January Makamba naamini amepata cha kujifunza

January Makamba naamini amepata cha kujifunza

hivi kweli mnadhani mh. January yusufu makamba hakujua nafadi hii 2015 si yake.? Kwa weredi na uanasiasa wake wazi anaonekana ni mwenye kujitambua kuliko sisi tunaoshangilia tusivovijua, jaji mkuu anatoka tanga, hii ilitosha kukuonyesha wazi january alitqmbua yeye siye ktk nafasi hiyo ya juu ya nchi inayozalishwa na mfumo na si kura za wananchi, tambueni dhamiri yake ya urais ingaliweza kuvuka nguvu ya mfumo kama mwalimu alivyowahi kuhudumu na chief justice nyalali.

January yusufu makamba amejipambanua kwa uaminifu,weredi na utayari wa kuhudumu ndani ya nchi na nje ya nchi kwa nafasi yoyote, amefanikiwa kukivuka kivuli cha mzee yusufu makamba, anasimama kwa miguu yake, anajisimamia jambo ambalo sisi wenzake wengi kwa rika alilomo bado tunasumbuka nalo.

Nilidhani vijana wenzangu ambao 5yrs to come tutakuwa wa makamo kidogo tujivunie huyu msambaa kwani kwa maoni yangu ametuwakilisha vyema sana tena akituondolea mauzauza ya ngeleja,maige ,masha vijana kama siye walishindwa kuhudumu accordingly.

Alipo jqnuary panahitaji mbolea yetu kumlinda,kumkuza,kumuombea ili apevuke akiwa imara na muadilifu tena na tena...

Congrats january yusufu makamba, karibu malinyi ...tuijenge tanzania

Jamaa unaandika pumba sana, yani katika watu wote JM hajitambui, hajielewi
 
Chezea brother magu wewe ataki shobo na mtu hata kwenye kampeni ajasema chagua ccm kasema chagua magufuli wambie wakae Mbali naye kabisa
 
Mmeanza kuisoma namba, mr kipara anapost picha za hovyo huko Insta kuonesha hasira za mkizi.

Mpk ameweka private account yk ya insta..nahisi kaona jf issue yke .kaona bora watu wasimchungulie hovyo
 
january hawezi kuwa rais unless anajirekebisha ....sidhani kama magufuli anaenda kumpa umuhumi kwenye utawala wale ...although uwaziri anaweza kupata ..
Apunguze sifa na kujionesha



Na anajisikia raha sana akiona watu wanamjadili kama hivi...
 
kijana mwenye kipara,prince mchukia wakaskazini na vuvuzela wakipewa hata unaibu waziri itakuwa ni siku ya huzuni sana nchi hii
 
Binadamu ndivyo tulivyo, mtu akifanya kazi yake eti kajipendekeza, January ana malengo yake na wala siyo uwaziri mkuu,,, acha kuanzisha mada za kiumbea na zisizo na msingi kwa nchi yetu
Msalimie Kipara ngoto popote alipo atatumbuliwa tu hamna namna
 
Unaamini katika hayo tu au umeangalia na upande wa pili kwamba kuna uwezekano ulikua mchezo wa kuigizwa ili Mtanzania wa kawaida uweze kufikia kwenye conclusion uliyofikia?
Watanzania Wengi ni Machenjeu, Wanakurupuka Tu Bila Kufikiria.
 
Back
Top Bottom