jooohs
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 3,901
- 14,945
Haaa haa Kutokushika simu siwezi kabisa unaweza vunga ukakuta nchi hii imeshauzwa.Usiwe unashika simu ukishtuka maana hiyo tayari ishakuwa ratiba yako kwamba lazima utashtuka saa 8-9š
Haaa haa Kutokushika simu siwezi kabisa unaweza vunga ukakuta nchi hii imeshauzwa.Usiwe unashika simu ukishtuka maana hiyo tayari ishakuwa ratiba yako kwamba lazima utashtuka saa 8-9š
Bahati mbaya sina godorokuwa makini usije maliza godoro ukifikiri ni mkate ama chapati
Khaaš¤£š¤£ basi unajikosesha raha ya kupumzika mwenyewe!Haaa haa Kutokushika simu siwezi kabisa unaweza vunga ukakuta nchi hii imeshauzwa.
vidole nguo.springsBahati mbaya sina godoro
Unanifahamu?.... What do you mean mkuu?Huu mwandiko umejitahid kuandika maana naufahamu sana au kuna namna umefanya leo
Wacha wee, mm naona nimeandika ki genius zaidi.. Hakuna kuremba mwandikoš« š« Other things remain Constant...
Improve your handwritings ..
#kamamwlwamwandiko
Wewe ni mlinzi ama poti?0130 getini Macho macho...
šš rotation yangu ya kazi ni 2 weeks on two weeks off. Sasa hizi wiki ambazo huwa nipo off huwa nakuwa na muda mwingi wa kupumzika sometimes siku nzima unakuta nimelala tu. Matokeo yake ndio kama hivi unakuta mida kama hii macho kodo.Khaaš¤£š¤£ basi unajikosesha raha ya kupumzika mwenyewe!
Akikujuza nami usisite kunipa habari, maana hali si haliWsifika kwa uzuri mno ngoja namm leo niujue
Sinavidole nguo.springs
Duhh una raha wengine tunapumzika mchana usiku tunakaa macho kodo! Week inayofuta tu nabadili ratiba narudi kwenye kulala saa 2-3 na siamki mpaka kukuchee!šš rotation yangu ya kazi ni 2 weeks on two weeks off. Sasa hizi wiki ambazo huwa nipo off huwa nakuwa na muda mwingi wa kupumzika sometimes siku nzima unakuta nimelala tu. Matokeo yake ndio kama hivi unakuta mida kama hii macho kodo.
Hakuna hata raha maana siku ambazo nakuwa On hata humu napotea kabisa. Sasa hivi ndio nahisi usingizi ngoja nilaleDuhh una raha wengine tunapumzika mchana usiku tunakaa macho kodo! Week inayofuta tu nabadili ratiba narudi kwenye kulala saa 2-3 na siamki mpaka kukuchee!
Usiku mwema! Wacha nikapumzike pia!Hakuna hata raha maana siku ambazo nakuwa On hata humu napotea kabisa. Sasa hivi ndio nahisi usingizi ngoja nilale