January Makamba naamini amepata cha kujifunza

January Makamba naamini amepata cha kujifunza

Umbea kazi sana. Yani mtu unachukua tetesi za mitandaoni na magazetini ndo unaleta hapa kwa kujiamini kama una uhakika kuwa alikuwa anautaka uwaziri mkuu?
 
Kwanza katika viherehere kwenye uchaguzi huu ukiweka list ya top 10 Makamba haingii wapo kina Mbatia, Mbowe, Sumaye, Kingunge, Tundu Lissu, ........Ukawa, ukawa,ukawa,.......kina makamba wanafuata badae sana
 
Binadamu ndivyo tulivyo, mtu akifanya kazi yake eti kajipendekeza, January ana malengo yake na wala siyo uwaziri mkuu,,, acha kuanzisha mada za kiumbea na zisizo na msingi kwa nchi yetu



Wewe Ni mtu wake wa karibu?
 
Nafikiri unamaanisha kinyume chake.!
MAKAMBA J,
NAPE
KIGWANGALA
MWINYI
MWIGULU
MWAKYEMBE
hawa ni baadhi ya mawaziri katika baraza jipya litakalotangazwa siku chache zijazo.
 
Makamba alidhani uwaziri mkuu ni kama maji kisa baba alikua maarufu...akafie mbali....na hata uwaziri au sikie tu
......
 
No....atapata wadhifa tena ule ule aliokuwa nao hapo awali,awamu ya nne. Aliitendea haki kazi yake ya IT katika kinyang"anyiro cha kampeni.
Kwa kweli wala hajatupwa. Yuko ndani ya baraza la mawaziri haswa,na uPM nadhani hata yeye hakuwa na mategemeo nao.
 
JOB huendi unashinda kwenye POMBE unategemeaMAJALIWA gani?mpaka kwa mkeo SULUHU imeshindikana dogo umekua TULIA.
 
Niliskia sehemu kuwa huyu dogo wa mwezi mgumu ndio aliyemuwahisha yule mwenzake mtata bungeni kwa muumba wa vyote sababu eti ndio alikuwa awe mkuu wa jamvi la mawaziri, so akijua kuwa lazima angekabidhiwa hilo jukumu na anavypenda masifa ya kijinga yeye na mwi-gu-lu.
But ajiandae 2025 akipigana vikumbo vzr na riz-moko wakati huo mwenyekiti sijui nae atakuja na majina yake, u never knw hata 2020 maana magufuli naona kama ashakuwa mpweke vile yaani naona kitu kama kitatokea 2020 anaweza kuwekewa mpinzani na akaondoshwa maana hana watu chamani, hakijui chama,hana fweza....(angalieni 2020 miembe na february wnaweza simama dhidi ya magu) hayo tu kwa leo

Hahaaaaaaaa!!!!
 
Najuwa hapa JF wapo watu wazoefu na pia watafiti wa maswala.Nimeenda huko tweeter nikakuta stor za waziri mkuu wa tweeter kakatwa
Nimejaribu kuumiza kichwa nikakosa jibu,Waziri mkuu wa tweeter?
Nikaona nije hapa wataalamu wa maswala ya kisiasa mnaweza kumjuwa na kumweka hadharani na tukajuwa huyu waziri ilikuwa je kubatizwa jina hilo la mtandao huo maarufu.
Ni nani huyo?
Ni fundi wa kutweet sana?
 
Najuwa hapa JF wapo watu wazoefu na pia watafiti wa maswala.Nimeenda huko tweeter nikakuta stor za waziri mkuu wa tweeter kakatwa
Nimejaribu kuumiza kichwa nikakosa jibu,Waziri mkuu wa tweeter?
Nikaona nije hapa wataalamu wa maswala ya kisiasa mnaweza kumjuwa na kumweka hadharani na tukajuwa huyu waziri ilikuwa je kubatizwa jina hilo la mtandao huo maarufu.
Ni nani huyo?
Ni fundi wa kutweet sana?

huyu ni JYM aka kipara ngoto
 
Back
Top Bottom