Hivi kama Wanapapenda huku si wahamie tu huku kule wapafunge kwanini hela zinapatikana kwa tabu alafu wanapatiwa tu watu wamekaaSasa si wawape mtaji wananchi wote wa Zanzibar au wawalipe mshahara tu..
Muda utaongea.Huu ni upotoshaji,kuna sheria yoyote Serikali ya SSH imevunjwa?
Labda wanalipwa na mgao wa "areas" yaani mgao wa zamani ambao hawakuupata, japo hawakushiriki kuulipa!! Najaribu kuwaza tu kigezo kinachotumika kuwapa Zenji mgao mkubwa sana ukizingatia ni "kasehemu" kaduchu sana ukilinganisha na Tanganyika!!Hizi fedha zanzibar wanapewa mgao mkubwa , wanatumia formula gani kuzigawa? Ukubwa wa eneo? Idadi ya watu? Au Maza hajui hesabu?
Yanahudumiwa na Tanganyika kwa sababu mambo yote ya Tanganyika yamewekwa kwenye serikali ya muungano!! Hapo ndipo kiini macho kilipo!! Hata bajeti ya kujenga choo cha ofisi ya kata ni suala la muungano!! Hii ni kwa sababu hakuna serikali ya Tanganyika!!Hoja zako zipo wapi?
Je, Zanzibar wana Bajeti ya Ulinzi , Mambo ya ndani, nje, Wizara za muungano na taasisi zake?
Hoja yangu ni kwamba hayo mambo uliyoyataja ni masuala ya Muungano, yanahudimiwa kutokana na mapato ya Serikali ya Jamhuri ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hayahudumiwi na Tanganyika wala na Zanzibar. Zanzibar Ina Mambo yake ya kuhudumia.
Kuna sehemu umetaja kwamba elimu sio suala la Muungano. Hapo umepotosha. Elimu ya msingi ndio ambayo sio ya Muungano.
Umezungumzia wanufaika wa Bodi ya Mkopo wa Elimu ya Juu kuwa Mkopo ule kwao ni Grants. Hivi hua mnalipwa kuandika uongo na kueneza chuki kwa wananchi?
Na hata habari ya umeme umeizungumzia ki upotoshaji.
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Mkuu udogo wake unakuzwa sana na kile wanachodai.Labda wanalipwa na mgao wa "areas" yaani mgao wa zamani ambao hawakuupata, japo hawakushiriki kuulipa!! Najaribu kuwaza tu kigezo kinachotumika kuwapa Zenji mgao mkubwa sana ukizingatia ni "kasehemu" kaduchu sana ukilinganisha na Tanganyika!!
Kwa mujibu wa gavana wa BoT marehemu Ndulu , Zanzibar haichangii katika muungano.Hoja yangu ni kwamba hayo mambo uliyoyataja ni masuala ya Muungano, yanahudimiwa kutokana na mapato ya Serikali ya Jamhuri ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hujaelewa point inayozungumziwa. Tatizo si kupelekewa maji au kupata mikopo!Pia ule mradi wa maji victoria kuleta shy tabora dodoma,
Shida watu wa bara tuna roho za kwanini sana,,, yaani hatuna ustaarabu kabisa wala hikima, tumekaa kaa kama watindiga fulani,,,
Wakati tunavuta maji toka lake victoria , wazanzibar hawakulalamika,,, wao pia wanalipa kodi,
mimi sijui ila najua elfu 5 yangu kwa siku inaingia najaza tumbo naendelea kuishi mbn fresh tuu..! Watalipa walokopaILA NACHOJUA DENI LITALIPWA NA HAOHAO WALIOKOPA!!
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Deni la TANESCO walisamehewa kwa kushindwa kulipa sijui haya mengine itakuwaje..Kwa mujibu wa gavana wa BoT marehemu Ndulu , Zanzibar haichangii katika muungano.
Kwa taarifa za TRA pesa hubaki Zanzibar, kama zinaletwa Dar twambie ni kiasi gani.
Zanzibar hawana mchango katika muungano nani analipia gharama za muungano zikiwemo Wizara na Taasisi? Jibu ni rahisi, Tanganyika ndiyo inagharamia Muungano
Tanganyika imebaki JMT kwasababu Zanzibar ina kila kitu chake.
Zanzibar kuitumia JMT katika mafao tu, kuwajibika hawapo
Hiki ndicho kiini cha kuhoji, mikopo inalipwaje? Zanzibar wakichukua bilini 280 wanarudisha kwa utaratibu gani? Hakuna formula, deni ni la JMT ambalo ni Tanganyika, na inalipa
SMZ ilishindwa kulipa Tanesco Bilioni 60! Matokeo yake deni hilo likarudishwa kwa Wananchi wa Tanganyika na bila kujali ni CCM, Chadema,ACT au TLP wamelipa
Hakuna Wilaya , Tarafa, kata au kijiji cha Tanganyika kinacholipiwa umeme na JMT, iweje nchi ya Zanzibar ikiwa na kila kitu ilipiwe umeme !
kwasababu vichwa vyao vipo flat huko nyumba havina ubongoHivi kwa nini mnafeli sana mitihani? Tokea nazaliwa hadi Leo zenj shule zenu ndio huwa zonaburuza Mkia
mimi napanda Kilimanjaro 4 naelekea MchambawimaMimi tayari nipo njiani naelekea MWEMBEKIUNO
Tanganyika hatukujifunza juu ya kuvunjika kwa EAC ya awali na Kenya kuhodhi mali nyingi za EAC hiyo.Mama anasema mara kwa mara kwamba kuna nchi moja tu duniani inayoitwa Tanzania. Kama namuelewa vyema, anajaribu kunyamazisha watu juu ya utanganyika na uzanzibar. Lakini sasa kwanini kwenye mgawo wa fedha wanachotewa nzima nzima? Kwanini uhitaji haungaliwi kama ambayo uhitaji unaangaliwa pia kwa maeneo mengine hapa bara? Sisi Tanzania hatugawani rasilimali kwa kuangalia maeneo yetu ya kijiografia. Tunagawana rasilimali kulingana na uhitaji. Ndio maana mgawo wa fedha za Covid kwa mikoa yetu, haikuangalia ukubwa wa mkoa au idadi ya watu wala uchangiaji kodi. Umeangalia uhitaji.
Sasa hii staili ya ugawaji inatoka wapi na inatupeleka wapi?
Je, sio operation ya siri ya kutikisa Muungano?
Unataka watanganyika wafanyaje .?Haya ndo mambo ambayo Hangaya kayafanyia kazi! a.k.a kero za muungano yaani Tanzania bara inapata billion 540 na zanzibar wanapata karibia billion 220 huu ni upuuzi wa hali ya juu! Watanganyika mnachekelea tu!