January Makamba: Gridi Nzima ya Taifa kufumuliwa kwa Trilioni 1

January Makamba: Gridi Nzima ya Taifa kufumuliwa kwa Trilioni 1

Habari ndugu!

Waziri wa Nishati na Madini January Makamba amesema Serikali unatarajia kuanza mradi mkubwa wa kusuka na kufumua Gridi ya Taifa.

Mradi huo utakaojulikana kama Gridi Imara unatarajia kutumia shilingi Tilioni Moja na unatarajia kusainiwa February 15,2023 Ukiwa na lengo la kukomesha kukatika katika Kwa Umeme Nchini.

My Take,ngoja tuone kama kero ya kukatika katika Kwa umeme itaisha.👇


Mi naona toka mhe.January yupo hapo tanesco anakuja na miradi mingi ila sioni utekelezaji wake zaidi ya kutaja mapesa mengii na kuishia kutukanwa mitandaoni .

1. Mradi wa kudetect matatizo ya mfumo wa umeme kama ukikatika sijui uliishia wapi.

2. Mradi wa umeme mkubwa sana wa upepo na wale warabu wa dubai siju oman ulikuwa ufanyike sigida au dodoma sijui no ulnaendaje.

3.huu nao sijui utaendaje..

Mimi naona kuliko kupalamia kila project tunayoona nzuri ni bora nguvu akili na pesa tukawekeza kwenye mradi wetu wa sasa wa bwawa la nyerere then ukimalizika unaenda next project na n.k .
 
Tah, unaweza ukasema mtu analishwa maneno.

Tatizo lilikuwa UCHAKAVU wa mitambo, ikaja UKAME, wamehamia kwenye GRIDI sasa, na wewe unaongezea MIUNDOMBINU sio? Hii yote ni miaka 2 tu tangu muwepo ofisi kubwa!

Mkiendelea hivi, itatulazimu tumtengaze Magu kuwa MWENYE HERI, kila kitu kilimtii kama ndio hivyo.
Tangu magu umeme ulikua ukikatika,labda Kama unaleta ushabiki,na tangu 2007 huko nawaona tanesco wakihangaika na nguzo za mitaani
 
Habari ndugu!

Waziri wa Nishati na Madini January Makamba amesema Serikali unatarajia kuanza mradi mkubwa wa kusuka na kufumua Gridi ya Taifa.

Mradi huo utakaojulikana kama Gridi Imara unatarajia kutumia shilingi Tilioni Moja na unatarajia kusainiwa February 15,2023 Ukiwa na lengo la kukomesha kukatika katika Kwa Umeme Nchini.

My Take,ngoja tuone kama kero ya kukatika katika Kwa umeme itaisha.👇


Safi sana, pia Kuna baadhi ya maeneo nyeti kiuchumi yawe na laini maalum ya umeme
 
Mkuu Mimi nina wasiwasi sana ule Mwenge wanaouzungusha nchi nzima,ule ndiyo unawapumbaza Watanzania wasipiganie nchi yao.
Inawezekana vipi watu wazima kukimbiza moto nchi nzima kwa kisingizio cha kuzindua miradi.Ule Mwenge inabidi uibwe Ili tupumue kidogo!
Lakini si kuna wakati wanauzima kiongozi?
 
Habari ndugu!

Waziri wa Nishati na Madini January Makamba amesema Serikali unatarajia kuanza mradi mkubwa wa kusuka na kufumua Gridi ya Taifa.

Mradi huo utakaojulikana kama Gridi Imara unatarajia kutumia shilingi Tilioni Moja na unatarajia kusainiwa February 15,2023 Ukiwa na lengo la kukomesha kukatika katika Kwa Umeme Nchini.

My Take,ngoja tuone kama kero ya kukatika katika Kwa umeme itaisha.👇


Wezi tu hawa. ..utafumua hata kama hakuna ubovu?
 
Sasa maelezo ni pamoja na kubadili njia za kusafirisha zilizochoka,transfoma,nyaya nk
Hawana jipya hao tupo hapa watafanya hayo na kisha umeme wa uhakika utakuwa historia. Tatizo nchi imekosa dira na kila kiongozi akiingia na dira yake mfukoni na imekuwa mazoea kuanzia juu hadi chini, Buyu la asali lipo kwao.
 
Malizeni kwanza mwalimu Nyerere dam, msiunganishe miradi ni mzigo mzito tumieni akili, cha mno endeleeni kutupachikia nguzo mpya za cement katika vitongoji vyote, Mbona nayo ni shughuli NZITO TU.
 
Habari ndugu!

Waziri wa Nishati na Madini January Makamba amesema Serikali unatarajia kuanza mradi mkubwa wa kusuka na kufumua Gridi ya Taifa.

Mradi huo utakaojulikana kama Gridi Imara unatarajia kutumia shilingi Tilioni Moja na unatarajia kusainiwa February 15,2023 Ukiwa na lengo la kukomesha kukatika katika Kwa Umeme Nchini.

My Take,ngoja tuone kama kero ya kukatika katika Kwa umeme itaisha.👇


Huyu hajawahi kuwa na akili,hapo hakuna cha ufumuaji wa grid ya Taifa wala nini ni mkakati wa kutupeleka kwenye majenereta,huyo mtu hajawahi kuwa systematic hata siku moja,mtaji wake ni ujinga basi.
 
Upumzike kwa amani JPM japo kuna vingi sikuwa nakubaliana nawewe ila ndio katika upungufu wa kibinadamu, ila kwahakkika kwa huku kusini hususani mkoa wa mtwara kwenye utawala wako sikuwahi kuona umeme unakatika kiasi hiki kwasiku umeme wanakata zaidi ya mara 20 na kuhusu maji imekuwa shida sana mpaka wananchi tunajiuliza ulikuwa unatumia miujiza gani kuzikomesha hizi kero,tumepigwa sana kwenye dawa za kupulizia mikorosho yaani kila kilo unakatwa zaidi ya shiling 270 ,binafsi nilipewa mifuko 3 tu na mbaya zaidi sulphur yenyewe haina ubora kabisa
 
Ukiwa na lengo la kukomesha kukatika katika Kwa Umeme Nchini.
Makamba kua makini na kauli zako, yaan inabidi usainishwe mkataba kabisa km ukofanya janja janja ukapiga trillion 1 alafu baada ya mradi tunaona umeme unakatika basi utairudisha trillion 1 yetu hatupendi ujinga sisi,

Hizi danganya danganya sasa ifike wakati viongozi wasainishwe mikataba mikali kwamba wakienda kinyume na matamko yao pesa irudi wasilete siasa kwenye mambo ya muhimu km umeme, sio wanachezea pesa tu alafu mambo yanakua vile vile, trillion 1 unafumua alafu baada ya mradi kukamilika mnaanza tena kukata umeme?

February Malope nakwambia mapema kwa hii kauli unatafuta ugomvi wa milele na watanzania maana usichokijua ni kwamba watanzania hua hawasahau, mara mtaanza kudanganya watu kina cha maji kimepungua wakati unasema ni umeme usiokatika katika hatupendi ujinga ujinga sisi usituletee janja janja brother
 
Habari ndugu!

Waziri wa Nishati na Madini January Makamba amesema Serikali unatarajia kuanza mradi mkubwa wa kusuka na kufumua Gridi ya Taifa.

Mradi huo utakaojulikana kama Gridi Imara unatarajia kutumia shilingi Tilioni Moja na unatarajia kusainiwa February 15,2023 Ukiwa na lengo la kukomesha kukatika katika Kwa Umeme Nchini.

My Take,ngoja tuone kama kero ya kukatika katika Kwa umeme itaisha.👇


Wazee wa 10% wanachao tayari
 
Maropu hawazi kufa aisee! Si Kwa upigaji huu mfululizo!

Mara akapaza sauti akasema umeme wa Magufuli unakatika Miundombinu chakavu tunarekebisha ikaenda trilioni 3 mwaka jana , Sasa Leo eti tunafumua gridi ya taifa kwa tr 1. Kesho atasema tunanunua gridi mpya tri 7 hii kufumua imezingua.

Mara huko mbele atasema Tanesco Imezeeka tunanua Tanesco mpya tr 20! I mean majengo, nguzo na transfoma.

Mara mwezi mei hela ya gridi ikiisha kwa akaunti Maropu atasema wafanyakazi Tanesco wote ni chakavu, tunanua wafanyakazi wapya mtu kazi Toka Kenya tr 70!

Huyu jamaa wa bush mshamba sana awe anafanya mambo yake ya kuhujumu uchumi kimya kimya asitutangazie umma inatuumiza sana sisi chadema kindakindaki!!

Urais unamsumbua sana Maropu hizo pesa zinasakwa for that eti Bimkubwa akitoka tu aingie yeye! Hawa miamba vijana sisiemuu urais utawaua sijui nani aliwapa hakimiliki ya kutawala nchi!! Wanajiona wao tu ndio wenye akili nchi hii!!

Mwenzake wa Big Stars nae yumo anakusanya zake za tozo na mpira wa Yanga B yake , nae mnyampaa urais utamuua anauota usiku na mchana na watz tutakoma!! Bora tuhamie Burundi tu!!
 
Back
Top Bottom