Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,535
- 139,840
- Thread starter
- #201
Kuna watu hawagusiki.mtatumbuliwa nyie watumishi wa umma
Mkuu leo umeandika vizuri sanaMakamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.
Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.
Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.
Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.
Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.
Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...
Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
HUWEZI KUFUKUZA MTU KWA MAJUNGU NA UMBEYA.Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.
Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.
Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.
Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.
Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.
Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...
Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.

Arumeru Mashariki, Arusha.Kikatiti ndio wapi mkuu?
Mtihani kafeli tayari kwani January kumlipa mzungu pesa anaandaa njia za mzungu kujitokeza akanushe kisha amsafishe huku Utitiri wa waganga wa kienyeji Ukiwa busy kumtuliza Magufuli na wananchi .Mtihan wa kwanza wa magufuli,sisi wapinzan tunaanzia hapa
Tumia "kichwa " kufikiri..HUWEZI KUFUKUZA MTU KWA MAJUNGU NA UMBEYA.
HAPA NI VITA,
REGINAND MENGI VS PROF MUHONGO
TEAM LOWASSA VS PAUL MAKONDA& JANUARY MAKAMBA&MWAKYEMBE.
KAZI YA NYUMBU NI MOJA TU KUSHANGILIAAAAAAAAAAAAAAAA
Nimeyakubali maneno yenu, mpaka leo JM bado anadunda.Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.
Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.
Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.
Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.
Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.
Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...
Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
Mimi nitakojoa kutoka hapa Mafinga mpaka Tunduma
Watumishi wengi tu wametumbuliwa bila ya watumbuaji kuwa na ushaidi , nilitegemea JPM kumtumbua February toka jana kwa minajili ile ile ambayo watumishi wengine walifukuzwa...
JPM mtumbue February tujue siri ya ushindi wako, in short huu ni mtego wa panya na umekaa bibaya.
Lowassa alikatwa kipindi ambacho Jk alijua kabisa hagombei tena kwa mujibu wa katiba.Makamba hawezi kutimuliwa kipindi hiki hata afanyeje labda anaweza kusalitiwa pale magu atakapo karibia kustaafu kama ilivyo kwa Lowassa na Jk.Tuache kujipa ukichaa sababu ya siasa zetu hizi zilizoharibika .....tulisema hivi hivi kwa EL ambaye ndiye aliyempeleka ikulu JK lakini akakatwa na mizengwe kibao huko CCM pamoja na vitisho vingi vya hapatatosha
...Makamba ni mtu mdogo sana kwenye corridor za CCM na system .....nyie mnatafutia wenyewe kumpa sifa nyepesi JPM akimtimua kama house boy ....
Kwani walikubaliana awe PM?Sio kweli..... Mbona alinyimwa UPM?
Mkuu pamoja na lawama nyingi kwenda kwa makamba bado NEC ya lubuva isingempa ushindi lowassa manake nec ni wakala wa ccm kipindi cha uchaguzi.Makamba ndio Sababu Lowasa hajawa Raisi huyu jamaa alituchezea mchezo mchafu kwa kufungua vituo vya kukamata matokeo