bablai2020
Senior Member
- Sep 5, 2020
- 149
- 374
Mimi naamini hakuna kinachofanyika nchi hii Bila baraka ya namba 1. Ukiona wanakwapua ujue ni makabalianoJanuary Makamba
Nape Nnauye
Hussein Bashe
Hapa Samia aliingia choo cha kike kabisa! Na vile kila siku wanamsifia kwamba anaupiga mwingi! Basi kwisha kabisa habari yake!