Kwa hiyo mitambo ilikuwa inasubiri bwn marope ili ichoke!!??Walakini uko wapi, wakati unapewa jibu la kisomi...mlikuwa mnaongopewa huku mfuko mzima wa umeme unaharibika... Huwa nafikiria Hayati alikuwa na dhumuni gani na hii Nchi.
Una mambo ya kitoto sanaWalakini uko wapi, wakati unapewa jibu la kisomi...mlikuwa mnaongopewa huku mfuko mzima wa umeme unaharibika... Huwa nafikiria Hayati alikuwa na dhumuni gani na hii Nchi.
Leo Mh. Makamba kupitia account yake alikuwa akijibu suala la umeme kukatika. Lakini majibu yake yamejaa walakini.
Makamba anasema umeme zamani ulikuwa haukatiki kwa sababu watu walikuwa na hofu ya kufukuzwa hivyo walihakikisha umeme haukatiki, hali iliyopelekea kutofanya rapair...
Yaaano wakati wa Kikwete miaka 10 ulikiwa unakatika kwa sababu walikiwa wanarepair, sasa bado unasema maoaka mitano umeme haukukatika kwa kuwa watu walikuwa wanaogopa kutumbulia.. sasa walichorepair miaka 10 yakikwete ilikuwa ninini?Walakini uko wapi, wakati unapewa jibu la kisomi...mlikuwa mnaongopewa huku mfuko mzima wa umeme unaharibika... Huwa nafikiria Hayati alikuwa na dhumuni gani na hii Nchi.
Basi jiwe alikuwa bora, kama mashine na mabwawa yote yalimuogopa jiwe umeme ukawa wakutosha. Sasa kama ni hivyo kwanini waliwaondoa madirectots wote wa makao makuu ya umeme?Duh engineer...
Machine zina maintenance schedule, usipofanya repair hata rais awe kiduku zitazingua tu..
Machine hazijafanyiwa maintenance ndani ya miaka mitano? Nazo ziliogopa zikapiga kazi?
Unaamanisha kipindi makamba anatoa hiyo kauli ya wiki mbili alikurupuka? Maana ilibidi awasikilize kwanza Tanesco ndio atoe kauli.Bada naona Approach ya Waziri Makamba ipo sawa sawia. Huwezi kufanya kazi kwa mashinikizo yasiyo na msingi. Alichokisema ilikuwa ndio anaingia Wizara hiyo sasa kapata data zote za mfumo wote wa ugawaji wa umeme ambao unahitaji marekebisho na kufanya hivyo lazima wakate umeme. Maintenance ndio chanzo kikubwa kwa mifumu mingi Africa kufa, watu wengi hatuna mazoea ya kutenga pesa kwa ajili ya maintenance. Anakuja waziri anasema usikate umeme akiogopa kutumbuliwa kumbe mfumo wote unaendelea kuchakaa na kuongeza upotevu wa umeme. Tusiwe wanazi tumwache afanyekazi yake. It too early to compare. Tuliona nguvu njingi zikitumika bila ya mafanikio ya kudumu na oungo mwingi na majigambo. Nchi hainendi kwa mihemko bali inaenda kwa kuwa na Strategic plan na kuzitekeleza.
Yes ni kukimbia uwajibikaji.Kwa hayo majibu simply anakimbia uwajibikaji kwa kasoro zinazotokea kwenye wizara yake.
Suala la umeme kukatika ni mwiba kwa awamu zote, hata wakati wa Magufuli umeme ulikuwa unakatika na tukaambiwa tatizo ni hilo hilo la uchakavu wa njia za kuzalisha na kusambaza umeme.
Awamu nyingine tuliambiwa kina cha maji kimepungua kwenye mabwawa ya uzalishaji umeme ndio maana baadae Magufuli akaamua kujenga Stiglers Gorge.
Vyema Makamba azijue changamoto kwenye wizara yake hazijaanza wakati huu na azitafutie majibu, asitoe lawama kwa awamu iliyopita kisa ilikuwa inatisha watu. hivi ni sawa na anamaanisha sasa kwasababu hawatishwi ndio wawe wazembe.
Yes nakubaliana na wewe kwa kauli alizozitoa mwanzo was really premature alistahili kujipa muda wa kutosha kulielewa shirika lilipifikia. ila kuchoka kwa mifumo sio la leo ni la siku nyingi na halijawahi kufanyiwa kazi kwa uhakika sasa tusubiri nini ili lifanyike? Huu ndio muda wake vumilia ili mfumu mzima usidondoke ua kuleta madhara zaidi kwa wananchi. It is the right time to do the repair. Sio kuyanyanganya mashirika yote fedha zake na kukusanya kwenye chungu hazika na kuanza kuzigawa kwa kijiko cha chai. Wakileta actual cost for repair katibu mkuu hazina anakata bila hata kuwasilina na shirika lenyewe. Huu mfumo pia ni chanzo cha matatizo haya. Tuwaache wairekebishe nchi kwanza, it too early to say all that.Unaamanisha kipindi makamba anatoa hiyo kauli ya wiki mbili alikurupuka? Maana ilibidi awasikilize kwanza Tanesco ndio atoe kauli.
Pili, hiyo mifumo ilikuwa inamsubiri makamba awe waziri ili.ianze kuchoka?
Tatu, unakubali kabisa kukatika umeme ni haki yatu kwa kuwa Kuna repair huwa zinafanyika?
Majibu hayana mashiko, Sawa tuseme kipindi Cha mwendazake watu walikua wanatishiwa na kuogopa kufanya repair na kisababisha uchakavu ndio sababu ya umeme kukatika,Walakini uko wapi, wakati unapewa jibu la kisomi...mlikuwa mnaongopewa huku mfuko mzima wa umeme unaharibika... Huwa nafikiria Hayati alikuwa na dhumuni gani na hii Nchi.