Japhet Hasunga: Deni la kodi ya Ths trilioni 300 za makinikia ni aibu kwa nchi, hazina uhalisia

Jiwe alikua pumbaf hajui Madini yote Dunia nzima ni Mali ya familia Moja tu na ole wako ujifanye mjuaji utaisoma Namba.

Yaani wao Ndio wanunuzi wakuu wa hayo Madini kiasi kwamba ukikataa kuwapa migodi na wao wakupe gawio kidogo hivyo hivyo angalau uambulie kitu wanakua wamefanya la maana kuliko waje wabebe Bure Tena Kwa mbinu Kali na usiambulie chochote au wagome kununua hayo Madini ubaki nayo kama mawe maana wao Ndio huyapa thamani.

Yeye akajidai anakuja na propaganda za ubeberu na masifa ya kumchezea chatu na Ile ripoti kioja iliyopingwa na Tundu Lissu Mpaka wakampiga risasi et msaliti.

Haya Nini kiliwakuta na Leo Kiko wapi?

Exposure ni kitu mhimu sana Kwa viongozi wetu!kuu umeongea kitu hapo naomba kujua ni familia gani inamiliki hayo madini?
 
Tufahamishe ww unaejua
Migodi yote Duniani hua chini ya control Kwa familia Moja tu ila hua na maajent kama wote Leo utawatimua Barick utajua umewin kesho inajifanya Kuja kampuni ambayo itaendana na matakwa Yako,utaona hapo sawa kumbe Ndio walewale wanabadirika kama kinyonga baada ya siku kadhaa utakuta Ile kampuni imeuza hisa Kwa wale wale Barick baada ya kushindwa kujidndesha mwisho Barick & co wanarudi Tena kuuendesha mgodi kama mwanzo na wewe ukibaki umetoa macho TU!
Hii Dunia Ina wenyewe na wenyewe ndio kina
Oppenheimer Family & co
Wanaomiliki Migodi yote duniani na wanacontrol masoko yote duniani Kwa kupanga Bei NK!
 
OK so mchango wako ni upi? Atleast tujaribu ku establish na kuimpliment policies ambazo zitawabana kidogo na kutupa return km hii ya trillion 300 au tuwaachie tuu wale wanavyojisikia? Maana nataman kujua ur point point of argument.
 
Nchi yetu inakabiliwa na tatizo kubwa Sana la unafiki na uwepo wa njaa ya tumboni na kichwani. Siku watanzania tukiacha unafiki basi nchi ina move.
 
Japhet Hasunga ambaye alikuwa waziri katika Serikali ya Magufuli, amesema trilioni 300 ambazo zipo katika bodi ya rufaa za kodi za TRA ambazo zinatokana na ripoti ya Profesa Osoro na Mruma zilizoonesha kuwa makampuni ya madini yalikuwa yakitorosha makinikia yenye thamani kubwa na kuikosesha nchi mapato

Hasunga amesema hela hiyo ni sawa na bajeti ya Serikali kwa miaka 10 na tunapaswa kujiuliza deni hili lina uhalisia maana linaichafua nchi nyetu

Ripoti ya Osoro na Mruma ilizua mjadala mkubwa ambapo aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu alikuwa mkosoaji mkubwa wa ripoti hiyo na kuiita professional rubbish ambapo alipigwa risasi s siku chache baadae

Huyu ni mpuuzi anastahili kupuuzwa. Wakati wanaunganisha hizo benki yeye hakuwapo?
 
OK so mchango wako ni upi? Atleast tujaribu ku establish na kuimpliment policies ambazo zitawabana kidogo na kutupa return km hii ya trillion 300 au tuwaachie tuu wale wanavyojisikia? Maana nataman kujua ur point point of argument.
Hakuna Kwa kuwabana Hawa jamaa labda ubanwe wewe,wewe unadhani Toka waanze kuchukua Madini wametoa Tani na karat ngapi?
Mimi Sina msaada wowote na sitaweza kufanya kitu labda niandike kujifurahisha au kukufurahisha wewe ila ukweli mchungu Toka walipoanza kuvuna kama taifa hakuna tulichonufaika zaidi ya kupoteza tu na kuachiwa mashimo,
Ni Yao hayo waache wabebe tu hata tukibaki nayo tutafanyia Nini zaidi ya kuwapa wao Tena na Sisi wanatupa papers zisizo na thamani ukilinganisha na kitu tunachotoa?
Hii Ndio Tanzania!

Hii Ndio Afrika tuna Rasilimali lakimi hatuna matumizi nazo kuumia kupo pale pale!
 
Ile report ilikuwa ni ujuha wa hali ya juu. Hata mtu mwenye akili ya kiwango cha low IQ, bado asingeweza kuandika uwendawazimu wa namna ile.

Awamu ya 5 ilijaa hadaa tupu. Marehemu alikuwa akipenda sana kuwadanganya watu wasio na uelewa. Alipoona ameharibu, akaenda kuwapigia magoti Barrick, na kilichosainiwa baada ya hapo, ni aheri hata ya mikataba iliyokuwepo kabla yake. Pekee alichofanikiwa ni kuongeza mrabaha pekee yake.

Laiti watu wangeona ile MDA iliyosainiwa baadaye, sijui wangemwonaje marehemu. Kwenye MDA mpya, Serikali hairuhusiwi kusimamisha uzalishaji na hukumu ikitolewa na mahakama ya biashara ya Singapore, Serikali haina ruhusa hata ya kukata rufaa.

Wewe MDA uliiona?
 
Uelewa wako ni mdogo sana huwezi elewa chochote hapo. Wewe unajua c&p tu!
 
Back
Top Bottom