FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,060
- 40,723
Yaani wakati bado hatujasahau; tufanye jaribio hili, tuchukue gari la mafuta halafu tujaze maji yenye rangi na harufu ya petrol, then tulipindue alfajiri kwa kutumia crane la breakdown bila watu kuona, halafu asubuhi tuyafungulie hayo maji/ petroli feki yaanza kutiririka mtaroni, uone watu watakavyojazana na vidumu vya maji kama wapo bombani. Hawatakumbuka ya Msamvu!
=============================
Update: 25/08/2019
==============================
Update:
================================
Update: 27/08/2019
=============================
Update: 01/03/2021
=============================
Update: 25/08/2019
Ngara, Kagera: Lori la Mafuta limeanguka Rusumo Magereza watu wanachota mafuta
Nimeona katika ukurasa wa road aafety ambassadors kuna video inaonyesha lory la kampuni ya lake oil limeanguka na inasemekana dereva amefariki wabongo kama kawaida wana gema mafuta dah wahusika chukueni hatua mapema kabla mtu hajachomoa betri aisee ===== Lori la Mafuta limeanguka Rusumo...
www.jamiiforums.com
==============================
Update:
Kahama, Shinyanga: Lori la mafuta lateketea kwa moto na kupelekea utingo kufariki
Lori lenye shehena ya mafuta la kampuni ya Mount Meru Company limeanguka na kuwaka moto wilayani kahama mkoani Shinyanga na kusababisha kifo cha utingo wa lori hilo aliyefahamika kwa jina moja la Erik huku dereva wake Ibrahimu Issa akijeruhiwa kwa moto. Lori hilo lenye namba za usajili RAD...
www.jamiiforums.com
============================Mtoa roho amekwisha wasiliana nawe tena! Loh...
Yaani pamoja na watu wa Moro kuteketea kwa moto juzi bado kuna watu huko Kahama walitaka kwenda kuiba mafuta baada ya ajali kutokea! Kweli kusikia kwa kenge...
Update: 27/08/2019
Lori jingine la mafuta lapata ajali Handeni, wananchi wakimbilia tena kuchota
Huku ikiwa bado majeruhi wa ajali ya Morogoro wakiwa hawajapona vizuri, lori jingine la mafuta limepata ajali leo tarehe 27 Agosti huko Handeni na wananchi kukusanyika na vyombo kwa ajili ya kuyachota Hata hivyo polisi waliwahi eneo la tukio na kuwatawanya wananchi hao Ikumbukwe hii ni ajali...
www.jamiiforums.com
Update: 01/03/2021
Mtu akikamatwa akizoa mafuta kwenye lori la mafuta lililopata ajali afungwe kifungo cha maisha jela
Naomba bunge litunge sheria ya kifungo cha maisha jela kwa mtu yeyote atakayekamatwa akizoa mafuta yanayomwagika kwenye lori lililopata ajali. Sheria hii itapunguza madhara yanayotokana na malori ya mafuta yanapopata ajali. Tusitumie nguvu nyingi sana, tutumie sheria tu hii itasaidia sana...
www.jamiiforums.com