“Katika maisha haya, unaweza kupoteza marafiki, kupoteza mali, kupoteza nafasi na hata kupoteza watu uliowapenda. Lakini usikubali kujipoteza mwenyewe kwa sababu ya kujichukia. Watu wanaweza kukuacha, lakini wewe usijitelekeze. Kuwa rafiki wa nafsi yako, kwa sababu safari ya maisha yako inaanza na wewe na inaendelea pamoja na wewe.” ❤️
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.