Je, asili ya majini ni ipi?

Je, asili ya majini ni ipi?

Aliyekataa kumsujudia(kumtukuza)Adam ni Iblisi,Iblisi ndio alikiwa miongoni mwa malaika,alipoasi ndio akawa iblisi.Hivi ni viumbe wawili tofauti,kuna jini na Iblisi,ndio masna mtu akifanya jambo ovu,kama kubaka,hasemi jini kanipitia,asema shetani kanipitia au iblisi kanipitia.
Kwenye Qur'an(sio tafsiri),aliyetajwa ni Iblisi,hakuandikwa shetani,ndio maana unaposoma tafsiri ya Qur'an,husomi Qur'an,unasoma tafsiri ya Qur'an.
Ndugu! Ktk nchi yenye mchanganyiko wa dini kama Tanzania,,,,, dini ya kati huwa inazaliwa. Ulichokiongea hapo kina nusu uislamu na nusu yake ukristu. Hakikubaliki chote kwa upande wowote ule.

Uislamu unafundisha kwamba, Mungu ameumba viumbe vya aina tatu vyenye kujitambua (utambuzi), malaika (nuru), majini (moto) na binadamu (udongo). Tofauti ya malaika na hivi viwili vilivyosalia ni utashi, malaika ni maroboti hayawezi kujiamulia cha kufanya. Hivyo hawawezi kamwe kufanya dhambi. Lucif–ER huyu alikuwa ni uzao wa majini,, aliyeishi mbinguni. Nature yake ikamruhusu kufanya dhambi.

Kuhusu majina shetani na ibilisi, kwanza ni yenye asili ya kiebrania yakimaanisha uasi na upinzani. Hili si jina halisi la kiumbe bali la matendo. Lucifer ni shetani na ni ibilisi.

Inshu ya kukataa kumsujudia Adamu kuwa ndo kosa la Lucifer, hili ni fundisho la uislamu tu. Ukristo haufundishi hilo. Ukristu unasema tamaa ya mamlaka ilimuwaka akatamani naye akae siti ya mola wake.

Ukristu unafundisha kwamba Lucifer alishaanguka zamani sana, kabla ya uwepo wa Eva. Na inawezekana alishajaribu mbinu nyingi kumuangusha Adam akashindwa,,,, Eva alipoumbwa aliutumia udhaifu wake. "si huyu Eva uliyeniletea "

Quiz, Adam aliishi miaka mingapi kabla ya Eva kuumbwa? Ikumbukwe siku moja ya Mungu ni sawa na miaka 1000 ya kwetu.
 
Neno kusujudu(kumuadhimisha)sio kusujudu kwa vitendo.
Na neno kumuadhimisha maana yake nini? Kwa lugha nyepesi tu jibu swali hili, inaswii kwa kiumbe kumsujudia kiumbe mwenzake? Uislamu unafundisha kwamba ktk binadamu wote walowahi kuumbwa mtume Muhammad ndo bora kabisa kupita wote, je yafaa tumsujudie?
 
Leo kusujudu kumepata maana nyingine lasmi kwa waislam .

Sisi wakristo huwa tunawaambia kusujudu kwa vitendo sio ishu, ishu ni nini lengo la kusujudu, kama unajua lengo hata kama utasali ukiwa umekaa utaonekana na Mungu.
Neno kusujudu ni neno LA kiarabu sio la kiswahili.Neno hili lina maana mbili sio moja.Hata katika kiswahili yapo maneno yana maana zaidi yamoja,kwa mfano mbuzi,kuna mbuzi mnyama na kuna mbuzi ya kukunia nazi,mwanamke akiwa jikoni akimwambia mwanawe kaniletee mbuzi,mtoto ameshaelewa aletewe mbuzi ya kukunia nazi.Mchungaji (mchungaji wa wanyama,sio kiongozi wa dini) akiwa na mwanawe niletee mbuzi,mtoto atamletea mbuzi mnyama.
 
Kasema kila binadamu akizaliwa anakuwa na jini(sio kila muislamu tu).Ndio maana huko makanisani mwenu,kutwa mnatoana majini,na hawatoki.Huoni kama maneno yake ni kweli.Kama majini yangekuwa kwa waislamu tu,hayo mnayotoana makanisani ni malaika?
Okay! Kama ni mema kwanini yatolewe? Na ipi ni sifa ya jini jema? Napita tu.
 
Ndugu! Ktk nchi yenye mchanganyiko wa dini kama Tanzania,,,,, dini ya kati huwa inazaliwa. Ulichokiongea hapo kina nusu uislamu na nusu yake ukristu. Hakikubaliki chote kwa upande wowote ule.

Uislamu unafundisha kwamba, Mungu ameumba viumbe vya aina tatu vyenye kujitambua (utambuzi), malaika (nuru), majini (moto) na binadamu (udongo). Tofauti ya malaika na hivi viwili vilivyosalia ni utashi, malaika ni maroboti hayawezi kujiamulia cha kufanya. Hivyo hawawezi kamwe kufanya dhambi. Lucif–ER huyu alikuwa ni uzao wa majini,, aliyeishi mbinguni. Nature yake ikamruhusu kufanya dhambi.

Kuhusu majina shetani na ibilisi, kwanza ni yenye asili ya kiebrania yakimaanisha uasi na upinzani. Hili si jina halisi la kiumbe bali la matendo. Lucifer ni shetani na ni ibilisi.

Inshu ya kukataa kumsujudia Adamu kuwa ndo kosa la Lucifer, hili ni fundisho la uislamu tu. Ukristo haufundishi hilo. Ukristu unasema tamaa ya mamlaka ilimuwaka akatamani naye akae siti ya mola wake.

Ukristu unafundisha kwamba Lucifer alishaanguka zamani sana, kabla ya uwepo wa Eva. Na inawezekana alishajaribu mbinu nyingi kumuangusha Adam akashindwa,,,, Eva alipoumbwa aliutumia udhaifu wake. "si huyu Eva uliyeniletea "

Quiz, Adam aliishi miaka mingapi kabla ya Eva kuumbwa? Ikumbukwe siku moja ya Mungu ni sawa na miaka 1000 ya kwetu.
Huko Lucifer,usifike,kuna ushahidi huyu ni Nani,hapo paache kama palivyo,haifai kuchafua hali ya hewa.Kwa sababu katika uislamu,huyo anayeunganishwa na huyo Lucifer,kupitia hicho kitabu,tunamheshimu,japo upande wa pili hawajui hilo.
 
Okay! Kama ni mema kwanini yatolewe? Na ipi ni sifa ya jini jema? Napita tu.
Jini mwema hamvamii mtu,anayemvamia mtu ni jini muovu.Katika kila viumbe wapo wema na wabaya.Kama binadamu wapo wema na wabaya.Binadamu mbaya,ndiye anayefanya vitendo vibaya,kama ujambazi,wizi,uporaji nk.Hata wanyama wapo wema na wabaya.Wanyama wabaya ndio wanaoshambulia wengine,na wapo wanyama hawashambulii wengine.
 
Majini ni malaika walio muasi Mungu pamoja na Shetani ,Majini yanatumiwa na shetani kutumikisha watu. wakrito wanayaita mapepo .Hakuna ushirika wowote kati ya ukristo na majini au mapepo ,kiufupi hayataki jina la Yesu. Ila kuna ushirika mkubwa kati ya uislamu na Majini ,wanaswali nayo wanasema ni maislamu .Mimi hapo ndio napata mashaka makubwa juu ya Dini hii.
Hiyo elimu ya uhusiano wa uislamu na majini umeipata wapi mkuu?
 
wewe mimi nadhani hata bible ya haswa huisomi, unasikia na wewe unasema bila ya hata kutumia akili yako hata chembe.
ngoja nikupe shule kidogo.
Mwenyezi Mungu aliumba Malaika, majini na binaadamu. Na wote hawa kawaumba kwa ajili ya kumtumikia yeye.
Malaika waliumbwa kwa nuru, Majini kwa moto na binaadamu kwa udongo.
Katika Malaika hawa ni special wameumbwa na hawamuasi Mwenyezi Mungu kamwe, ni wenye kuabudu tuu.
Binaadamu na Majini sisi ndio tulokuwa na Mitihani maana ndio tupo hapa ulimwenguni,
tulichoumbiwa ni kumuabudu Mwenyezi Mungu. Na atakaemuasi ikiwa jini au binaadamu basi Mwenyezi Mungu hatamuacha siku ya mwisho atamuingiza motoni, na ikiwa atafuata maarisho ya Mungu ikiwa jini au binaadamu akitaka mwenyewe Mungu atamuingiza peponi.
Sasa ikiwa jini au binaadamu atamuasi Mwenyezi Mungu huyo ndio anakuwa shaytani. Maisha yao ya kuzaliana kama sisi tunavyozaliana ila tumetofautiana na vyakula vyao na makaazi yao wanayoishi.
Na hawana nguvu yoyote ile ya kusema kuwaogopa, Mtume Suleiman yeye alipewa ufalme wa watu, majini, wanyama, ndege, upepo N.k Ni ulfalme ambao alimuomba Mwenyezi Mungu asijempa yoyote badala yake.
Na walikuwa chini ya amri ya Mtume Suleiman aliwadhibiti sawa sawa.
Haya yamo ndani ya Quran tukufu.
binaadamu hutakiwi kuwaogopa kabisa wao ni viumbe wameumba kama sisi, na wengine huwaogopa binaadamu haswa.
Na binaadamu hatakiwi kuyaingilia katika maisha yao na wao hawatakiwi kutuingilia katika maisha yetu. Ila kama utawaingilia na kutaka kujua zaidi na kuwafatilia utaishia katika shirki ambayo itakupeleka kuunguzwa na Mwenyezi Mungu.

TATIZO BAADHI YA WASIOKUWA WAISLAM WANAKURUPUKA SANA NA KUTOA MAJIBU AMBAYO HATA AKILINI HAYAINGII, BINAADAMU SOMA MWENYEWE UELEWE USIKUBALI KUHADITHIWA TUU.
KWA NGUVU ZA NANI KWA NGUVU ZA NANI TOKA HAMNA KITU HICHO NI KIINI MACHO TUU CHA KUCHEZEWA.
MWENYE UWEZO WA KUMTOA JINI AKIKUSIBU NI MWENYEZI MUNGU PEKEE YAKE.
KUNA VISOMO KATIKA QURAN UNASOMA KAMA AKIKUPATA, NA JINI HAMPATI MTU AMBAE AMEJIWEKA MBALI NA MAMBO AMBAYO MWENYEZI MUNGU AMEHARAMISHA.
KAMA MTU ANASEMA SHEIKH ANA MAJINI NI MUONGO, KUNA BAADHI YA WATU HUWAFUTILIA HAWA MAJINI AMBAO KWA MAJINA WANAITWA WAISLAM ILA UNAKUWA USHAJIVUA KATIKA UISLAM IKIWA WEWE KAZI YAKO KUYAFUGA KWA AJILI YA SHIRKI.
HAKUNA USHIRIKA WOWOTE UNAOHUSIANA UISLAM NA MAJINI, NI KUWA ATI WAISLAM WANATUMIA MAJINI, MSIDANGANYWE MKADANGANYIKA.

NI KATIKA QURAN KILA KITU KIMO WATU WAACHE UVIVU WASOME
Swadaktaaaaaaaaaaaaa!!
 
Kwa kuchokoza zaidi mada... Elimu ya majini kwa Wakristo na Waislamu ni tofauti ingawa wapo Wakristo ambao hubeba mafundisho au elimu ya majini kutoka kwa Waislamu na kuichomeka kwenye Ukristo kwa support ya mistari flani ya Biblia. Mfano ukisikiliza mafundisho juu ya nyota asili yake si Ukristo. Sisi Wakristo tunajua habari ya karama za Roho Mtakatifu na si nyota ....

Hivyo tunapozungumzia habari za majini ni vizuri kujikita vizuri kwenye imani yako ili kama ni muislamu tukuelewe na Mkristo ueleweke ..

Hata msamiati majini si Wakikristo ndio maana huwezi kukuta sehemu imeandikwa Yesu akatoa majini .....Biblia imechagua kwa umakini sana misamiati ya kutumia ikiwemo mapepo n.k ...

Tujiulize majini kwa tafsiri ya Waislamu ni kitu kilekile kwa tafsiri ya Mapepo ktk Biblia? Nimechokoza tu mada ..
Mkuu labda kwa sababu wakristo hawataki kujifunza tu habari za hawa viumbe kuindani.

Si unamkumbuka TOBITI wa bibliani si alimfurumusha yule jini aliyekuwa anaharibu mimba ya yule binti mpaka akamkamata na akamfunga yule jini gerezani,

JE KUNA UBAYA NIKIHOJI JINI NI KIUMBE WA AINA GANI MAANA SIJAWAHI MUONA LAKINI BIBLIA INATUAMBIA UNAWEZA UKAMKAMATA NA KUMWEKA SEGEREA?

Na ukumbuke kwa imani ya ukristo hii ni kabla ya uislamu.
 
"HAKUNA USHIRIKA WOWOTE UNAOHUSIANA UISLAM NA MAJINI"

Mkuu hii kauli yako ni ya Uongo Mtupu, Maana Quran inasema kuna majini maislamu na yanamuabudu Allah na huwa mnasali nayo msikitini na hata pia kwenye Quran kuna kitabu cha suratul jinn
 
Jini mwema hamvamii mtu,anayemvamia mtu ni jini muovu.Katika kila viumbe wapo wema na wabaya.Kama binadamu wapo wema na wabaya.Binadamu mbaya,ndiye anayefanya vitendo vibaya,kama ujambazi,wizi,uporaji nk.Hata wanyama wapo wema na wabaya.Wanyama wabaya ndio wanaoshambulia wengine,na wapo wanyama hawashambulii wengine.
Hapa ndo nilipokuwa nataka ufike, umefika. Jambo moja tu nakuomba, kuwa mwerevu na punguza munkari tufundishane jambo hapa.

Mi ni mwenyeji wa mikoa ya pwani ya Tz. Kuna vitu tusibishane kwakuwa nimeishi navyo na kuvishuhudia kwa macho tena hata kwa baadhi ya wana ukoo wangu.

Uislamu unafundisha ukristu ni upotofu,, walopotea. Kundi la ushetani. Dhambi ni zao la shetani mkuu.

Majini maovu tu ndo humuingia mwanadamu, ni kauli yako na ya uislamu, na ya waislamu wengi wala we si wa kwanza kunena hivyi.

Swali, kwanini kila jini limuingialo mwanadamu, humtumikisha kuutii uislamu kwa kutimiza yote ya uislamu wakati lenyewe ni ovu la kishetani? Kila mwenye majini lazima aitii ijumaa, ramadhani afunge, akae mbali na pombe, asile nguruwe, aswali swala tano, awashe udi, anene kiarabu (watetezi wanasema si kiarabu bali lugha ya kijini, lakini mashehe na si mapadri wanayoielewa) avae kama wavaavyo waislamu, mida yao ni mida ya swala ktk uislamu, why?

Mi nilitarajia kwakuwa ni maovu na ukristu ni uovu yangefungamana na yakikristu why? Hapa ndipo wakristo wanapodhani Allah ni Lucifer ujuwe? Nifundishe mkuu wangu, nko mweupe kabisa, huru kujifunza kitu kipya, na ntakutumia kwa mengi. Hope sijakukwaza.
 
Jini mwema hamvamii mtu,anayemvamia mtu ni jini muovu.Katika kila viumbe wapo wema na wabaya.Kama binadamu wapo wema na wabaya.Binadamu mbaya,ndiye anayefanya vitendo vibaya,kama ujambazi,wizi,uporaji nk.Hata wanyama wapo wema na wabaya.Wanyama wabaya ndio wanaoshambulia wengine,na wapo wanyama hawashambulii wengine.
Kwakuwa dhima ni kujifunza, kama una watu wenye elimu na haya mambo, waulize tupate jibu murua kabisa.
 
Kipi nisichokijua hapo? Post yangu ilishajibu yote hayo.
Elimu yako inakusaidia nini mkuu maana unasema majini hayaonekani wakati huo huo unadai Waislamu wanaswali na Majini,

Je waislam pia ni majini? mpaka waswali na majini

Je wewe uliyaona vipi hayo majini Kama sio uzushi na kushikiwa akili na wanaokuzidi uwezo wa kufikiri?
 
inategemea umeamua kuita jina gani kwenye kitabu chako lakini haiondoi maana halisi ya kitu mfano mandela aliitwa gaidi na mataifa yenye nguvu duniani ingawa ukweli ilikuwa tofauti.
yapo majini wakristo na wazungu ,wahindi n.k
biblia imebadilishwa na kuchezewa sana na wazungu na hii unayoisoma wewe inawezekana hata bwana trump alishiriki kwenye editing
Trump tena
 
Uasi mkuu kuliko wote unafanywa kwa mara ya kwanza na maraika mkuu aliyepewa nguvu na uwezo lucifer.kujiona anatosha sasa hata kupambana na aliyemuumba anafanikiwa kuwa na wafuasi malaika wenzie.vita kubwa inazuka mbinguni kati ya jeshi la malaika mkuu mtiifu mikael na huyo ibilisi anatupwa duniani pamoja na wafuasi wake akiapa kwenda kinyume na kila matakwa ya Mungu kwa watu wake duniani.

Huyu anayo nguvu sana si masihara kama wapuuzi flani wanavyomchukulia.
Usiumize kichwa mkuu, Mwabie akasome Kitabu cha Ufunuo Wa Yohana
 
wewe mimi nadhani hata bible ya haswa huisomi, unasikia na wewe unasema bila ya hata kutumia akili yako hata chembe.
ngoja nikupe shule kidogo.
Mwenyezi Mungu aliumba Malaika, majini na binaadamu. Na wote hawa kawaumba kwa ajili ya kumtumikia yeye.
Malaika waliumbwa kwa nuru, Majini kwa moto na binaadamu kwa udongo.
Katika Malaika hawa ni special wameumbwa na hawamuasi Mwenyezi Mungu kamwe, ni wenye kuabudu tuu.
Binaadamu na Majini sisi ndio tulokuwa na Mitihani maana ndio tupo hapa ulimwenguni,
tulichoumbiwa ni kumuabudu Mwenyezi Mungu. Na atakaemuasi ikiwa jini au binaadamu basi Mwenyezi Mungu hatamuacha siku ya mwisho atamuingiza motoni, na ikiwa atafuata maarisho ya Mungu ikiwa jini au binaadamu akitaka mwenyewe Mungu atamuingiza peponi.
Sasa ikiwa jini au binaadamu atamuasi Mwenyezi Mungu huyo ndio anakuwa shaytani. Maisha yao ya kuzaliana kama sisi tunavyozaliana ila tumetofautiana na vyakula vyao na makaazi yao wanayoishi.
Na hawana nguvu yoyote ile ya kusema kuwaogopa, Mtume Suleiman yeye alipewa ufalme wa watu, majini, wanyama, ndege, upepo N.k Ni ulfalme ambao alimuomba Mwenyezi Mungu asijempa yoyote badala yake.
Na walikuwa chini ya amri ya Mtume Suleiman aliwadhibiti sawa sawa.
Haya yamo ndani ya Quran tukufu.
binaadamu hutakiwi kuwaogopa kabisa wao ni viumbe wameumba kama sisi, na wengine huwaogopa binaadamu haswa.
Na binaadamu hatakiwi kuyaingilia katika maisha yao na wao hawatakiwi kutuingilia katika maisha yetu. Ila kama utawaingilia na kutaka kujua zaidi na kuwafatilia utaishia katika shirki ambayo itakupeleka kuunguzwa na Mwenyezi Mungu.

TATIZO BAADHI YA WASIOKUWA WAISLAM WANAKURUPUKA SANA NA KUTOA MAJIBU AMBAYO HATA AKILINI HAYAINGII, BINAADAMU SOMA MWENYEWE UELEWE USIKUBALI KUHADITHIWA TUU.
KWA NGUVU ZA NANI KWA NGUVU ZA NANI TOKA HAMNA KITU HICHO NI KIINI MACHO TUU CHA KUCHEZEWA.
MWENYE UWEZO WA KUMTOA JINI AKIKUSIBU NI MWENYEZI MUNGU PEKEE YAKE.
KUNA VISOMO KATIKA QURAN UNASOMA KAMA AKIKUPATA, NA JINI HAMPATI MTU AMBAE AMEJIWEKA MBALI NA MAMBO AMBAYO MWENYEZI MUNGU AMEHARAMISHA.
KAMA MTU ANASEMA SHEIKH ANA MAJINI NI MUONGO, KUNA BAADHI YA WATU HUWAFUTILIA HAWA MAJINI AMBAO KWA MAJINA WANAITWA WAISLAM ILA UNAKUWA USHAJIVUA KATIKA UISLAM IKIWA WEWE KAZI YAKO KUYAFUGA KWA AJILI YA SHIRKI.
HAKUNA USHIRIKA WOWOTE UNAOHUSIANA UISLAM NA MAJINI, NI KUWA ATI WAISLAM WANATUMIA MAJINI, MSIDANGANYWE MKADANGANYIKA.

NI KATIKA QURAN KILA KITU KIMO WATU WAACHE UVIVU WASOME
Shehe sharif Majini unamjua wewe? Sasa yeye anayafuga hayo majini kama ngombe mpaka mwenyewe akjiita shehe majini
 
Hiyo elimu ya uhusiano wa uislamu na majini umeipata wapi mkuu?
Sorry Mkuu nakuungilia, ila yote ni ktk kujifunza. Uhusiano uliopo ni huu, majini yanamuabudu Allah Mungu wa waislamu, (tusiingie ktk mada ya jina la Mungu hapo kulitetea hili) ila majini yapo ili yamfanyie Allah ibada. Majini wema (kwa tafsiri ya kiislamu) ni waislamu wachamungu.

Ukristu hauna waumini majini, wanao wachamungu wanyama, mawe, miti nk lakini si majini. Ktk Ukristo majini ni malaika waliokwisha hasi na muda wao wamsamaha ulishapita, wanangojea adhabu tu.
 
Sawasawa mkuu.Nadhani hapa tuna mtazamo tofauti katika suala hili kiimani.
 
Back
Top Bottom