Entim
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 4,024
- 2,273
January anakujikweza sana. Nadhani nguvu ya baba yake kisiasa inambeba na anaitumia vilivyo. Uwaziri atapata
Uwaziri? Hakuna kitu, labda kwa mgongo wa marope senior
January anakujikweza sana. Nadhani nguvu ya baba yake kisiasa inambeba na anaitumia vilivyo. Uwaziri atapata
Ambition sio kwa kujipendekeza kule.
Kwani makamba alisema anataka uwaziri mkuu?
Hivi kwa sifa na kujikomba anaweza kumfikia Paulina Makondakta? Maana yule sio kufunga viatu tuu hata kumtawaza mkubwa au mtoto wake kwake sio issue
tpaul una mawazo kama yangu 100% maana mimi nina uhakika hata ikitokea mawaziri wote warudi isipokuwa mmoja, makamba ndiye atakayeachwa nje. Magufuli hawezi kumpa uwaziri mtu kama Makamba au Kigwangala. Nyie Magufuli msikie tu.
hahahahaaaaa... inavutia!Tunakunywa POMBE, tukigombana tunafanya SULUHU tunategemea MAJAALIWA ya Mola baada ya hapo tunaenda JOB
kwenye maisha kimbelembele hakifai kabisa, kujikweza sana karibu na wakubwa sio tiketi ya kupata wadhifa wa juu.
Nampa pole january makamba, asubirie uwaziri tu lakini sio uwaziri mkuu.
Wahenga wasema, kukaa karibu na mahakama sio kujua sheria.
Huyu dogo hafai kuwa hata mkuu wa wilaya sembuse uwazili achilia mbali w/mkuu na huo ubunge sijui ameupata kwa misingi gani.
hivi kweli mnadhani mh. January yusufu makamba hakujua nafadi hii 2015 si yake.? Kwa weredi na uanasiasa wake wazi anaonekana ni mwenye kujitambua kuliko sisi tunaoshangilia tusivovijua, jaji mkuu anatoka tanga, hii ilitosha kukuonyesha wazi january alitqmbua yeye siye ktk nafasi hiyo ya juu ya nchi inayozalishwa na mfumo na si kura za wananchi, tambueni dhamiri yake ya urais ingaliweza kuvuka nguvu ya mfumo kama mwalimu alivyowahi kuhudumu na chief justice nyalali.
January yusufu makamba amejipambanua kwa uaminifu,weredi na utayari wa kuhudumu ndani ya nchi na nje ya nchi kwa nafasi yoyote, amefanikiwa kukivuka kivuli cha mzee yusufu makamba, anasimama kwa miguu yake, anajisimamia jambo ambalo sisi wenzake wengi kwa rika alilomo bado tunasumbuka nalo.
Nilidhani vijana wenzangu ambao 5yrs to come tutakuwa wa makamo kidogo tujivunie huyu msambaa kwani kwa maoni yangu ametuwakilisha vyema sana tena akituondolea mauzauza ya ngeleja,maige ,masha vijana kama siye walishindwa kuhudumu accordingly.
Alipo jqnuary panahitaji mbolea yetu kumlinda,kumkuza,kumuombea ili apevuke akiwa imara na muadilifu tena na tena...
Congrats january yusufu makamba, karibu malinyi ...tuijenge tanzania
Binadamu ndivyo tulivyo, mtu akifanya kazi yake eti kajipendekeza, January ana malengo yake na wala siyo uwaziri mkuu,,, acha kuanzisha mada za kiumbea na zisizo na msingi kwa nchi yetu
Huyu rais wa wanyoa vipara alikuwa anategemea makubwa sana
hivi kweli mnadhani mh. January yusufu makamba hakujua nafadi hii 2015 si yake.? Kwa weredi na uanasiasa wake wazi anaonekana ni mwenye kujitambua kuliko sisi tunaoshangilia tusivovijua, jaji mkuu anatoka tanga, hii ilitosha kukuonyesha wazi january alitqmbua yeye siye ktk nafasi hiyo ya juu ya nchi inayozalishwa na mfumo na si kura za wananchi, tambueni dhamiri yake ya urais ingaliweza kuvuka nguvu ya mfumo kama mwalimu alivyowahi kuhudumu na chief justice nyalali.
January yusufu makamba amejipambanua kwa uaminifu,weredi na utayari wa kuhudumu ndani ya nchi na nje ya nchi kwa nafasi yoyote, amefanikiwa kukivuka kivuli cha mzee yusufu makamba, anasimama kwa miguu yake, anajisimamia jambo ambalo sisi wenzake wengi kwa rika alilomo bado tunasumbuka nalo.
Nilidhani vijana wenzangu ambao 5yrs to come tutakuwa wa makamo kidogo tujivunie huyu msambaa kwani kwa maoni yangu ametuwakilisha vyema sana tena akituondolea mauzauza ya ngeleja,maige ,masha vijana kama siye walishindwa kuhudumu accordingly.
Alipo jqnuary panahitaji mbolea yetu kumlinda,kumkuza,kumuombea ili apevuke akiwa imara na muadilifu tena na tena...
Congrats january yusufu makamba, karibu malinyi ...tuijenge tanzania
kishaandaliwa uwaziri wa mambo ya nje na miaka kumi ijayo ndo atakuja kuwa mgombea wa uraisi!!! kila kitu kwenye siasa kimeshapangwa kabla....