kila muislamu atakayekubali mpango wa kugoma sensa ifikapo agosti 26 atakuwa ameshiriki kuhujumu mipango ya maendeleo ya awamu ya nne inayoongozwa na rais jakaya kikwete.
Serikali ikishindwa kufikia mipango yake ya maendeleo wapo watakaosema ni "mfumo kristo" au itaelezwa kwamba ni mkakati wa upinzani kwani tunapenda majibu mepesi/marahisi yasiyo na vielelezo.
Msukumo wa kugomea sensa una mantiki moja tu nzito, kumwangusha jk.
kwanini wakiristo wamejiingiza sana kuhusu hili? Wao si wanapata tayari gawio lao la mapesa ya umma kupitia mkataba wa mou?