Mnondwe
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 4,012
- 3,683
Kikojozi umeshakaribia Tunduma?
Mimi nitakojoa kutoka hapa Mafinga mpaka Tunduma

Tuache kujipa ukichaa sababu ya siasa zetu hizi zilizoharibika .....tulisema hivi hivi kwa EL ambaye ndiye aliyempeleka ikulu JK lakini akakatwa na mizengwe kibao huko CCM pamoja na vitisho vingi vya hapatatosha
...Makamba ni mtu mdogo sana kwenye corridor za CCM na system .....nyie mnatafutia wenyewe kumpa sifa nyepesi JPM akimtimua kama house boy ....
Kenge wewe
😂 😂 😂 😂Kenge mwenyewe
Kaanze kunywa maji mkuu kunywa maji kwa wingi ili uwezeMimi nitakojoa kutoka hapa Mafinga mpaka Tunduma
Wazee wa kupima oil
Vua nguo utembee timiza ahadi yakoMakamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.
Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.
Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.
Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.
Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.
Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...
Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
Shehe kwema? Ila nimekuelewa ulikuwa unachochea kuniMakamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.
Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.
Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.
Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.
Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.
Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...
Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
unaanzia barabara ipi tuje tukupokeeMakamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.
Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.
Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.
Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.
Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.
Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...
Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
Ameshafukuzwa CCM?
Vip umeshaanza kutembea uchi?
vp mkuu...mkojo sasa hivi umefika wapi?Mimi nitakojoa kutoka hapa Mafinga mpaka Tunduma
Utatembea uchi?Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.
Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.
Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.
Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.
Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.
Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...
Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
vp mkuu...mkojo sasa hivi umefika wapi?
Acha unafiki.Shehe kwema? Ila nimekuelewa ulikuwa unachochea kuni
Eleza lini unaanza kutembea uchi nikuunge mkono?Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.