JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Oh mimi nishajijulia, nikiwahi kulala tu nikashtuka sishiki simu maana nikishika tu kulala ni sa11😅
Ndio kama mimi yaani usingizi naupata saa 11 au 12. Swala la kuchelewa kulala nilisha shindwa hata weekend nikisema nitoke huwa napata shida ile mida ya mapema unakuta full usingizi kadri muda unavyozidi kusogea nakuwa active hatari
 
Usiwe unashika simu ukishtuka maana hiyo tayari ishakuwa ratiba yako kwamba lazima utashtuka saa 8-9😁
 
Back
Top Bottom