ni kawaida tu23:30
Kumtumikia kaisari so poa 🤦🏽♀️
🥱🥱🥱
Je, una mzungumzia nani mkuu?😂 "Usiku wa Manane tunataka story, vicheko na upendo. Sio kila alfajiri tunaanza kuulizana, 'Fulani kapigwa ban tena?'"
Mnawahi nini huko ndotoni😁Leo tuishie usiku tu, huo wa manane tuachane nao, tulale mapema wakuu.
Aisee yani kulala ni kesho🙆🏽♀️ni kawaida tu
HiSeran
Nimechoka kuwa mkubwa😫🥹😫Pole...Ndo ukubwa!!!
ndio maisha ya kutafuta hayo, easy tuAisee yani kulala ni kesho🙆🏽♀️
Kabisa mkuu!ndio maisha ya kutafuta hayo, easy tu
Wsifika kwa uzuri mno ngoja namm leo niujue
Huu mwandiko umejitahid kuandika maana naufahamu sana au kuna namna umefanya leoJust want to remind y'all as we go to bed..
We don't see reality as it is, we see reality as we are. View attachment 3695714
Wapi huko mkuu😁Wsifika kwa uzuri mno ngoja namm leo niujue
pambana uwe bossladyKabisa mkuu!
Napambana ila mwili na roho vinachoka🙌🏾pambana uwe bosslady
🫠🫠 Other things remain Constant...Just want to remind y'all as we go to bed..
We don't see reality as it is, we see reality as we are. View attachment 3695714