January MakambaUpigaji
Upigaji
Upigaji
Yani hawa madogo wanaitafuna hii nchi kama ya baba yao vile. Hata viongozi wanaowateua sijui vetting yao ikoje.. hawana maajabu ya kuwafanya wawepo kwenye cabinet
Wapigaji watupu
Nchi ni ya baba zao, wacha waitafune. Magufuli alipojaribu kuwazibia wazee walisema hapana.Yani hawa madogo wanaitafuna hii nchi kama ya baba yao vile. Hata viongozi wanaowateua sijui vetting yao ikoje.. hawana maajabu ya kuwafanya wawepo kwenye cabinet
Wapigaji watupu
Mwache apige; muda uliobaki ni mfupi sana.JM kila akigusa ni trillions
Wizara aliyopo ina matumizi makubwa ya pesa inaweza kuwa sio hata upigajiMwache apige; muda uliobaki ni mfupi sana.
Such a costly endeavour huku tukiwa na high food insecurity
Tunarudi kwenye mgao mkuu,Daah nimeishiwa pozi. Kwahiyo marekebisho yote yaliyokua yanafanywa yameshindikana.?
Hayo matumizi makubwa mbona hatukuyasikia kabla hajateuliwa kuwa waziri wa nishati!Wizara aliyopo ina matumizi makubwa ya pesa inaweza kuwa sio hata upigaji
CCM ELECTRICAL COMPANYMjiandae kwa mgao mkali wa umeme.
Hiyo estimation imefanywa lini na imefanywa na kampuni gani?
Habari ndugu!
Waziri wa Nishati na Madini January Makamba amesema Serikali unatarajia kuanza mradi mkubwa wa kusuka na kufumua Gridi ya Taifa.
Mradi huo utakaojulikana kama Gridi Imara unatarajia kutumia shilingi Tilioni Moja na unatarajia kusainiwa February 15,2023 Ukiwa na lengo la kukomesha kukatika katika Kwa Umeme Nchini.
My Take,ngoja tuone kama kero ya kukatika katika Kwa umeme itaisha.👇
Nasemaaaje wanaanza upyaaaa 🍻Hayo matumizi makubwa mbona hatukuyasikia kabla hajateuliwa kuwa waziri wa nishati!