FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,083
- 40,735
============================Mtoa roho amekwisha wasiliana nawe tena! Loh...
Yaani pamoja na watu wa Moro kuteketea kwa moto juzi bado kuna watu huko Kahama walitaka kwenda kuiba mafuta baada ya ajali kutokea! Kweli kusikia kwa kenge...
Tusiandikie mate, naamini kitengo cha fire wanabajeti ya 'fire drills', wafanye hili jaribio.Hahaha...sidhani kama watakuwa na huo ujasiri.
Watu wanaweza kwenda maana Kuna watu akili zao na za kuku hazipishani,kuku wakiwa sehemu halafu mmojawapo akakamatwa na kimburu watatawanyika,lakini baada ya mda mfupi utawaona wamerudi hukohuko.Hivo likitokea tena(Mungu apishe mbali)Kuna watu wanaweza kwenda huku wakisema"kufa kulala bwana".Hahaha...sidhani kama watakuwa na huo ujasiri.
Unauliza wakati huyo alirudi eneo la tukio Jana usiku?Hahaha...sidhani kama watakuwa na huo ujasiri.
Wala wengine sio kukata tamaa bali ni Kama kijitabia tu cha mtu wengine hawatakagi kupitwa na chochote,Yuko tayari kuchukua hata Kama hajui hicho alichokichukua anakwenda kukifanyia nini almuradi kachukua tu.Ni sawa na mwizi anaweza kukuibia kitu hata kisicho na thamani yoyote anaridhika akiiba hata akienda kukitupa hicho alichokichukua anaona Safi tu mradi kaiba.Ikitokea watu wakajitokeza licha ya yote haya kutokea basi ujue watu wamekata tamaa na maisha
Haya huyo ndo kiumbe aitwae binadamuUnauliza wakati huyo alirudi eneo la tukio Jana usiku?View attachment 1178484
Chief, tatizo la kuwa na funza kichwani kwani linasababishwa na nini?Yaani wakati bado hatujasahau; tufanye jaribio hili, tuchukue gari la mafuta halafu tujaze maji yenye rangi na harufu ya petrol, then tulipindue alfajiri kwa kutumia crane la breakdown bila watu kuona, halafu asubuhi tuyafungulie hayo maji/ petroli feki yaanza kutiririka mtaroni, uone watu watakavyojazana na vidumu vya maji kama wapo bombani. Hawatakumbuka ya Msamvu!
Yaani wakati bado hatujasahau; tufanye jaribio hili, tuchukue gari la mafuta halafu tujaze maji yenye rangi na harufu ya petrol, then tulipindue alfajiri kwa kutumia crane la breakdown bila watu kuona, halafu asubuhi tuyafungulie hayo maji/ petroli feki yaanza kutiririka mtaroni, uone watu watakavyojazana na vidumu vya maji kama wapo bombani. Hawatakumbuka ya Msamvu!
Alaaa..! Sasa huyu alienda kufanya nn na ndoo hapo?Unauliza wakati huyo alirudi eneo la tukio Jana usiku?View attachment 1178484
Kwahiyo hii awamu ya 5 kuna watz ni kama wamefungiwa kwenye pango..., aiseee...!!Ugumu wa maisha..., hata wewe ukifungiwa kwenye pango kwa muda mrefu na ndugu zako usishangae mmoja wenu akipitiwa usingizi mkamfanya kitoweo..., its basic animal instincts when one is desperate...
Harafu kinachofuta baada ya hapo ni kukamata mmoja moja na kutandika mijeredi ya kufa mtuTusiandikie mate, naamini kitengo cha fire wanabajeti ya 'fire drills', wafanye hili jaribio.