January Makamba naamini amepata cha kujifunza

January Makamba naamini amepata cha kujifunza

Jamani hawa wengine mtakuwa mnawasingizia, aliyenifurahisha katika kukatwa kwake ni Sitta bwana! Huyu Mzee hatatusahau!
 
Binadamu ndivyo tulivyo, mtu akifanya kazi yake eti kajipendekeza, January ana malengo yake na wala siyo uwaziri mkuu,,, acha kuanzisha mada za kiumbea na zisizo na msingi kwa nchi yetu

Wewe ndio january nn mbona unapambana sana kujibu
 
tukiachilia mbali chuki na wivu unaowasumbua yule bwana mdogo j. makamba ni miongoni mwa viongoni vijana wenye uelewa mpana wa mambo na pengine miongoni mwa viongozi wazuri kabisa katika taifa hili.

Ana uelewa wa kuhusu nini?kipi cha maana amelifanyia taifa hili?tuanzie pale wizara ya mawasiliano alipokuwa naibu waziri.At least Nchemba anacho kusifiwa,alikomaa na suala la mishahara hewa.Je Makamba?He is all talk but no actions!
 
Kwenye Maisha kimbelembele hakifai kabisa, kujikweza sana karibu na wakubwa sio tiketi ya kupata wadhifa wa juu.

Nampa pole January Makamba, asubirie Uwaziri tu lakini sio Uwaziri Mkuu.

Wahenga wasema, kukaa karibu na Mahakama sio kujua sheria.

Ninachokiona kwa January Makamba hakina tofauti na wale vijeba wasiokuwa na haya, kujiatach na boss ili kupeleka umbeya. Naamini JPM anawafahamu sana aina hii ya watu. Uzuri wa mwalimu hupata muda.wa kujifunza wanafunzi au kundi.analokuwa nalo na kuweza kuona mbinu za kuli manage.

Ninachokihisi ni kupatikana kwa baraza la mawaziri lisilotarajiwa kabisa. Shida yetu kuna watu wanaitwa #maarufu , so.wanaishi.kwa matumaini ya uzoefu na mbaya ni wapotoshaji.wakubwa. wamezoea kukwiba na mbaya zaidi wanamajivuno utadhani.wao.wamesomea uwaziri. SWALI, MBONA JPM AMEKUWA TOFAUTI SANA UKILINGANISHA NA WAO ALOWAKUTA MAWAZIRI WA MIAKA MINGI? HAWAFAI NA JPM AWAPIGE CHINI KABISA...AWEKE WATU WAPYA. INAWEZEKANA, REJESHA IMANI KWA WANANCHI YA SERIKALI NA CHAMA PIA.
 
hivi kweli mnadhani mh. January yusufu makamba hakujua nafadi hii 2015 si yake.? Kwa weredi na uanasiasa wake wazi anaonekana ni mwenye kujitambua kuliko sisi tunaoshangilia tusivovijua, jaji mkuu anatoka tanga, hii ilitosha kukuonyesha wazi january alitqmbua yeye siye ktk nafasi hiyo ya juu ya nchi inayozalishwa na mfumo na si kura za wananchi, tambueni dhamiri yake ya urais ingaliweza kuvuka nguvu ya mfumo kama mwalimu alivyowahi kuhudumu na chief justice nyalali.

January yusufu makamba amejipambanua kwa uaminifu,weredi na utayari wa kuhudumu ndani ya nchi na nje ya nchi kwa nafasi yoyote, amefanikiwa kukivuka kivuli cha mzee yusufu makamba, anasimama kwa miguu yake, anajisimamia jambo ambalo sisi wenzake wengi kwa rika alilomo bado tunasumbuka nalo.

Nilidhani vijana wenzangu ambao 5yrs to come tutakuwa wa makamo kidogo tujivunie huyu msambaa kwani kwa maoni yangu ametuwakilisha vyema sana tena akituondolea mauzauza ya ngeleja,maige ,masha vijana kama siye walishindwa kuhudumu accordingly.

Alipo jqnuary panahitaji mbolea yetu kumlinda,kumkuza,kumuombea ili apevuke akiwa imara na muadilifu tena na tena...

Congrats january yusufu makamba, karibu malinyi ...tuijenge tanzania

Sitaki blah blah blah nyingi kuhusu Makamba wako,tupe mfano mmojawapo,wapi alifanya kazi kwa mafanikio makubwa na alifanya nini?tuanzie pale wizara ya mawasiliano au popote alipoanza kufanya kazi kabla ya pale.
 
Ajipange na siyo yeye tu ni pamoja na hao wengine wanaojiona hawawezi kuachwa wakidhani wamesomea uwaziri?

JPM atakuwa ni rais wa pekee na ninachoendelea kumwomba ajitenge nao hao.maana si washuri waziri na mara zote ni.wakwibaji, wanafiki na wasio washauri wazuri. Hawafai kabisa... tupa kule
 
Binadamu ndivyo tulivyo, mtu akifanya kazi yake eti kajipendekeza, January ana malengo yake na wala siyo uwaziri mkuu,,, acha kuanzisha mada za kiumbea na zisizo na msingi kwa nchi yetu
Na kweli,"mtu akijipendekeza,et kafanya kazi yake"binadamu hawana jema
 
Kwenye Maisha kimbelembele hakifai kabisa, kujikweza sana karibu na wakubwa sio tiketi ya kupata wadhifa wa juu.

Nampa pole January Makamba, asubirie Uwaziri tu lakini sio Uwaziri Mkuu.

Wahenga wasema, kukaa karibu na Mahakama sio kujua sheria.

Ninawasiwasi hata uwaziri wa kawaida Ataukosa, hebu tusubiri
 
Makamba n jembe. Alikua mawasiliano. Ni wizara ambayo haina fursa ya MTU kujitokeza na kazi yake kuonekana mara kwa Mara kwenye TV. Tuwe waungwana.

Januari alishikilia nafasi ya uenezi kipindi cha uchaguzi. Aliimudu. Jambo hili liliwafanya wasioipenda ccm kuchukia.

Nina imani na uwezo Wa makamba. Jpm ampe mambo ya Nje apate uzoefu Wa kidiplomasia kwa sababu atakua rais 2025 baada ya miaka kumi ya jpm.

Tuombe uzima
 
Kwenye Maisha kimbelembele hakifai kabisa, kujikweza sana karibu na wakubwa sio tiketi ya kupata wadhifa wa juu.

Nampa pole January Makamba, asubirie Uwaziri tu lakini sio Uwaziri Mkuu.

Wahenga wasema, kukaa karibu na Mahakama sio kujua sheria.
huu umbea sasa aliyekwambia makamba alikuwa anautafuta waziri mkuu nani ?
 
Back
Top Bottom