January Makamba: Gridi Nzima ya Taifa kufumuliwa kwa Trilioni 1

January Makamba: Gridi Nzima ya Taifa kufumuliwa kwa Trilioni 1

dogo ameshakataliwa mbinguni na duniani hatokaa kuja kuwa Rais wa nchi hii NEVER

mark my words
Wewe ni kiumbe tu kama mimi ,huyo Makamba na wengine ?!!!

Unathubutuje kusema "never" kwa ya kesho ?!!!!

Ama umeamua tu "panting up"?!!!
 
Habari ndugu!

Waziri wa Nishati na Madini January Makamba amesema Serikali unatarajia kuanza mradi mkubwa wa kusuka na kufumua Gridi ya Taifa.

Mradi huo utakaojulikana kama Gridi Imara unatarajia kutumia shilingi Tilioni Moja na unatarajia kusainiwa February 15,2023 Ukiwa na lengo la kukomesha kukatika katika Kwa Umeme Nchini.

My Take,ngoja tuone kama kero ya kukatika katika Kwa umeme itaisha.[emoji116]

[emoji2956]
 
Upigaji
Upigaji
Upigaji

Yani hawa madogo wanaitafuna hii nchi kama ya baba yao vile. Hata viongozi wanaowateua sijui vetting yao ikoje.. hawana maajabu ya kuwafanya wawepo kwenye cabinet

Wapigaji watupu
Mbadala wa hayo wayafanyayo unawapendekeza kipi ?!!!

Tambaa kisomi
 
Habari ndugu!

Waziri wa Nishati na Madini January Makamba amesema Serikali unatarajia kuanza mradi mkubwa wa kusuka na kufumua Gridi ya Taifa.

Mradi huo utakaojulikana kama Gridi Imara unatarajia kutumia shilingi Tilioni Moja na unatarajia kusainiwa February 15,2023 Ukiwa na lengo la kukomesha kukatika katika Kwa Umeme Nchini.

My Take,ngoja tuone kama kero ya kukatika katika Kwa umeme itaisha.[emoji116]

January Makamba anajipigia hela tu
 
Back
Top Bottom