cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,749
- 189,134
Takadini. ππππMi nusu albino
Takadini. ππππMi nusu albino
JichanganyeTakadini. ππππ
Sope ππππJichanganye
Kwakweli shida sanaHehehehee
Mida ya saa kumi na mbili hivi kuelekea saa moja kamili si ndo ile ndege ikatua, jamaa kashuka zake baada ya kuwa break mwezi mzima.
Aisee sio kwa ufuska nilioona jana, ngoja niishie hapo ila kabla sijaishia hapo walau niseme kisa kimoja.
Nilikua club moja hapahapa mjini baada ya kutoka club X sababu palikua pamejazana machoko. Kule sasa sijatulia ikaingia team ya kanga moko, aisee hii kufuru ni hatari hata sijui niisimulie vipi.
πSope ππππ
ππππ
Halafu muache uchokozi.Nilikua club moja hapahapa mjini baada ya kutoka club X sababu palikua pamejazana machoko. Kule sasa sijatulia ikaingia team ya kanga moko, aisee hii kufuru ni hatari hata sijui niisimulie vipi.