Acha ushamba wewe Dictator Musolin. Kwani yeye aliwaambia kuwa anataka huo uwaziri mkuu? ?Kwenye Maisha kimbelembele hakifai kabisa, kujikweza sana karibu na wakubwa sio tiketi ya kupata wadhifa wa juu.
Nampa pole January Makamba, asubirie Uwaziri tu lakini sio Uwaziri Mkuu.
Wahenga wasema, kukaa karibu na Mahakama sio kujua sheria.
Kazi ipi moja unayoikumbuka na manufaa kwa Taifa??!!!Binadamu ndivyo tulivyo, mtu akifanya kazi yake eti kajipendekeza, January ana malengo yake na wala siyo uwaziri mkuu,,, acha kuanzisha mada za kiumbea na zisizo na msingi kwa nchi yetu
Poleni sana ndugu jamaa na marafiki wa hao wanaotajwatajwa nasikia muko wengi kweli hapo Dodoma mukisubiri jamaa zenu wapewe vyeo.Acha ushamba wewe Dictator Musolin. Kwani yeye aliwaambia kuwa anataka huo uwaziri mkuu? ?
Nyie ndio mlikuwa mnamtajataja na kina mwakyembe, Sospeter Muongo nk. Je ulisikia wao wakijitaja??
Kwenye Maisha kimbelembele hakifai kabisa, kujikweza sana karibu na wakubwa sio tiketi ya kupata wadhifa wa juu.
Nampa pole January Makamba, asubirie Uwaziri tu lakini sio Uwaziri Mkuu.
Wahenga wasema, kukaa karibu na Mahakama sio kujua sheria.
every politian lazima awe na ambition simlaumu kwa hilo
Hakuna aijuae kesho hata membe aliandaliwa kiko wapi leo. Jipe moyokishaandaliwa uwaziri wa mambo ya nje na miaka kumi ijayo ndo atakuja kuwa mgombea wa uraisi!!! kila kitu kwenye siasa kimeshapangwa kabla....
Kwenye Maisha kimbelembele hakifai kabisa, kujikweza sana karibu na wakubwa sio tiketi ya kupata wadhifa wa juu.
Nampa pole January Makamba, asubirie Uwaziri tu lakini sio Uwaziri Mkuu.
Wahenga wasema, kukaa karibu na Mahakama sio kujua sheria.
kishaandaliwa uwaziri wa mambo ya nje na miaka kumi ijayo ndo atakuja kuwa mgombea wa uraisi!!! kila kitu kwenye siasa kimeshapangwa kabla....