Starboywiz
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 867
- 1,457
Wale wa Dar tupeni updates basii
Vipi umefika mitaani sasa hivi ?Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.
Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.
Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.
Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.
Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.
Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...
Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
Mwanasiasa yeyote nje ya system anakuwa level sawa tu na Pierre LiquidTuache kujipa ukichaa sababu ya siasa zetu hizi zilizoharibika .....tulisema hivi hivi kwa EL ambaye ndiye aliyempeleka ikulu JK lakini akakatwa na mizengwe kibao huko CCM pamoja na vitisho vingi vya hapatatosha
...Makamba ni mtu mdogo sana kwenye corridor za CCM na system .....nyie mnatafutia wenyewe kumpa sifa nyepesi JPM akimtimua kama house boy ....
AmeenTunguli zote za Mh. Na waganga wake wote wa Tanga, Moto wa Mungu uwashukie na kuchoma tunguli zote kwa Jina la YESU
Mimi nitakojoa kutoka hapa Mafinga mpaka Tunduma
Ha haha, mie nadhani mteuzi alipitia hapa JF akasoma post ya Sunzu akapata hamu ya kuona nyeti zake!Okw Boban Sunzu naomba utembee uchi Dra Nzima please!
Mussolini 5, anza kunywa ulanzi, viroba na maji ya kutosha na andaa matarumbeta kwani muda wa kukushuhudia ukikojoa kutoka Mafinga hadi Tunduma umewadia.Mimi nitakojoa kutoka hapa Mafinga mpaka Tunduma
Mimi nitakojoa kutoka hapa Mafinga mpaka Tunduma
Hahahaha.Ha haha, mid nadhani mteuzi alipitia hapa JF akasoma post ya Sunzu akapata hamu ya kuona nyeti zake!
Jiandae sasaMi nitakuwa nazoa
Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.
Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.
Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.
Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.
Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.
Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...
Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
Na awe makini sana vinginevyo wapemba watamfumua marindaUmeshavua nguo!? Nashauri ubaki na boxer angalau