Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 25,161
- 27,301
"Kama kuna mfanyabiashara aliyechangia hata senti moja kwenye kampeni zangu, anyooshe kidole"Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.
...
"Kama kuna mfanyabiashara aliyechangia hata senti moja kwenye kampeni zangu, anyooshe kidole"Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.
...
Huyo hagusiki, vinginevyo akipiga kibuyu chini hao nyuki wataotoka hakuna cha ccm wala nini.
Kwani mchakato uliopita alimtaka magu?Jamaa anampa mambo hadi JK ije kua Makamba? Acha utani bwana, Makamba mtu mdogo mno, kama vipi jaribu k imagine hivi, ccm wakae kikao cha kumpendekeza mgombea urais upya na kikao hicho awe ana chair Kikwete, atamtaka Magu tena kweli?
Kikatiti ndio wapi mkuu?Mie ntabaki hapa hapa. Sitazunguka Milima yetu. Yaani, sitatoka hapa Kikatiti, Kwa Sadala, Moshi Mjini, Holili, Tarakea, Sanya Juu, Olkokola,, Ngara Mtoni, Sakina, Kimandolu hadi Kikatiti. Hapana. Ntabaki hapa hapa Kikatiti.
rudi shule ukarisitiHUJASOMA SAYANSI WEE, NAWENZIO MNAOJIAPIZA KUKOJOA NA KUNYAA KWA UMBALI HUO, NI VICHEKESHO AU MNA MENTAL ILLNESS, HAYO MAVI NA MKOJO WA UMBALI HUO MTAYAPATA WAPIII, HEBU ACHENI HIZO, AU MRUDISHWE WODINI MILEMBEE!?
hilo nalo nenoAlikatwa Lowasa na nchi IPO salama mpaka Leo pamoja na kusema Lowasa hakatwi...sembuse Makamba.
Akifukuzwa Serikalini, ajiuzulu Ubunge na ahamie chama chetu CDM..huku atasamahewa dhambi zote kama anazo na kutangazwa Mtakatifu...Wanachama tutawaambia tatizo Mfumo, na kama anakosa afikishwe Mahakamani.
hahahaa, safi sanaCcm ni kweli hakuna msafi,vipi huko kwenu msafi si Mbowe,Sumaye,Lowasa au nmekosea.
Hata huko chadema hakuna msafi sio CCM tu.Hivi kuna msafi ndani ya ccm?na hata akina Lowasa walifundishwa na ccm namna ya kuiba
Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.
Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.
Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.
Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.
Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.
Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...
Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
Utembee uchi ugundue nini mkuu au engine ishaanza kufeli unatafuta sababu tu watu waishushe?Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.
Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.
Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.
Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.
Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.
Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...
Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
Vipi mkuu kuna jipya lililotokea mpaka sasa ivi?Kama kweli vile JPM hana ubavu wa kumtimua Makamba ngoja tuone.