Palac
JF-Expert Member
- Mar 29, 2025
- 3,634
- 9,729
Huo mzuka mbona hauwatumi kuisemea tanganyikaMzuka tu
Huo mzuka mbona hauwatumi kuisemea tanganyikaMzuka tu
Mbona wanaisemea🙄Huo mzuka mbona hauwatumi kuisemea tanganyika
Kuna huyu admin wa page ya singida big stars kapandishq taarifa katika ukurasa wao sijui itakua vp kukichaMbona wanaisemea🙄
Kasemaje?Kuna huyu admin wa page ya singida big stars kapandishq taarifa katika ukurasa wao sijui itakua vp kukicha
Kasema yule yuda mdai katiba kauwawaKasemaje?
Tena!!🙆🏽♀️Kasema yule yuda mdai katiba kauwawa
Walimu subirini tarehe 40😎Hivi walimu bado hawajalipwa tu.
Wapi huko?Watu wame mwaga mate 😄
Pole sana mkuu, Mungu awape faraja wewe pamoja na mkeo usihuzunike sana! 😢03:09 mke wangu wangu kajifungua ila mtot hajalia 😭😭😭😭
Asnte ndug . Nipo nasubili mrejesho wao 😢Pole sana mkuu, Mungu awape faraja wewe pamoja na mkeo usihuzunike sana! 😢
Wamechek APGR lakini hakuna mafanikio yoyote so far?
Pole na hongera sana, waombee mkeo pamoja na mtoto kwa imani yako watatoka salama🙂Asnte ndug . Nipo nasubili mrejesho wao 😢