Yaaaaani tatizo letu ni ushabiki usiokuwa na tija sababu kupata taarifa sio kosa hata kidogo sasa mara ngapi unatumiwa sms za nyamachoma festival na mambo mengine kama hayo...nauliza kama umeona taarfa haikuhusu wala huna habari nayo achananayo ipuuze na huu ndouungwana sio kutuletea uzi usiokuwa na maana hapa.....
lakini pia you will have to fight him in court the old local way,je mna waganga wa kienyeji wa kutosha?!.inazungumzwa kwamba yule dogo ni noma sana kwenye secta hiyo.anao waganga mpaka wa kisauzi afrika.Andaa pesa njoo tumshtaki, nitasimamia kesi yako ila uwe na dau la kutosha kushindana nae kisheria, uawezaa????????????
lakini pia you will have to fight him in court the old local way,je mna waganga wa kienyeji wa kutosha?!.inazungumzwa kwamba yule dogo ni noma sana kwenye secta hiyo.anao waganga mpaka wa kisauzi afrika.
Kweli kuwa na degree au hata Masters wakati mwingine hakumsaidii mtu katika kufikiria na kufanya maamuzi ya nini cha kuandika na wakati mwingine hata upeo wa uelewa wa mambo unakuwa mdogo sana no matter unalevel gani ya elimu.Sasa mahusiano yako wewe na January yanatuhusu nini sisi?kwani amekutukana?nimejaribu kuzisoma sms zote mbili sioni kama zinaubaya wowote kwa mtazamo wangu,
Sikum PM namba yeye ametuma tu. So na wewe nategemea utume the same way
Lawyer unafight pote embu file vifungu haraka.
We jiandae kila kitu me nakuja na hati tu.