January Makamba akifukuzwa natembea uchi Dar nzima

Uwezo wa Magufuli kitumbua ni manesI na madaktari tena kwa dharau hana ubavu wakutumbuwa waliomuweka ikulu analipa deni
 
Matusi yapo wapi?,nani kakataa hao wasijadiliwe?.

Tatizo nikuwa na double stand zakuona ufisadi wa ccm hali yakuwa wa cdm wakitwambia twende mahakamani.

Cdm na ccm kote huko nikuzaji wa mafisadi na wafungaji wa mafisadi.
Walio madarakani ndiyo wanamulikwa zaidi hao waliotawala miaka zaidi ya 50? Na bahati mbaya uzi huu unamuhusu January Makamba, anzisha uzi kuhusu ufisadi wa CDM usije na hoja dhaifu za utetezi kwa kuingiza hoja ingine halafu ukawaona watanzania majinga majinga kwa kujadili makosa ya kipenzi chako Makamba
 
Yawezekana ikawa kutembea uchi ni jadi yako

Tehe tehe tehe nimecheka sana, kuna jinga lingine lilisema Lowassa asipokuwa Rais waliue...jinga hili sijui kama liliuwawa.

Mifano ipo mingi kwenye hili jukwaa kuna watu wanajitoa ufahamu kwa mihemko ya kisiasa. Mtu mzima unapoandika kwamba utatembea uchi au kunya barabarani kwa sababu ya kitu fulani huu ni ujinga nani utoto pia. Nimejifunza mada kama hizi n'takuwa nazipitia bila kuchangia. Kweli ukitaka kuchangia mada kama hizi basi lazima ujitoe ufahamu maana zinakuwa zina wajinga wengi!
 
Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.

Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.

Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.

Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.

Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.

Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...

Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
Wacha tukunukuu ili ikitokea tukukumbushe
 
We usijiapishe hivyo wapo waliosema wafe Lowassa akikosa urais na leo wanasemaje?
 
Aiiiiiii pombe hana nguvu juu ya makama hawezi dhubutu aiiiiiii adhubutu kumgusa makamba aone cha mtemakunu hapa pombe makamba amekugusa kunako ongea uone sasa. Ahaaaaaa hawezi jaribu kuchezea wanaompa ugari
 
Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.

Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.

Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.

Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.

Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.

Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...

Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
Ukiaanza kutembea uchi usiahau kupita naeneo yetu ya Tandale kwa Tumbo.
 
Mimi ----------kutoka hapa Mafinga mpaka Tunduma
Mie ntabaki hapa hapa. Sitazunguka Milima yetu. Yaani, sitatoka hapa Kikatiti, Kwa Sadala, Moshi Mjini, Holili, Tarakea, Sanya Juu, Olkokola,, Ngara Mtoni, Sakina, Kimandolu hadi Kikatiti. Hapana. Ntabaki hapa hapa Kikatiti.
 
Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.

Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.

Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.

Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.

Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.

Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...

Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
Mimi nitatembea Dar nzima nikikufuata kwa nyuma
 
JF haina great thinkers tena kama huu utumbo ambao ungetegemea kuukuta facebook unakutana humu. Heading na content ni too low. So what unye usinye ni wewe hakibadiliki kitu. Kila mtanzania anajua Magufuli alishinda ndiyo maana alipo sasa. Wito vijana acheni kunywa viroba ni hatari kwa afya zanu
 
Huyo hagusiki, vinginevyo akipiga kibuyu chini hao nyuki wataotoka hakuna cha ccm wala nini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom