Japhet Hasunga: Deni la kodi ya Ths trilioni 300 za makinikia ni aibu kwa nchi, hazina uhalisia

Japhet Hasunga ambaye alikuwa waziri katika Serikali ya Magufuli, amesema trilioni 300 ambazo zipo katika bodi ya rufaa za kodi za TRA ambazo zinatokana na ripoti ya Profesa Osoro na Mruma zilizoonesha kuwa makampuni ya madini yalikuwa yakitorosha makinikia yenye thamani kubwa na kuikosesha nchi mapato

Hasunga amesema hela hiyo ni sawa na bajeti ya Serikali kwa miaka 10 na tunapaswa kujiuliza deni hili lina uhalisia maana linaichafua nchi nyetu

Ripoti ya Osoro na Mruma ilizua mjadala mkubwa ambapo aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu alikuwa mkosoaji mkubwa wa ripoti hiyo na kuiita professional rubbish ambapo alipigwa risasi s siku chache baadae

TRA maafisa wake walisomea wapi?
 
Hii takataka wakati inatembea na gari na bendera haikujua kama Jiwe na kampani yake ni wapigaji? nchi inashangaza sana hii ,ndiomaana wanasema wakati mwingine kukaa kimya ni kuonyesha ukomavu na weledi wa hali ya juu, imagine huyu kweli anasema haya leo hii? KUchumia Tumobo kubaya sana
yaani unaamini kuwa deni halina uhalisia lakini hatakiwi kusema kwa kuwa kipindi kile hakusema? au deni lina uhalisia na hatakiwi kusema hivyo?
 
Sasa hapo huoni wewe ndio mpumbavu?

Yani madini yapo nchini kwako alafu unasema ni ya familia moja?

Afrika ni masikini sababu ya wapumbavu kama nyie!

Magu alikuwa wakuungwa mkono ila nyie vibwengu na wale wapumbavu wenu walioko belgiji mkaona kama ndio sehemu yankutokea kisiasa!

Mijitu kama nyie ni risasi tu

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Mkuu matusi na dharau zako ni kujifurahisha tu. Alichoongea huyo jamaa ndio ukweli wenyewe kuhusu sekta ya madini. Ni mali ya familia moja au mbili za Marekani na Canada.

Familia ya George Bush ni mojawapo ya wamiliki wa migodi yote mikubwa duniani. Kinachowapa jeuri ni miundo mbinu ya mgodini, sio kazi ndogo kuimiliki na kuiendesha.
 
Japhet Hasunga ambaye alikuwa waziri katika Serikali ya Magufuli, amesema trilioni 300 ambazo zipo katika bodi ya rufaa za kodi za TRA ambazo zinatokana na ripoti ya Profesa Osoro na Mruma zilizoonesha kuwa makampuni ya madini yalikuwa yakitorosha makinikia yenye thamani kubwa na kuikosesha nchi mapato

Hasunga amesema hela hiyo ni sawa na bajeti ya Serikali kwa miaka 10 na tunapaswa kujiuliza deni hili lina uhalisia maana linaichafua nchi nyetu

Ripoti ya Osoro na Mruma ilizua mjadala mkubwa ambapo aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu alikuwa mkosoaji mkubwa wa ripoti hiyo na kuiita professional rubbish ambapo alipigwa risasi s siku chache baadae

Sio professional rubbish bali ni PROFESSORIAL RUBBISH 😆😆
 
u

Ripoti ya Osoro na Mruma ilizua mjadala mkubwa ambapo aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu alikuwa mkosoaji mkubwa wa ripoti hiyo na kuiita professional rubbish ambapo alipigwa risasi s siku chache baadae

Alisema ni "Professorial Rubbish" na kauli ilimponza sana ile!
 
Ile report ilikuwa ni ujuha wa hali ya juu. Hata mtu mwenye akili ya kiwango cha low IQ, bado asingeweza kuandika uwendawazimu wa namna ile.

Awamu ya 5 ilijaa hadaa tupu. Marehemu alikuwa akipenda sana kuwadanganya watu wasio na uelewa. Alipoona ameharibu, akaenda kuwapigia magoti Barrick, na kilichosainiwa baada ya hapo, ni aheri hata ya mikataba iliyokuwepo kabla yake. Pekee alichofanikiwa ni kuongeza mrabaha pekee yake.

Laiti watu wangeona ile MDA iliyosainiwa baadaye, sijui wangemwonaje marehemu. Kwenye MDA mpya, Serikali hairuhusiwi kusimamisha uzalishaji na hukumu ikitolewa na mahakama ya biashara ya Singapore, Serikali haina ruhusa hata ya kukata rufaa.
Ndio ile report tuliyoahidiwa gari za Noah nchi nzima?
 
Mkuu matusi na dharau zako ni kujifurahisha tu. Alichoongea huyo jamaa ndio ukweli wenyewe kuhusu sekta ya madini. Ni mali ya familia moja au mbili za Marekani na Canada.

Familia ya George Bush ni mojawapo ya wamiliki wa migodi yote mikubwa duniani. Kinachowapa jeuri ni miundo mbinu ya mgodini, sio kazi ndogo kuimiliki na kuiendesha.
Ni kwasababu sisi ni wapumbavu!

Kama tungekuwa siyo wapumbavu tusingewaachia hizo familia zimiliki madini yetu.

Sasa anapotokea mtu anajaribu kutuzindua alafu tunaanza kumpinga hakuna jina lingine tunalostahili kuitwa zaidi ya wapumbavu. Na upumbavu siyo tusi.

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom