January Makamba: Gridi Nzima ya Taifa kufumuliwa kwa Trilioni 1

January Makamba: Gridi Nzima ya Taifa kufumuliwa kwa Trilioni 1

January Makamba
Nape Nnauye
Hussein Bashe

Hapa Samia aliingia choo cha kike kabisa! Na vile kila siku wanamsifia kwamba anaupiga mwingi! Basi kwisha kabisa habari yake!
Atawafanya nini watoto wa Ufalme wa Msoga!
 
Habari ndugu!

Waziri wa Nishati na Madini January Makamba amesema Serikali unatarajia kuanza mradi mkubwa wa kusuka na kufumua Gridi ya Taifa.

Mradi huo utakaojulikana kama Gridi Imara unatarajia kutumia shilingi Tilioni Moja na unatarajia kusainiwa February 15,2023 Ukiwa na lengo la kukomesha kukatika katika Kwa Umeme Nchini.

My Take,ngoja tuone kama kero ya kukatika katika Kwa umeme itaisha.[emoji116]

Kumbe tebda ilishatangazwa na mkandarasi kupatikana! [emoji38]

Vv
 
Mchongo mwingine katika ubora wake, hamjakidhi mahitaji ya uzalishaji ghafla mnataka dandia maintenance ya grid na huku mtaani mpo na network kubwa sana tena mbovu na hatarishi. Kwenye msongo wa Kati mtapiga zaidi ya T, Aliyemshauri Samia kumuweka hapo huyu jamaa alaaniwe.
Mkuu Mimi nina wasiwasi sana ule Mwenge wanaouzungusha nchi nzima,ule ndiyo unawapumbaza Watanzania wasipiganie nchi yao.
Inawezekana vipi watu wazima kukimbiza moto nchi nzima kwa kisingizio cha kuzindua miradi.Ule Mwenge inabidi uibwe Ili tupumue kidogo!
 
Inawezekana. Hizi transfomer za miji mikubwa kama Dar inatakiwa wafunge zote za 500KVA. Hutu tudogo tudogo wafunge huko kwenye REA vijijini.
Kiufundi lazima ufanye selection ya Transformer kulingana na mahitaji hii ndiyo kanuni, hata hapa Mjini si kila sehemu itahitaji Transformer ya 500kVA. Kadhalika huko huko vijijini Kuna sehemu kunahitaji Transformer ya 500kVA kulingana na mahitaji.

Pili, hujaonyesha vipi utapata power factor ya 1. Hali ya kuwa kwanza Umeme tunao tumia ni wa AC. Real Power ambayo ndiyo ina work na kuna Apparent Power ambayo ina supply to the Circuits. Huwezi kuikwepa Reactive Power Mzee. Hence ni ngumu kuwa na Power Factor ya 1.
 
Habari ndugu!

Waziri wa Nishati na Madini January Makamba amesema Serikali unatarajia kuanza mradi mkubwa wa kusuka na kufumua Gridi ya Taifa.

Mradi huo utakaojulikana kama Gridi Imara unatarajia kutumia shilingi Tilioni Moja na unatarajia kusainiwa February 15,2023 Ukiwa na lengo la kukomesha kukatika katika Kwa Umeme Nchini.

My Take,ngoja tuone kama kero ya kukatika katika Kwa umeme itaisha.👇

Kila mtu ale
 
Sehemu nyingi kwenye grid ya taifa hivi sasa kunajengwa. Waziri ana maana wanaendelea kujenga Ili wafumue? 🤣🤣
 
Habari ndugu!

Waziri wa Nishati na Madini January Makamba amesema Serikali unatarajia kuanza mradi mkubwa wa kusuka na kufumua Gridi ya Taifa.

Mradi huo utakaojulikana kama Gridi Imara unatarajia kutumia shilingi Tilioni Moja na unatarajia kusainiwa February 15,2023 Ukiwa na lengo la kukomesha kukatika katika Kwa Umeme Nchini.

My Take,ngoja tuone kama kero ya kukatika katika Kwa umeme itaisha.👇

Jinsi nchi hii inavyofanywa ni kama huyo beki alichofanywa na mmbape!!
 
Attachments

  • twitter_20221127_055339.mp4
    309.4 KB
Hizo pesa wangepeleka kujenga barabara za lami vijijini, wakati huu wa mvua watu wanateseka sana.
 
Mpaka hapa tulipofikia hata haileweki tena tatizo ni nini
Haijulikani tatizo ni kiwango, miondombinu au menejimenti au yote.
Tatizo la umeme tz siyo kiwango Cha umeme kinachozalishwa Bali miundombinu ya kuufikisha umeme kwa mlaji
 
Kama jambo hili lipo kwenye Ilani ya CCM sioni Tatizo au?

...tatizo, sijui ni kipi haswa kinacho ongeza umeme kwenye gridi, 1 trillion included, na kinacho sababisha kukatika umeme zaidi ya kushindwa kulipia luku... au ni Ilani ya CCM

Mengine yote ni mazingaombwe...
hata kushawishiwa kutumia Shs trilion moja ni kama Uchawi vile.
 
Back
Top Bottom