Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,590
- 8,718
acha majungu ww....makamba ni president in the making....mliwekewa front kwenye kampeni kama strategy ya kuvutia vijana na pia mumzoee kwenye mambo makubwa ya kichama....ataingia kwa cc ya ccm, atapewa muda wa kukomaa na kuiva and finally mtaletewa kama mgombea urais...
january hawezi kuwa rais unless anajirekebisha ....sidhani kama magufuli anaenda kumpa umuhumi kwenye utawala wale ...although uwaziri anaweza kupata ..
Apunguze sifa na kujionesha