Je, aamue Kuendelea na kazi ama aende Chuo?

Habari wana jukwaa!
Naomba kwenda kwenye lengo kuu. Rafiki yangu wa karibu kanishirikisha hili jambo lake, yeye ni mwajiriwa sekta binafsi zaidi ya miaka 6 sasa na elimu yake ni Diploma, amejikuta akitafakari kufanya chaguo kati ya kazi yake ama arudi aongeze elimu. Ana mke na watoto,
Na kama akijiendeleza atakuwa nje ya mfumo wa ajira.
Karibuni wanajukwaa kwa ushauri wa manufaa yake na wengine.
Asanteni!
Asome Open
 
Aende open university
 
Hahahahaaa unapiga kwenye maumivu! Ila nimevaa viatu vyake sasa, wajuzi wa mambo msaidie
Kuna BAADHI ya vijana hujua mapema katika umri mdogo yaani wafuate elimu au wafuate kazi/ biashara/ kukimbiza pesa

Kwenye maisha unatakiwa ujue your purpose hizo pesa unazo lipia chuo Bora uzifanye mtaji

Otherwise kama familia na watoto vipo comfortable unaweza kuendelea chuo kikuu kama unasoma ili apate pesaaa/ KAZI ya malipo ya juu

Hio dream Bora uiamishie kwa wanao waza kupata pesaaa nyingi hiyo diploma itoshe kukupa maisha wekeza kwenye kusaka pesa na kuwekeza kwenye biashara
 
Unadhani hiyo shahada unayoitafuta ndo itakuza uchumi wako? Hujaona madaktari na maprof. machawa? simaanishi ni masikini ila hizo elimu kubwa walizonazo ziko overated.

Pambana ndani na nje ya mfumo wa ajira, kuwa mbunifu.
Asante sana mtaalam umeweka vizuri sana
 
Kuna BAADHI ya vijana hujua mapema katika umri mdogo yaani wafuate elimu au wafuate kazi/ biashara/ kukimbiza pesa

Kwenye maisha unatakiwa ujue your purpose hizo pesa unazo lipia chuo Bora uzifanye mtaji

Otherwise kama familia na watoto vipo comfortable unaweza kuendelea chuo kikuu kama unasoma ili apate pesaaa/ KAZI ya malipo ya juu

Hio dream Bora uiamishie kwa wanao waza kupata pesaaa nyingi hiyo diploma itoshe kukupa maisha wekeza kwenye kusaka pesa na kuwekeza kwenye biashara
Aminia mwanangu, Ufafanuzi wako wa ujumbe umefika sawasawa.
 
Hivi ukisema ni wewe ndio unaomba ushauri utakufa???

We jiulize swali moja alafu chukua hatua, kwenye hiyo kazi unayofanya, kazi hiyo hiyo unayofanya kunaa watu wana Degree wameiomba alafu wanafanya au hakuna
 
Nimevaa viatu vyake kwa sasa, kuhusu ajira/wanaoomba ajira katika kampuni yao sina taarifa zaidi mwana
 
Back
Top Bottom