kwa Yesu.Kiumbe hakiwezi kutii kama hakijakufuata unavyotaka.
Shukran kwa elimu ila naomba kujuzwa, mimba zao wanabeba kwa muda gani mpaka kujifungua? Mtoto huwa anazaliwa na kilo ngapi? Je na wao wanazaa mtoto njiti?Ntajaribu kijibu, =Majini ni viumbe kma ss na hawaonekani ila ukiwataka kwa sababu zako mwenyewe utawaona na wala hawna nguvu yoyote ukijisimamia,pia wanaishi maisha kama haya ya kwetu wanaona na wanazaana na wapo kikoo na wana dini zao tofauti na hizi wanatawala zao kama serikali pia wapo matajiri na maskini kama sisi na mavazi yao ni kama muundo Wa joho(kanzu) kwa wanaume na wanawake uvaa juba(baibui) hayo ni mavazi ya watu Wa kale waliokua wakitumia Ila rangi za mavazi utofautiana,wameubwa kwa miale ya moto ,,niishie hapo.
Majini ni malaika waliomuasi Mungu na kumfuata shetani? Naomba unijuze mkuumajini ni sawa n mapepo hawa viumbe walikua ni malaika wakiitumikia enzi.mbnguni hawa malaika walimwas mungu wakamfuata shetani sasa hao falling engels from haven ndio hayo majini yanayotusumbua wanadam dunian ni mawakala w shetani
Inaonesha dhahiri kuwa quran huijui, shetani aitunge quran halafu ajilaani ktk tungo zake hizi na kuwasihi wanaokisoma kitabu hiko wasimfuate?Shetani aliye mjaribu Yesu ndiyo huyo huyo shetani aliyetunga Qur'an!
Mpumbavu sana wewe na kizazi chako mkafe mbele milele yote! Wewe V Kweli Tupu! Stupid idiot!The most common cause of stress is dealing with people who are radical Muslim with terrorism mentality like yours. Burn in hell with your 72 virgins in heaven.
Trump mwenyewe ana majiniMajini hayapo.
Kuna watu wana magonjwa ya akili, sasa yale magonjwa ya akili yakipanda watu wakianza kusema ovyo, watu wasio na elimu wanaita majini.
Au mtu akipata kitu kibaya, kama hataki kufanya uchunguzi, anasingizia majini tu.
Majini yangekuwepo waarabu wangeshamrushia Trump moja limuangushe kwa jinsi alivyowatukana Waislamu.
Mbona kapeta tu kote huko?
Manini yake hela.Trump mwenyewe ana majini
Kwani amezipataje hizo pesa?Manini yake hela.
Ndiyo majini pekee hayo ukiwa nayo utaruka hewani ma kupasua miamba.
Mengine yoyote ni uzushi.
Amezipata katika real estate.Kwani amezipataje hizo pesa?
Anyway tuishie hapa ndugu yangu...mambo mengine huwezi kuyaelewa! Yeremia 333!
Nime kwambia, hutaweza kuelewa na hutakaa uelewe Al-Watan, take a chill pill and be calm!Amezipata katika real estate.
Wabongo wengi mnaamini sana majini. Ndiyo maana hatuendelei.
Unaweza kuthibitisha majini yapo?
Hiyo ni namna ya mtu asiyeweza kuthibitisha anachosema kipo.View attachment 513041
Nime kwambia, hutaweza kuelewa na hutakaa uelewe Al-Watan, take a chill pill and be calm!
Mambo mazito....siwezi tupia watoto KAA KIMYA!
Gobbledygook.Kimsingi akili ndogo haiwezi kuitambua akili kubwa,lakini akili kubwa inaweza kuitambua akili ndogo...
Iko hivyo kwasababu huwezi kupata kubwa bila kuwa na ndogo na kwa maana hiyo ukishakuwa na kubwa tayari ndogo unayo hivyo ni rahisi kuitambua...
Lakini ukiwa na ndogo unakuwa huna kubwa na ili uipate unahitaji kupitia mambo fulani fulani hadi ufikie kwenye kubwa....
Kwakuwa akili ndogo haina uwezo wa kuitambua akili kubwa ni wazi kabisa ni ngumu sana akili ndogo kuielewa kubwa....
Sionem...Gobbledygook.
Obfuscation.Sionem...