Ngara, Kagera: Lori la Mafuta limeanguka Rusumo Magereza watu wanachota mafuta

pombe kali

JF-Expert Member
Jun 28, 2014
221
431
Nimeona katika ukurasa wa road aafety ambassadors kuna video inaonyesha lory la kampuni ya lake oil limeanguka na inasemekana dereva amefariki wabongo kama kawaida wana gema mafuta dah wahusika chukueni hatua mapema kabla mtu hajachomoa betri aisee

=====

Lori la Mafuta limeanguka Rusumo Magereza (Machinjioni) Kama unaenda mpaka wa Rwanda na Tanzania Rusumo.

Mafuta yanamwagika. Wapambanaji mliopo hapo mkazuie balaa hapo. Hakuna Vifo ila Dereva ndo amejeruhiwa na kapelekwa Hospitali
 
Kagera njaa tupu hawajifunzi Moro?
instanbul
The Great Haya
sundoka
Mkuu, unadhani ni njaa basi, ni kaujinga fulani kapo tu katika hali ya kawaida. Hata sasa hivi lianguke gari la mafuta pale pale Msamvu ilipotokea ajali ya mwanzo, watu bado watajazana na majagi kwenda kuchota.
sana sana utawasikia wachota mafuta wakisema "ooh jamani hapa inatakiwa sote tuwe makini, asichomoe mtu wala kuvuta sigara hapa karibu"
wanatiana faraja za kipumbavu wasijue Petroli kulipuka ni sekunde.
 
Tuwekee picha tujiridhishe sisi tulio mbali na eneo la tukio. Umaskini uliokithiri, tamaa, ushamba na ukosefu wa elimu ya majanga; havitatuacha salama kamwe.
 
Back
Top Bottom