Japhet Hasunga: Deni la kodi ya Ths trilioni 300 za makinikia ni aibu kwa nchi, hazina uhalisia

Jiwe alikua pumbaf hajui Madini yote Dunia nzima ni Mali ya familia Moja tu na ole wako ujifanye mjuaji utaisoma Namba,
Yaani wao Ndio wanunuzi wakuu wa hayo Madini kiasi kwamba ukikataa kuwapa migodi na wao wakupe gawio kidogo hivyo hivyo angalau uambulie kitu wanakua wamefanya la maana kuliko waje wabebe Bure Tena Kwa mbinu Kali na usiambulie chochote au wagome kununua hayo Madini ubaki nayo kama mawe maana wao Ndio huyapa thamani,
Yeye akajidai anakuja na propaganda za ubeberu na masifa ya kumchezea chatu na Ile ripoti kioja iliyopingwa na Tundu Lissu Mpaka wakampiga risasi et msaliti,
Haya Nini kiliwakuta na Leo Kiko wapi?
Exposure ni kitu mhimu sana Kwa viongozi wetu!

Exposure?! Daah aisee umenishangaza sana

Na wewe unaona sawa tu kuchukuliwa madini kwenye ardhi yako uliopewa na muumba na familia moja ya kitajiri….

Unaona sawa tu mtanzania anavyokufa kwa kukosa huduma za msingi kisa familia moja ya kitajiri inachukua rasilimali na wewe unachekelea unaona ni sawa tu wachukue kisa wanaweza…watu km nyie niwakupoteza maana ni sumu mbaya sana…na type yako wewe unaenza chukuliwa mke, watoto na nyumba kisa jamaa tajiri…very weak minded people…ambao hamtatuvusha hata hatua moja kwa mentality hii…hayo madini lazima kuuzwa yasipouzwa yataoza…na ndio maana wanatusoma wanatuona jamaa waoga hawajiamini tunaeza wafanya lolote kwanza hawana umoja…una bribe mmoja anasaliti the rest…very painful

Watu km nyie kuna mzungu moja anaita useless eaters they do nothing for humanity…

Uoga wetu ndio umaskini wetu
 
Sasa hapo huoni wewe ndio mpumbavu?

Yani madini yapo nchini kwako alafu unasema ni ya familia moja?

Afrika ni masikini sababu ya wapumbavu kama nyie!

Magu alikuwa wakuungwa mkono ila nyie vibwengu na wale wapumbavu wenu walioko belgiji mkaona kama ndio sehemu yankutokea kisiasa!

Mijitu kama nyie ni risasi tu

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app

Aisee kanishangaza sana huyu jamaa
 
Ni kwasababu sisi ni wapumbavu!

Kama tungekuwa siyo wapumbavu tusingewaachia hizo familia zimiliki madini yetu.

Sasa anapotokea mtu anajaribu kutuzindua alafu tunaanza kumpinga hakuna jina lingine tunalostahili kuitwa zaidi ya wapumbavu. Na upumbavu siyo tusi.

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app

Upumbavu ni kipaji….

au nasema uongo ndugu zangu😄

Safari ni ndefu sana…
 
true,kuna liwaziri limoja juzi linatamka eti ardhi ya tanzania ni mali ya rais
Huyu waziri akiwa ziarani alihamasisha halmashauri zote zipande vitindi eti ni utalii navinaleta rutuba.Nilishika mdomo
 
Ni kwasababu sisi ni wapumbavu!

Kama tungekuwa siyo wapumbavu tusingewaachia hizo familia zimiliki madini yetu.

Sasa anapotokea mtu anajaribu kutuzindua alafu tunaanza kumpinga hakuna jina lingine tunalostahili kuitwa zaidi ya wapumbavu. Na upumbavu siyo tusi.

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Neno upumbavu unalipenda lakini unalitumia pasipo mahali pake. Wakati wazungu wanagawana bara la afrika mwaka 1884 hapa Tanzania pote palikuwa ni pori tu simba na chui wakikimbizana.

Wakati hao wazungu wanajenga uwezo wa kumiliki migodi yote ya madini sisi tulikuwa bado sana kiuchumi, ukumbuke hilo kabla hujaanza kuandika kwa hasira zisizo kusaidia.

Wanamiliki migodi kwa sababu wamewekeza mtaji wa mabilioni ya dola ambao mimi na wewe hatuna na hatujui lini tutazipata hizo pesa, wamewekeza miundo mbinu ya kisasa ambayo mimi na wewe hatuna na hatujui ni lini tutakuwa na uwezo wa kuwa nayo.
 
Tundu Lissu alishasema.... Hii kitu ni professional rubbish. Sisi ni nani mpaka tubishe
 
Ukizaliwa masikini na ukafa masikini, ni kosa lako sio wazazi wako... kwamba anaona hizo trilioni 300 ni nyingi sana... haki ya mama... hivi anajua Africa ni kiasi gani cha utajiri wetu unachukukiwa na wazungu... asome hii report huyo mnyarwanda ili aujue kutoka gazeti la The Guardian.

[World is plundering Africa's wealth of 'billions of dollars a year']

Sehemu ya taarifa yao ni hii "It said African countries received $162bn in 2015, mainly in loans, aid and personal remittances. But in the same year, $203bn was taken from the continent, either directly through multinationals repatriating profits and illegally moving money into tax havens, or by costs imposed by the rest of the world through climate change adaptation and mitigation."

Ambapo inasema fedha zinazoibwa afrika ni nyingi ( $203bn ) kuliko zinazoingia kama misaada ( $162 bn)
 
wewe na familia yako mpaka sasa mmefanyaje kuuvuna huo utajiri?
 
Japhet Hasunga ambaye alikuwa waziri katika Serikali ya Magufuli, amesema trilioni 300 ambazo zipo katika bodi ya rufaa za kodi za TRA ambazo zinatokana na ripoti ya Profesa Osoro na Mruma zilizoonesha kuwa makampuni ya madini yalikuwa yakitorosha makinikia yenye thamani kubwa na kuikosesha nchi mapato

Hasunga amesema hela hiyo ni sawa na bajeti ya Serikali kwa miaka 10 na tunapaswa kujiuliza deni hili lina uhalisia maana linaichafua nchi nyetu

Ripoti ya Osoro na Mruma ilizua mjadala mkubwa ambapo aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu alikuwa mkosoaji mkubwa wa ripoti hiyo na kuiita professional rubbish ambapo alipigwa risasi s siku chache baadae

Lisu alivyowaambia ukweli kipindi kile uko mezani na chakula mdomoni mkasema ni msaliti kwakua mlikuwa mna ajenda zakudanganya wananchi mtatoana roho sasa wenyewe kwa wenyewe😂😂😂
 
Back
Top Bottom