January Makamba: Gridi Nzima ya Taifa kufumuliwa kwa Trilioni 1

January Makamba: Gridi Nzima ya Taifa kufumuliwa kwa Trilioni 1

Mchongo mwingine katika ubora wake, hamjakidhi mahitaji ya uzalishaji ghafla mnataka dandia maintenance ya grid na huku mtaani mpo na network kubwa sana tena mbovu na hatarishi. Kwenye msongo wa Kati mtapiga zaidi ya T, Aliyemshauri Samia kumuweka hapo huyu jamaa alaaniwe.
 
Habari ndugu!

Waziri wa Nishati na Madini January Makamba amesema Serikali unatarajia kuanza mradi mkubwa wa kusuka na kufumua Gridi ya Taifa.

Mradi huo utakaojulikana kama Gridi Imara unatarajia kutumia shilingi Tilioni Moja na unatarajia kusainiwa February 15,2023 Ukiwa na lengo la kukomesha kukatika katika Kwa Umeme Nchini.

My Take,ngoja tuone kama kero ya kukatika katika Kwa umeme itaisha.[emoji116]

Makamba yuko busy kutafuta miradi yenye 20% ili kukuza fuko la kuusaka urais 2030 kwa "Rushwa".
 
Pongezi kwa waziri Makamba.
tunamuomba achape kazi kamwe asisikilize mkelele ya watu wachache wenye wivu.
Rais anamwamini na pia Waziri Makamba ana utiii wa dhati kwa Rais.
ni miongoni mwa mawaziri watiifu na waminifu kwa Rais. wacheni achpe kazi
 
Wangejitahidi haswa kwenye ubora wa umeme. Umeme bora ni ule ambao una power factor ya 1.
Kwa sasa sidhani kama huu umeme unafika hata power factor ya 0.8!
Hili litawezekana hasa kwa kupunguza idadi ya nyumba zinazohudumiwa na transfomer moja au kwa kuweka transfomer kubwa zaidi kwenye mitaa.
 
Back
Top Bottom