Encryption
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 999
- 1,356
[emoji23][emoji23][emoji23]kwan alikukosea nini Mkuuyour move

watu wanakusubiri boda hapa uko wapi mzee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi nitakojoa kutoka hapa Mafinga mpaka Tunduma
Sawa simbachaweneAhahahaaaa funny stuff!
Mbona alishapita.Tangu alfajiri niko hapa maeneo ya mitaa ya zanaki/bibititi nasubiri kushuhudia huyu mtembea uchi,au anapitia njia ipi tujuzane wananzengo
Namimi muni tag nione tacowashafukua kaburi, akianzavua nguo nistueni
Mkuu katika kutembea kwako sasa hivi upo eneo gani nije kuona hiyo sinema ya X isiyo na gharama? Maandishi siku zote hayaozi na hasa maandishi ndani ya JF.Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.
Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.
Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.
Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.
Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.
Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...
Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
Sasa hivi umechuchumaa wapi unakunya? Umeishapita Kibamba ili nikusubiri hapa mbele nione unavyotoa mboji?Mimi nitakunya kuanzia dar mpaka kibaha
Tuambie safari yako ya uchi inaanzia wapi na utapita mitaa gani! mimi nitakuwa mwenge round about nakusubiri
Ameanzia Twangoma atapitia kibada kigamboni labda umsubiri feriTangu alfajiri niko hapa maeneo ya mitaa ya zanaki/bibititi nasubiri kushuhudia huyu mtembea uchi,au anapitia njia ipi tujuzane wananzengo
Mkuu Mungu Amejibu Maombi, Asante Mungu kwa matendo yako MakuuAmeen
Tunahitaji utimize ahadi yako ya kuanika makende Dar nzima babu, hatujasahau😂😂😂Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.
Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.
Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.
Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.
Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.
Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...
Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
Hayawi hayawi sasa yamekua, tembea uchi sasa tukuoneMakamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.
Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.
Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.
Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.
Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.
Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...
Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
Upo uchi mtaa gani sasa??Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.
Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.
Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.
Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.
Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.
Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...
Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩😂😂😂😂😂😂Mkuu katika kutembea kwako sasa hivi upo eneo gani nije kuona hiyo sinema ya X isiyo na gharama? Maandishi siku zote hayaozi na hasa maandishi ndani ya JF.
Tujipange wapi kukushuhudia ukitembea uchi?Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.