FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,083
- 40,735
- Thread starter
- #101
Mtu akikamatwa akizoa mafuta kwenye lori la mafuta lililopata ajali afungwe kifungo cha maisha jela
Naomba bunge litunge sheria ya kifungo cha maisha jela kwa mtu yeyote atakayekamatwa akizoa mafuta yanayomwagika kwenye lori lililopata ajali. Sheria hii itapunguza madhara yanayotokana na malori ya mafuta yanapopata ajali. Tusitumie nguvu nyingi sana, tutumie sheria tu hii itasaidia sana...
www.jamiiforums.com