Je, aamue Kuendelea na kazi ama aende Chuo?

Habari wana jukwaa!

Naomba kwenda kwenye lengo kuu. Rafiki yangu wa karibu kanishirikisha hili jambo lake, yeye ni mwajiriwa sekta binafsi zaidi ya miaka 6 sasa na elimu yake ni Diploma, amejikuta akitafakari kufanya chaguo kati ya kazi yake ama arudi aongeze elimu.

Ana mke na watoto,
Na kama akijiendeleza atakuwa nje ya mfumo wa ajira.

Karibuni wanajukwaa kwa ushauri wa manufaa yake na wengine.
Asanteni!
Apige Kazi, ajiunge na Chuo kikuu Huria, akijipanga vizuri anatimiza lengo lake, na kupanua wigo wa kuajiriwa sehemu nyingine bora zaidi.
 
Angekua huko surebet(Serikalini) sawa,ila kama yupo private ni mtihani mwajiri kukupa ruhusa ya kusoma huku akaendelea na kibarua chake,aangalie kilicho bora kwake bila kuiathiri familia
 
Sekta zetu za binafsi baadhi hazi support kujiendeleza moja ni hii anayoipitia mdau, achague kazi au shule
 
Hatari sana,inakulazimu ukomae tu na hicho kibarua huku ukiendelea kuwa cheap labour kwani elimu ni ya kawaida.

Labda ajaribu vyuo vinavyotoa mafunzo kwa njia ya blended,apige kazi huku akiendelea na kazi ambapo inabidi apambane haswaa,manake kujigawa kati ya kazi,shule na familia sio poa
 
Ni mtihani sana mtaalam, sekta zetu zinatudidimiza sana. Na biashara wengi wetu hatuwezi kuziendesha
 
Mshauri asiache kazi Bali Asome Open University [kama anachotaka kusoma kipo ktk chuo huko Au chochote cha Online
 
Back
Top Bottom