Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,428
- 29,417
Lakini kushindwa sio kosa. 💪 Jua limechomoza tena, na mimi nimerudi kwenye uwanja wa mapambano. Kushindwa si sehemu ya mipango yangu.
Yep sio kosa,mpaji ni Mungu tu,zetu ni juhudi tuLakini kushindwa sio kosa