Kama tulivyoona maboresho makubwa kwenye sensa, nashauri serikali ifanye maboresho pia kwenye uchaguzi

Trainee

JF-Expert Member
Sep 22, 2018
2,217
2,821
Hapa sizungumzii mambo ya usimamizi sijui wakurugenzi mara tume, hapana.

Naongelea matumizi ya TEHAMA katika kufanikisha uchaguzi. Kwenye sensa serikali iliupiga mwingi sana na vishikwambi. Wataalamu wa TEHAMA hebu angalieni na uchaguzi nao ni kwa namna gani tutaapply TEHAMA.

Hii mambo ya kuwatesa walimu, mapolisi na migambo kutwa kubebelea misanduku mpaka saa 8 usiku siyo poa.
 
Back
Top Bottom