Habari ndugu!
Waziri wa Nishati na Madini January Makamba amesema Serikali unatarajia kuanza mradi mkubwa wa kusuka na kufumua Gridi ya Taifa.
Mradi huo utakaojulikana kama Gridi Imara unatarajia kutumia shilingi Tilioni Moja na unatarajia kusainiwa February 15,2023 Ukiwa na lengo la kukomesha kukatika katika Kwa Umeme Nchini.
My Take,ngoja tuone kama kero ya kukatika katika Kwa umeme itaisha.👇
Porojo tuuI guarantee you. Makamba na Maharage watapitia mapito ya Mramba na Yona.
Uzuri porojo hazina madhara. Kuwa na amani, kwasasa.Porojo tuu
Habari ndugu!
Waziri wa Nishati na Madini January Makamba amesema Serikali unatarajia kuanza mradi mkubwa wa kusuka na kufumua Gridi ya Taifa.
Mradi huo utakaojulikana kama Gridi Imara unatarajia kutumia shilingi Tilioni Moja na unatarajia kusainiwa February 15,2023 Ukiwa na lengo la kukomesha kukatika katika Kwa Umeme Nchini.
My Take,ngoja tuone kama kero ya kukatika katika Kwa umeme itaisha.👇
Watu wamepiga 1.5T mnawaita Wazalendo wew unaleta habari za vijisenti vya EPA?EPA nyiingine hiyo!
Unajilisha upepo ambao haupoUzuri porojo hazina madhara. Kuwa na amani, kwasasa.
Walianza kua wao hawjaazuia mvua,
Mvua Sasa zinanyesha, Juz maharage alisema bwawa linahitaji misimu miwili kujaa Hizi zinazonyesha hazitoshi.
Mvua zinanyesha Hadi mafuriko,
Mwamba anakwambia hii GRIDI haifai[emoji1787]
Kijana anatutia hasara huyuJM kila akigusa ni trillions
🤣🤣🤣🤣Haya
Wanafunzi wakamuuliza Yesu ni nini dalili za mwisho wa Dunia?
Hamna anajaribu kuondoa kero ya umeme iliyosumbua hili taifa kwa miaka mingi 😁Kijana anatutia hasara huyu
Umeandika nini na umeonesha nini? Una hakika mvua ni nyingi za kiwango hicho?
Habari ndugu!
Waziri wa Nishati na Madini January Makamba amesema Serikali unatarajia kuanza mradi mkubwa wa kusuka na kufumua Gridi ya Taifa.
Mradi huo utakaojulikana kama Gridi Imara unatarajia kutumia shilingi Tilioni Moja na unatarajia kusainiwa February 15,2023 Ukiwa na lengo la kukomesha kukatika katika Kwa Umeme Nchini.
My Take,ngoja tuone kama kero ya kukatika katika Kwa umeme itaisha.👇
Mbona umepaniki brother! mi nimeandika kitu hapo? kwani TMA ye ndo analeta mvua bro?Umeandika nini na umeonesha nini? Una hakika mvua ni nyingi za kiwango hicho?
Zikinyesha nyingi ni jambo la heri maana Tanesco Wanategemea taarifa za makasiriko ya mvua kutoka TMA na si vinginevyo..
Chuki zenu za kijinga ni upuuzi usio na msingi ndio maana Huwa mnatukanwa na kina January na Mwigulu.
Mbona una wasiwasi sasa?Unajilisha upepo ambao haupo